mheshimiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Waziri Mambo ya Nje ya nchi Dr Balozi Kombo tolea ufafanuzi kukatwa Msaada ya TB, Malaria na UKIMWI kwa Tanzania

    Mheshimiwa huu ni wakati wa wewe kuitisha Mkutano na kufafanua mambo ya Kimataifa ikiwamo usitishwaji wa Msaada kwa Tanzania. Nataarifiwa EU nao wapo mbioni.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Dkt Samia Aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nimelia sana na bado ninalia sana kwa kifo cha Esther Mahawe. Huyu Mama ameniuma sanaa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika nimeumia sana, nimehuzunika sana,nimesikitika sana,nimelia sana na bado moyo wangu unabubujikwa na machozi ya huzuni na uchungu mkubwa sana kwa Kifo cha Mkuu wangu wa wilaya ya Mbozi Mheshimiwa Esther Mahawe ambaye ametangulia mbele za haki. Soma TANZIA -...
  4. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Ukiota ndotoni upo na Mheshimiwa Rais - hii ina maana gani?

    Mnaojua kutafsiri ndoto, hii ndoto ina maana gani?.
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vita Kawawa achia jimbo, unapinga maendeleo hata kwa ambao hawajatangaza nia ya kugombea. Achia Namtumbo yetu tunateseka sana

    Mheshimiwa Juma Zuberi Homera ambae ni mkuu wa mkoa wa mbeya ameonyesha kuwa kiongozi aliyejitolea kuleta maendeleo na mabadiliko chanya popote anapohudumu tangu yupo TUNDURU na baadae KATAVI. Uongozi wake umekuwa na mchango mkubwa katika kuinua maisha ya jamii, na ameacha alama ya kudumu kila...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

    Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia, Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku...
  7. clinton gidioni

    JamiiForums Tanzania Kwako waziri wa kilimo, Hussein Bashe naomba msaada wako

    Kiukweli, unatupambania sana vijana na hakika unatutakia mema. Kijana yeyote anayejitahidi kupambana lazima ataona juhudi zako. Mheshimiwa, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu, lakini nimeshindwa kufanikisha mambo kupitia fani na taaluma nilizonazo. Kwa sasa, nimeamua kuanza upya maisha yangu na...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Lissu nakushauri ongeza ulinzi

    Ninaongea haya nikiwa najua mengi !! Kwa sasa una maadui wawili 1. Ndani ya chama ambao mr Slaa alisema wamo na wanaua 2. Ndani ya Serikali watakaotumia nafasi ya nayotokea kutimiza adhma yao Britanicca
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe ashauriwe kutogombea tena uenyekiti wa CHADEMA, siasa ni muonekano (perception) kwanza

    Baada ya Tundu Lissu kujitosa kugombea uenyekiti wa CHADEMA ni wazi kutakuwa na mchuano mkali sana endapo Mbowe naye ataamua kugombea tena nafasi hiyo. Huo ushindani hautakuwa na afya kwa CHADEMA zaidi sana endapo Mbowe atashinda tena, kwa mantiki hiyo ni vyema basi Mbowe akaamua au akashauriwa...
  10. Scaramanga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Ulega tunaomba uanze na Barabara zilizofumuliwa bila kukamilishwa hapa Kigamboni

    Nichukue fursa hii kwanza kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kushika nafasi ya Waziri wa Ujenzi. Ni imani yangu kuwa Mhe. Rais kakuamini katika utendaji wako wa kazi na nina imani kuwa utamsaidia sana kwenye eneo la ujenzi. Nina kilio changu naomba uanze na kuangalia eneo la Kigamboni. Kuna...
  11. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Diwani wa Kata ya Nyasura Wilayani Bunda Kiboko Magigi

  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Talimba Abbas hahojiwi kutokana na Gorofa lililoporomoka na kuua Kariakoo?

    Mbunge wa jimbo la kinondoni kupitia CCM Mheshimiwa Talimba Abbas, alitakiwa ahojiwe japo Kidogo asaidie Polisi wajue sehemu ya kuanzia kutokana na kuporomoka kwa Gorofa la kariakoo lililoua Watu 29 Tofauti na kuwa mwanasiasa, Abbas ni mfanyabiashara pia zikiwemo za Michezo ya kubahatisha, pia...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20

    Rais Samia Suluhu Hassan amewasili hivi punde Kariakoo, Dar es Salaam, ambapo jengo la Gorofa liliporomoka Jumamosi na kusababisha vifo vya watu na wengine kujeruhiwa. Kuhusu ajali hiyo, soma LIVE - Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 16 wafariki 77 waokolewa Alipofika...
  14. popah21

    JamiiForums Tanzania Ombi la wachimbaji wadogo kiomoni kwa mheshimiwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dr. Samia.

    Sisi wachimbaji wadogo kutokea mkoani Tanga wilaya ya Tanga kata ya Kiomoni mtaa wa Kiomoni, tunamuomba mheshimiwa raisi awaamrishe makamishna wa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro waweze kutulipa fidia zetu, tumekua tukidai fidia zetu miaka na miaka kutokea mwaka 2021, tunasomesha watoto katika...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Taifa letu ni Salama na lenye utulivu kisiasa Kwa sababu ya hawa Majenerali Pichani. Wanasiasa na viongozi Mnajifunza Nini hapa?

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiona vyaelea ujuwe vimeundwa.tupo hapa tulipo tukiwa na utulivu wa kisiasa kwa sababu kuna watu walijitoa kwa jasho na Damu kulilinda ,kulipigania na kulitetea Taifa letu.tupo hapa tulipo kwa sababu kuna watu walitimiza vyema sana wajibu wao na kutanguliza mbele...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  18. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unakwama wapi kuona ubabe haufai kwenye demokrasia kama ambavyo hauifai kwenye kukusanya kodi?

    Hivi majuzi Mheshimiwa Rais Samia amewataka maafisa wa TRA kuacha ubabe wanapofuatilia kodi kwa wananchi. Ni jambo jema. Lakini nashindwa kuelewa kwanini Rais Samia haoni pia si vizuri kutumia ubabe kuzuia maandamano ya amani ya vyama vya siasa? Pia soma: Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

    Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa. Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna Mpasuko ndani ya Upinzani, hii ni Kwakuwa tuliamini upande wa Mbowe na Lissu hazipatani, Lakin nikakaa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Mwinyi ulileta neno "Mheshimiwa" badala ya "ndugu" kwa viongozi na sasa wamekuwa tabaka lenye kujiona wako juu ya Watanzania wengine!

    Zamani enzi za utawala wa Nyerere, kila Mtanzania aliitwa ndugu, pamoja na Nyerere mwenyewe akiwa Raisi wa nchi. Nyerere aliitwa "ndugu raisi" sawa tu na mtu wa mtaani. Hata kwa mtu ambae ulikuwa humfahamu, ukitaka kuuliza kitu tulianza kwa kusema "samahani ndugu, sijui basi la kwenda ferry ni...
Back
Top Bottom