mheshimiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini huyu Mheshimiwa asijiuzulu kuonesha uwajibikaji?

    .
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili namuunga mkono Mheshimiwa Mbowe.

    Ni kuhusu swala la Polisi wetu kukamata watu kihuni. Mara nyingi tume shuhudia Polisi wakikamata watu kihuni, hapa sizumgumzii mambo ya utekaji nyala, isipokuwa ule ukamataji wa kawaida labda mtu anahisiwa kuwa mwizi na makosa mengine. Polisi wa nakuja na gari lina namba ya nchi za nje hasa...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo

    Leo, 20.08.2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imesajili (Admission No. 000058901) malalamiko (complaint) ya Wakili Kisabo dhidi ya Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) FATUMA KIGONDO ambaye ndiye “afande” aliyetuma genge lake la uhalifu kumbaka na kumlawiti JM. Pia soma: 'Afande'...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Alikuwa anafanya nini hapa?

    Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuweka neno ila ndio hivyo kama mnavyoona kwenye picha hapa. Sijuwi Mheshimiwa alikuwa anafanyiwa nini . Si unajuwa Tanzania mambo mengi mpaka wananchi wanachanganyikiwa na kushindwa washike nini na waache nini. Ukigeuka huku unakutana na habari hii,ukienda...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Makonda wewe ni kiongozi shujaa watanzania wanakupenda sana

    Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri, Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako. Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako. Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani. Ubarikiwe...
  6. U

    JamiiForums Tanzania WITO Mhesh Ruto jahazi lazama, chutama, usione fedhea , fanya hima mtafute mheshimiwa Uhuru, kumbuka jungu kuu halikosi ukoko!

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni wito wangu binafsi kwa Mheshimiwa William Ruto Rais wa Jamhuri ya Kenya ambao umezingatia maslahi mapana ya nchi hiyo! Mheshimiwa Nikuombe Ndugu yangu usione aibu wala fedhea, chutama, zika ufahari wako, usisite, usijali, usiogope, usione aibu wala fedhea ...
  7. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali wa namna ya kudhibiti ukwepaji kodi bila kutumia mabavu.

    Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali. Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu. Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki. Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la mtoto albino Kagera, mheshimiwa Rais weka saini adhabu ya kifo

    Siku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe. Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa January Makamba ni kiongozi mbunifu mno mweye kuiona fursa adhimu

    Waziri huyu kila wizara aitumikiayo huja na maono endelevu na kuacha alama. Alipokuwa nishati alibuni mambo mengi ikiwa ni pamoja na ugavi wa mitungi ya gesi bure. Gesi ikiisha ni lazima baadhi ya wagaiwa watanunua tena hata ikiwa hawakuwa na utamaduni wa kutumia gesi. Sasa akiwa waziri wa nje...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mpina ondoka leo na siyo kesho hapo CCM

    Kwa jicho la kuona mbali ni wakati sahihi wa bwana Mpina aondoke CCM. Ni wazi mfumo wa Serikali ya sasa umemkataa kwa sababu moja tu nayo ni wenzake wanapiga ilhali yeye hafanyi hivyo. Suluhu na salama kwake ni aondoke bila kuchelea hapo CCM.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Je, siku ya Leo unamshahauri nini hasa Benjamin Netanyau?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naomba kujua ikitokea umepewa nafasi ya kushauri siku ya leo May 20,2024 Je utampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau? Niwatakie usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu wa jukwaa hili
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Recap: Hapa Rais Samia uliteleza kwenye ulimi, ukiweza rekebisha kauli hii

    Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!
  13. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda tunaomba msaada Tanfom Arusha wamejaza udongo kwenye barabara Moshono-Losirway

    Tunaomba msaada mkuu wetu wa Mkoa, nafahamu jinsi ulivyo na moyo wa kuwasaidia wananchi. Tanfom wamejenga ukuta kwenye eneo Lao jipya la moshono losirway, wamejaza udongo barabarani zaidi ya miezi miwili sasa hawajatoa. Kwa kweli tunapata shida tunapokuja usiku tunaachwa mbali na toyo inabidi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba ukemee ubaguzi kwenye sherehe za Mei Mosi

    Salam kwako Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan. Kila mwaka tarehe 1 Mei ni sikukuu ya wafanyakazi duniani ambapo wafanyakazi wote husheherekea siku hiyo kwa mambo mbalimbali na katika desturi yetu hapa Tanzania kunakuwa na maadhimisho ya kitaifa na mara...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Elimu namna utekelezaji wa bajeti za serikali ulivyo na jinsi Rais anavyoshukuriwa sana na wabunge

    Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Usalama Arusha yampongeza SACP Masejo kwa kupandishwa cheo na Rais

    Kamati ya Usalama Mkoa wa Arusha imempongeza Kamanda wa Polisi Mkoani humo kwa kupandishwa Cheo hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Akitoa Pongezi hizo Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu John...
  17. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sina hakika kama RC Chalamila anaweza kuligusa kundi hili katika Maandamano ya CHADEMA

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam RC Albert Chalamila, jana alitangaza kuwa mkoa wa Dar es salaam utakuwa katika operation ya kufanya usafi siku ya tar 24/01/2024, siku ambayo pia ilipangwa kufanyika maandamano ya chama cha upinzani nchini Chadema. Watu wengi wamekuwa...
  18. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete na Ridhiwani, wageni rasmi kwenye sherehe za Jando na Unyago huko Msoga

    Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakitembelea vijana kambini kwao usiku kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

    Wananchi wa Sae mpya jijini Mbeya wanataka kubomolewa nyumba zao kwa maonevu makubwa. Awali waziri Lukuvi ALIKUJA Kwa Wananchi na kusema umemtuma kurejesha eneo lao ambalo TARI Kwa miaka zaidi ya miaka 40 walilitwaa bila kulipa fidia. Clip hiyo IPO wakati waziri anakabidhi mbele ya mkuu wa...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

    Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni. ==== Pauline...
Back
Top Bottom