mheshimiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa mtume Naibu Waziri wako Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

    Mheshimiwa waziri agizo lako la kumtuma naibu waziri kutembelea Halmashauri ambazo wakurugenzi hawajawalipa hela za kujikimu waajiriwa wapya halistahili Tu pongezi Bali na kuungwa mkono pia. Ila hapa nimetembelea wailayani Kilwa kwenye hospital ya Kinyonga nimekutana na malalamiko ambayo pia...
  2. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Nape ni mdau wa pilau, amefollow ukurasa wa ngono

    Mheshimiwa anafungia VPN kumbe nae huwa anaangalia video za Pilau 😂😂😂 credit by spana konk
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Chande Maharage karibu Shirika la Posta

    Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu hapa Shirikani. Digitali kizazi sana! Tupo tayari
  4. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Nani yuko Nyuma ya hizi taasisi za kumsemea Rais. Je, zinaendeshwa kwa ufadhili wa fedha za nani? Na Nini hasa makusudio Yake?

    Nawasalimia kwa Jina la JMT, Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo. Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama. Kifupi ni kwamba...
  5. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Biteko kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO

    Leo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati bwana Biteko atakutana na kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO makao makuu Ubungo. Jamaa zangu ambao ni wafanyakazi hapo wanasema Makamba amekua waziri kwa miaka 2 lakini hajawahi kukutana na wafanyakazi na kuzungumza nao ili hali mawaziri wengine wote...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Dotto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi Heshima Mheshimiwa Waziri wa Nishati na naibu waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Doto Mashaka Biteko, Kabla ya yote napenda kuchukua...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema kwa Dkt. Pima umetimia mapema sana

    SHKAMOO MHE. "NABII" GODBLESS LEMA Kati ya viongozi wa upinzani wote, huyu Mshkaji akiwa anaongea, huwa naacha kila kitu ili kumsikiliza. "Nabii" Lema ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hutabiri yatakayojiri "Wewe Dkt. Pima umeshiriki wizi wa kura kwenye huu uchaguzi mkuu na umemkasirisha...
  8. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mjue adui yako, hao wenye ndoto za urais watakukwamisha tu

    Sio dhambi wala jinai kuwa na ambitions za kuusaka uongozi wa juu wa nchi, lakini wengi wanakuwa consumed na ndoto hizo, wako distracted, wanafanya siasa zaidi kuliko kazi waliyopewa, wanahangaika kukusanya fedha na kusuka mitandao yao. Watu hao sio wazuri kwako. Moja ya mambo yaliyomfanya...
  9. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Spika na Naibu Spika tazameni "Dress codes" za bungeni

    Leo 30/08/2023 kuna Mbunge Mwanamke simfahamu jina lake, nilikuwa namuona kaketi nyuma wakati Nape anawasilisha kutokea kwenye "podium", amevaa "evening dress" ya kifua wazi bungeni. Ni aibu kwa Bunge letu ikiwa wabunge hata "dress codes" hawaelewi, wawe wanakwenda wabobezi wa mitindo...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nilishinda njaa siku 3, nikaanza kuokota vyakula barabarani, nikashikwa kwa uzururaji

    Hello habari za asubuhi! Hii story nimewahi kuwasimulia wachache sana. Ni rahisi kumtia moyo mtu kuwa magumu yatapita, Mungu atakusaidia kipindi uko vizuri na umeshiba. Ila ukipitia kipindi kigumu hata ushauri na courage utasikia kama kelele tu unapigiwa. Nilihitilafiana na wazazi pamoja na...
  11. Changchun yatai

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, hii kodi ya 30% tunayokatwa kwenye gratuity wewe ndiye uliyeipitisha?

    Mheshimiwa Dr. Mwigulu sisi wafanyakazi wa Shule ya sekondari St Margaret Maria Alakok hapa Igunga mkoa wa Tabora kila tumalizapo mikataba yetu tunapaswa kulipwa gratuity ambayo ni asilimia 10% ya mshahara kwa kila mwezi kwa kipindi chote cha mkataba wako, sasa cha ajabu ni kwamba hiyo pesa kwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ombi la wazi kwa Mheshimiwa Tundu Lisu

    Ni mfuatiliaji na mshabiki halisi wa Mheshimiwa Tundu Lisu, na namuhesabu kati ya wasomi waliosheheni elimu ya sheria. Ninachohitajia kwake ni kutumia hekima na busara amuombe radhi na msamaha Raisi Samia. Photos speaks thousands word.
  13. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Nia ya mheshimiwa Rais ni njema, turekebishe mapungufu yaliyoonekana ili DPW aanze kazi haraka hapo bandarini.

    Nchi hii ina mambo jamani, yaani kuna vita zinaendelea chini chini huko ndani ya chama Mungu amsaidie mama yetu SSH. Nia ya uwekezaji pale bandarini ni njema kabisa, dhamira safi kabisa. Ni uwekezaji unaokwenda kukata mirija wa watoto wa mjini ambao wamekuwa wakinyonya pale kwa raha zao. Sasa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mbowe, mbona ajenda ya bandari na katiba mpya umeiacha kwenye mkutano wako huko Mutukula?

    Mheshimiwa Mbowe nimefualtilia kwa makini mkutano wako siku ya leo huko Mutukula mkoani Kagera ambapo chama kina operesheni ya +255 Katiba mpya + Okoa bandari zetu. Lakini nimeshangazwa na hotuba yako nzima hukugusia kabisa suala la bandari wala katiba mpya nikashangazwa sana. Iweje Mwenyekiti...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso na Mkurugenzi Mkuu DAWASCO tusaidieni wakazi wa Mbezi

    Waziri wa Maji pamoja na Mkurugenzi mkuu wa DAWASCO tunaomba mtukwamue sisi wakazi wa Mbezi hasa Mpiji, Msumi na Msakuzi ambao DAWASCO na wafanyabiashara wa magari ya maji wamekuwa wanatupa mateso sana. Ni dhahiri kutokana na watendaji wa DAWASCO na wafanyabiashara inaonekana hawataki kabisa...
  16. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tunamshukuru Waziri wa Ulinzi, Innocent Bashungwa kwa kuongelea ‘malengo’ ya ubinafsishaji wa bandari za Tanzania

    I. Utangulizi Tumefurahi kumsikia Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa, akiongelea uzuri wa malengo ya uwekezaji katika Bandari za Tanzania. Lakini Mhe. Bashungwa anapinga mtazamo kwamba mkataba wa Tanzania na Dubai unaongelea ubianafsishaji wa bandari. Mara ya...
  17. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Uwanja mpya wa Mashujaa uongezwe hadhi

    Mama wa Taifa Samia, Hongera kwa wazo Mulua la kujenga sehemu ya mashujaa makao makuu Dodoma, nikuombe, naamini unao uwezo wa kuliomba Taifa lione umuhimu wa jambo hili, ujenzi huo ujumuishe sehemu muhimu ya kuwahifadhi mashujaa wetu ambao kwa kuwa Dodoma sasa ni makao makuu yetu rasmi, viongozi...
  18. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atumie kete yake ya mwisho kumaliza utata wa bandari

    Mpaka sasa tumeachwa gizani hatujui mustakabali wa nchi yetu swala la mkataba wa bandari upande wa utetezi ukimsikiliza Mheshimiwa waziri mkuu ,waziri wa ujenzi na uchukuzi,na msemaji wa serikali hawa wote nimewasikiliza kauli zao kila mtu kila mtu anasema lake lakini bado hawakati kiu ya...
  19. Kasanzu The Great

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anachapa kazi ila hazitangazwi ipasavyo. Wasaidizi wa Rais fanyeni kazi ipasavyo

    Pesa ambayo Mama Samia meipeleka kwa wananchi tangu aingie madarakani ni pesa nyingi Sana. Amejenga madarasa, vituo vya afya, ameanzisha utaratibu Wa kupeleka mil 500 kila jimbo kwa ajili ya Maendeleo ya barabara, ameinua uchumi wetu, amerejesha siasa za ushindani na demokrasia, maslahi ya...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

    Mtakumbuka Mara tu baada ya Kikwete kuingia madarakani mwaka 2005, Mkuu wa Majeshi Robert Mboma alikuwa anakaribia muda wake wa kustaafu. Msaidizi wa General Mboma alikuwa Luteni Generali Gideon Sayore. LG Sayore alikuwa hajafikisha umri wa kustaafu jeshinni huku Bosi wake Mboma akistaafu...
Back
Top Bottom