Mheshimiwa Spika na Naibu Spika tazameni "Dress codes" za bungeni

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,886
109,217
Leo 30/08/2023 kuna Mbunge Mwanamke simfahamu jina lake, nilikuwa namuona kaketi nyuma wakati Nape anawasilisha kutokea kwenye "podium", amevaa "evening dress" ya kifua wazi bungeni.

Ni aibu kwa Bunge letu ikiwa wabunge hata "dress codes" hawaelewi, wawe wanakwenda wabobezi wa mitindo wawafunde Wabunge wetu hususan kama huyo dada mjinga mjinga namna ya kuvaa.

Hivi alikuwa anatangaza biashara au kaenda kuwakilisha wananchi wake? Mavazi hayo avae akitoka kazini na akiwa mumewe (kama anae) nyumbani, kwa mbunge hayafai kuvaa kabisa mbele ya jamii.

Si huyo tu, "dress codes" kuwa "violated" imekuwa ni kitu cha kawaida bungeni, Tanzania.

Nawasilisha.
 
Leo 30/08/2023 kuna mbunge mwanamke simfahamu jina jina lake, nilikuwa namuona kaketi nyuma wakati Nape anawasilisha kutokea kwenye "podium", amevaa "evening dress" ya kifuwa wazi bungeni. Ni aibu kwa bunge ketu ikiwa wabunge hata "dress codes" hawaelewi, wawe wanakwenda wabobezi wa mitindo wawafunde wabunge wetu huusan kam huyo dada mjinga mjinga namna ya kuvaa.

Hivi alikuwa anatangaza biashara au kaenda kuwakilisha wananchi wake? Mavazi hayo avae akitoka kazini na akiwa mumewe (kama anae) nyumbani, kwa mbunge hayafai kuvaa kabisa mbele ya jamii.

Si huyo tu, "dress codes" kuwa "violated" imekuwa ni kitu cha kawaida bungeni, Tanzania.

Nawasilisha.
Mmeanza kua na mashaka na jinsia yako
 
Tazama post #8
Huyu?
Screenshot_20230830-103611.png
 
Ni maadili ya kawaida tu, ustaarabu ulitufundisha kuficha miili yetu siyoi kuiwacha wazi hata bingeni.

Unafahamu maana ya neno "ustaarabu"?
Yule mbona kavaa kakoti keupe bila shida tatizo lipo wapi pale sijaona mabega wazi Mimi
 
Back
Top Bottom