mgonjwa

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

    Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti? ======= Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Siasa si uadui: Dk. Tulia amtembelea mama wa Halima Mdee aliyelazwa hospitali

    Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa. --- Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa JKCI: Ni kweli kulikuwa na upungufu wa Peacemaker ila hakuna mgonjwa aliyekufa kwa kutowekewa kifaa hicho

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi wa Habari iliyosambaa katika mitandaoni ya kijamii kuwa “Huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili, Wagonjwa wanakufa” taarifa hiyo siyo ya kweli na ipuuzwe, kwani hakuna mgonjwa aliyekufa kutokana na tatizo la kutokuwekewa kifaa cha...
  4. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mkiona mgonjwa wenu hawezi kupona, mrudisheni akafie nyumbani. Akipelekwa tu Mortuary mtadaiwa mamilioni msiyoyaweza

    Nchi hii imekuwa ya hovyo sana, huduma za afya na matibabu zimekuwa mbovu na duni kabisa. Kila siku tunasikia sehemu mbalimbali watu wakifa kwa uzembe wa madaktari na manesi. Mbaya zaidi mgonjwa akifa haraka haraka anakimbizwa mortuary ambako kama hamna mamilioni kadhaa, ndugu yenu atazìkwa na...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aliyebuni hili Tangazo la Mama mwenye Mtoto Mgonjwa ndani ya DalaDala Buza - Kawe alitumia Akili zake sawa sawa kweli?

    Hivi inawezekana kweli DalaDala za Mbagala - Kawe au Tegeta - Kivukoni lililojaza hadi Milangoni ( huku wengine Wakijambiana bila Aibu wala Huruma kwa kwenda mbele humo ndani ) eti atokee Mama ambaye Mwanae kapatwa na Joto Kali la Homa au Malarial halafu Kondakta amuamuru Dereva wake ageuze Gari...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Beki Che Malone Fondoh ni mgonjwa, anahitaji matibabu ya haraka

    Kuwa na Afya njema ni zaidi ya kukosa maumivu mwilini, jeraha au kuvunjika mifupa. Mpira unachezwa na mwili pamoja na akili. Mchezaji che Malone amepata ajali ya gari usiku pale maeneo ya Mikocheni jirani na shule ya FEZA. Hata kama mchezaji wetu huyu kisiki Che Malone hakupata majeraha ya mwili...
  7. Bwana Bima

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

    Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Anaewaza kufikishwa kwenye mapenzi ni mgonjwa. Kwenye tendo wajibu ni kujiandaa kufika kileleni na sio kufikishwa.

    Wasalaam nyote, Karne hii binadamu wehu wanetamalaki, hawajui kusudi lao la kuishi, hawajui wajibu wao wa msingi katika kuishi furaha na amani. Wanawake wanaimba kufikishwa what a shame, wanawake wamejaa ubinafsi uliokithiri. Mapenzi yapo kwenye akili na nafsi ya Kila mpokeaji na mtoaji...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa aliyelazwa kwa miezi mitano atoa Tuzo kwa Wauguzi wa Wodi Namba 6 katika Taasisi ya MOI

    Mgonjwa aliyekuwa amelazwa wodi namba 6 “A” katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ametoa tuzo maalum ya kuwapongeza wahudumu wa wodi hiyo kwa huduma bora wanazotoa kwa wagonjwa. Mgonjwa huyo Godfrey Mushy alilazwa wodini hapo kwa miezi Mitano kuanzia Oktoba, 15, 2022...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Busara za wazee: Mfumo wa vyama vingi uendelee lakini CCM iendelee kutawala mpaka pale...

    Kuna kijiwe ambacho mida ya jioni, wazee hukutana kujadili baadhi ya vitu na kubadilishana mawazo, watu wengi hukusanyika hususani vijana kuchota busara za wazee hao. Watajadli mambo mbalimbali kuanzia mpira, Imani mpaka siasa na yote wanayojadli vijana huokota chochote Cha kuwafaa maishani...
  11. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Binti mdogo anayemfungia ndani Mama yake mgonjwa aliyepooza kutwa nzima na kwenda kutafuta pesa za kumuhudumia inaumiza wengi mtaani

    Ni Binti mdogo mwenye umri wa miaka 23,na mwenye mtoto mmoja Familia hii haina Baba kwani baba yao alishafariki Miaka mingi iliyopita na kijana aliyempa mimba binti alimtelekeza tangu mtoto akiwa ana miezi 6. Mama wa huyu binti ana umri wa miaka 63 alikuwa mzima kabisa tangu kuzaliwa huku...
  12. R

    JamiiForums Tanzania FARAGHA: Waziri amwagiza Mganga Mkuu wa Serikali kufuatilia suala la Taarifa Binafsi za Mgonjwa kuanikwa Mtandaoni

    Kufuatia tukio la mwanaume mmoja anaesemekana kuwa na mataizo ya akili kukata uume wake, ambapo toka tukio hilo limetokea mpaka baada ya matibabu waandishi wametoa taarifa zote juu ya hali yake, ikiwemo jina, umri, jinsia, makazi na ugonjwa wenyewe. Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyemrekodi Mgonjwa anayedaiwa kuvunja Maadili MOI amechukuliwa hatua gani kwa kuingilia Faragha ya mtu?

    Wakuu, naona kama Watu wengi pamoja na Taasisi ya MOI wamejielekeza na kutupia lawama upande mmoja wa Mgonjwa aliyeonekana akimbusu mpenzi wake Wodini. Kimsingi hakuna kosa lolote alilofanya pale, na sidhani kama kuna sheria inazuia jambo hilo. Labda kama aliyefanya naye kitendo kile ni mtoa...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania MOI watoa tamko kuhusu uvunjifu wa maadali uliofanywa wodini. Mgonjwa aomba radhi

    Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imetoa ufafanuzi kuhusu uvunjifu wa maadili uliofanywa na Mgonjwa (jina limehifadhiwa) na anayedaiwa kuwa Mpenzi wake (jina limehifadhiwa) ndani ya wodi (3A) siku ya Jumapili mchana tarehe 9/07/2023 ambapo katika uchunguzi wa awali mgonjwa...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Na nyie kwenu mnao watu kama hawa?

    Best kama hauna watu kama hawa kwenye ukoo wenu katoe sadaka ya LKUJIMALIZA asikwambie mtu,,,,,,yaani wachaga tunavumilia mengi sanaaaaa Kuna magrp ya ukooo matajiri usiwaguse ati una ndugu yako mgonjwa aisee watakurudisha na vibokoooooooooo Ila itokee yule mgonjwa kafaa best yaan...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maisha ya Mgonjwa wa Figo anayefanya dialysis

    Je, mgonjwa wa figo ambaye zimesha haribika na yuko kwenye dialysis huwa maisha yake yakoje? haswa mgonjwa aliye kijana na mwanaume. Je, huwa anaweza ishi maisha ya kawaida, yani kufanya mazoezi kwenda gym, kujenga misuli? Je, kwenye msuala ya sex anakuwaje, anauwezo ule ule au unapungua?
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Muumini Mgonjwa wa Mtume Mwamposa afia katika Kibanda cha Mkaa Kawe Ukwamani

    Haya Waandishi wa Habari njooni upesi Kawe jirani na ulipo Msikiti maarufu wa Londa kisha tembeeni hatua chache ulizeni Nyumba ya Mmiliki ( sasa Marehemu ) wa Hoteli Kongwe na Maarufu ya Kawe iitwayo Maifea na mkifika tu hapo ulizeni Nyumba ya Mama wa Kihaya ( Mtani wangu ) aitwae Mama Queen ili...
  18. mirindimo

    JamiiForums Tanzania DR INTERN AVUJISHA SIRI ZA MGONJWA

    Nilipokua Mhimbili Intern walimpa mgonjwa dawa za mgonjwa mwingine, Leo Dr Celine anabwaga taarifa za mgonjwa , hawa Intern hawa
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwa anavyoonekana Paul Kagame ni mgonjwa?

    Je, huenda ni macho yangu kuona vibaya?! Mbona kama jirani tembea yake haiko sawa-anaumwa?
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali Daktari wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike?

    Wasalaam JF, Hivi kweli hawana soni ya kushika makalio ya pisi zetu kali? Ukorofi huo🙄🙄 Kumezuka wimbi kubwa la kukiuka miiko ya kijinsia hivi kweli ni halali Daktari au Nesi wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike. Hili ni sawa sawa kweli,? Tafadhari serikali iingilie Kati huu...
Back
Top Bottom