mheshimiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ninja

    JamiiForums Tanzania GE2025 Imfikie Rais ayafanye ili kuondoa kinachoendelea kwa wananchi

    Mheshimiwa rais, Nakusalimu kwa unyenyekevu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mheshimiwa rais, nafupisha sana nisikupotezee muda wako adhimu. Mheshimiwa rais, yafuatayo ni mambo niliyoyatafiti na hivyo nimeona vema kukushirikisha kwa njia hii: 1. Nchi haijakushinda kama baadhi ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkurugenzi wa VETA; Ombi la kuruhusiwa kuomba nafasi ya kazi

    Ombi la Kuruhusiwa Kuomba Nafasi ya Kazi – Vocational Teacher II (Plumbing and Pipe Fitting) Ndugu Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Kwa heshima kubwa, mimi naandikia barua hii kwa niaba ya wahitimu wa Diploma in Pipe Works Engineering nikiwa na lengo la...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya makubaliano kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na Jaji Mkuu wa Tanzania

    TAARIFA YA MAKUBALIANO Kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) Na Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju Tarehe: 11 Agosti 2025 Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
  4. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya Rais Samia imenibubujisha machozi ya furaha

    Wakuu Kiukweli Rais Samia anapambana sana kuinua hali za watanzania kiuchumi. Hii picha imenibubujisha sana machozi ya furaha.
  5. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Tunaheshimu uamuzi wa Mbowe kukaa kimya

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu. Ameyasema hayo leo Julai 21 katika...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuberi awaalika Waislam wote kuhudhuria Maulid ya Daarul Maarif, kwenye Viwanja vya Bakwata Makao Makuu

    DAARUL MAARIFA DAY 2025 Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu. Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Waziri, Elimu Unayoiongoza Inazidi Kuwa “Local Education” Badala ya “Universal Market Education”

    Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, Kwa heshima na taadhima, tunapenda kutoa maoni yetu kuhusu mwelekeo wa elimu ya juu nchini, hususan uamuzi na ufafanuniz wako kwenye hotuba ya jana wa kusimamisha baadhi ya kozi katika vyuo vikuu kama Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Tunaamini...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Samia S Hassan,naomba umfree Lissu tafadhali

    Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
  9. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Special Branch, Naomba Mfanye Life Style Audit ya Mawaziri Wafuatao na Kisha Mmpe Report Mheshimiwa Rais

    Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais. 1...
  10. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni Mkatoliki mfia dini

    Tujikumbushe Balozi aliyejiuzulu ni Mkatoliki mfia dini. Huenda anatumika kupenyeza ajenda toka Vatikano. Tumpuuze
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unalea tabia zitakazokutesa mwenyewe

    Kitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya 1. Rais ni National comforter 2. Rais ni Miezi wa nchi 3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea, Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania KIBATALA: Umemwelewa Mheshimiwa Hakimu?

    Nimewafuatilia vizuri, na umesikia. Habari ya Hisia na Mihemko haina nafasi. Pambano limeisha ila Vita inaendelea. Kila la Heri. Thread imekamilika endeleeni kusema
  13. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko, Tanesco wamekudharaulisha sana

    Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii: https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanachafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa ukiwaasa unajirudia rudia kila kukicha.
  14. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Prof. Balozi Benson Bana (PhD) anafaa kwenye Chama Cha Mapinduzi

    Mheshimiwa Profesa Mbobezi wa Sayansi ya Siasa Duniani na Balozi (Mstaafu) Benson Bana (PhD) anafaa kwa Nafasi za juu katika Chama. Tafadhali, Mkutano Mkuu mfikirieni ikiwapendeza, mpeni kazi akasaidiane na Mzee wetu Stephen Masatu Wassira a.k.a Tyson wakaimarishe chama nchi nzima.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Unafikiri Nape Nnauye amemaanisha nini kwenye ujumbe huu aliouandika?

    Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako. Huu hapa ujumbe wenyewe 👉 Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa Finland, Alexander Stubb kufanya ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia leo Mei 14 hadi Mei 16, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia tarehe 14 hadi 16 Mei, 2025 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Finland na Tanzania zina mahusiano ya miaka 60 na zimekuwa zikishirikiana...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Uongozi wa Juu Chadema bado hamjachelewa muombeni radhi Mwenyekiti Mstaafu Mheshimiwa Mbowe vinginevyo Chama kitazidi kubomoka

    Wadau hamjamboni nyote? Wapo wataobeza na kukushfu lakini wenye hekima zetu hilo tumeliona ndiyo maana tukaamua kushaurikwa nia njema Uzoefu ni Mwalimu mzuri sana wapo waliodharau hilo huko nyumba wisho wao au taasisi walizoongoza haukuwa mzuri Niwatakie siku njema
  18. mbuyake

    JamiiForums Tanzania Nimejiuliza kwa sauti, Mheshimiwa kwa wabunge tz ipo kikatiba au ?

    Kwa jinsi bunge linavyoendeshwa kwa sasa nimejikuta nawaza kwa sauti, kwamba sifa mheshimiwa wapewe vijana wa veta wanaofanya vitu vyenye tija kwa kwa taifa kuliko, waheshimiwa wabunge wanaofanya kila jitihada kuliangamiza taifa kwa kutosimamia wajibu huku tunaendelea kuwapa utukufu.
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Wazazi tumsaidie kazi Mheshimiwa Dorothy Gwajima

    Ila hii nchi inamambo mengi sana aisee, kila siku tunaharibu kizazi chetu tena kwa mikono yetu. Vijana wengi wanafanya mambo ya ajabu na tunatazama tu bila kusemea wala kukemea huku tukisubiri yatokee madhara tuanze kulaumu vyombo vya usalama na mamlaka zingine. Ijumaa nilitoka kazini mapema...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Lisu apimwe akili

    Si semi kwa kumchukia inawezekana serikali inamkamata mtu aliye kuwa na kasoro kwenye akili. ,Utaalamu wa kidaktari unakubali kuwa kila binadamu ana uwendawazimu kwa kiasi fulani,hakuna asiekuwa nao. Lugha ingine wanaweza ita hasira. Unaweza kumkuta mtu anakunja suruali mguu mmoja,mwengine...
Back
Top Bottom