mgonjwa

  1. Y

    JamiiForums Tanzania KERO CT scan na MRI kwanini mgonjwa hapewi option ya kuchagua?

    Habari Wana JF Kunaswala Moja ambalo naona kama halipo sawa. Ukifwatilia kiundani tofauti ya vipimo hivi vya X ray,CT scan na MRI unagundua kua MRI nikizuri nahakina mazara sababu kinatumia sumaku ila X ray na CT vinatumia mionzi ambayo inapelekea Baadhi ya sell kufa ndiomaana hata ufanywaji...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Vitafunwa sahihi kwa mtu mwenye Madonda ya tumbo

    Wakuu nauliza vitafunwa vipi sahihi kwa mtu mwenye Madonda ya tumbo,atumie vitanwa Gani kwa ajili ya chai
  3. Baba Vladmir

    JamiiForums Tanzania Mpango rahisi wa lishe ya kila siku kwa mgonjwa wa Kisukari

    Huu ni mpango bora na rahisi wa lishe kwa mgonjwa wa Kisukari( Type 2) ili kusaidia kudhibiti kiwango Cha sukari kwenye damu. ASUBUHI (SAA 12- 1) Uji wa dona au ulezi (usitie sukari, tumia maziwa kidogo ya mgando). Mayai 1-2 ya kuchemsha au maharage kiasi. Parachichi au kipande kidogo cha...
  4. X factor

    JamiiForums Tanzania Gigy Money anaumwa kalazwa Muhimbili ICU

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Gigy Money, uongozi wa msanii Gigy Money umeeleza kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake. Taarifa hiyo imekanusha uvumi kuwa amepigwa au amehusika katika ugomvi wowote, ikisisitiza kuwa habari hizo ni za kupuuzwa. Gigy Money...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya: Busara inatumika, Mgonjwa mwenye uwezo analipa Hospitali za Serikali

    Akijibu hoja za Wabunge walioeleza kuwa kuna Wajawazito wengi na Watoto chini ya umri wa miaka mitano wamekuwa wakilipiishwa fedha katika Hospitali za Serikali kinyume na maelekezo ya Serikali, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati busara inatumika licha ya uwepo wa Sheria...
  6. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Kipi bora-Kumchangia mgonjwa au Marehemu

    Nipo nimekaa hapa nawaza Kwenye haya maisha kipi bora kumchangia mgonjwa ambaye amelala kitandani akipigania maisha au kumchangia marehemu aliyelala kwenye jeneza safari ya kaburini kwenye nyumba ya milele Hapa nina michango mingi ya rambirambi na kuna kila jumapili tunachanga kwa ajili ya...
  7. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ofisi inayohusika na jambo hili

    Wakuu kuna mama ana binti mgonjwa ameshindwa gharama ya operation ni kubwa sana, Anauliza ni Ofisi gani aende na vithibitisho vyake, pamoja na barua yake wamgongee muhuri au wampe barua yenye muhuli apite mtaani aombe michango kwa wasamalia wema, sababu hajui utaratibu na hataki kuomba omba...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatoa Onyo: Hakuna atakayevumiliwa kwa kuficha Mgonjwa wa Mpox, wakiwemo waganga wa kienyeji

    Mkoa wa Tabora umeanzisha oparesheni maalamu ya kukabiliana na ugonjwa wa mlipuko wa mpox kwa kuandaa vituo tengefu kwenye Hospitali za Wilaya zote za mkoa huo pamoja na vituo vya afya ili kuwahudumia kwa kina wagonjwa wa mlipuko huo endapo watabainika, huku wataalamu wa afya ngazi ya mkoa...
  9. Kang

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa aishi siku 104 na moyo wa bandia unaoendeshwa kwa battery.

    Mgonjwa ambaye alikuwa anasubiri operation ya kupewa moyo mpya (heart transplant) aliwekewa moyo wa bandia ambao ulimsaidia kuishi siku 104 mpaka pale moyo mpya ulipopatikana na katika tukio la kwanza la aina yake aliweza kuondoka hospitali na kwenda numbani katika kipindi hiko. Moyo huo...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndugai atoa hoja utaratibu kumwona daktari kwa Tsh. 10,000 ufutwe

    SPIKA Mstaafu na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai ameishauri serikali kuangalia upya utaratibu uliopo sasa, katika hospitali nyingi za umma kuwa ni lazima mgonjwa kutoa Sh. 10,000 kwa ajili ya kumuona daktari. Ndugai, alisema hayo juzi jijini hapa, wakati akichangia hoja kwenye kikao cha Kamati ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe ni mgonjwa sana ashindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Nzega

    MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini. Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri...
  12. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Tupeane taarifa juu ya hali ya homa/ugonjwa wa pox, iwe taarfa ya kuuona mgonjwa au kama wew mgonjwa kuna watu bado wanazani ni tetesi

    Homa ya Mpox (Monkeypox) ni ugonjwa wa virusi unaosababishwa na virusi vya Monkeypox. Ugonjwa huu unafanana na smallpox, lakini kwa kawaida ni wa wastani na hujumuisha dalili kama vile homa, maumivu ya kichwa, uchovu, na vidonda kwenye ngozi. Virusi vya monkeypox vinaenezwa kupitia kwa kugusa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Zimetimia Siku 41 hakuna mgonjwa mpya wa Marburg

    Wizara ya Afya imetoa taarifa kuhusu Ugonjwa wa Marburg kuwa hadi kufikia Machi 10, 2025, zimetimia siku 41 bila kuwa na mgonjwa mpya. Ikumbukwe Januari 20, 2025, Serikali ilitoa tamko kuhusu kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Marburg Mkoani Kagera ambapo Wizara imeeleza mwenendo wa...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dullah Mbabe kupigana akiwa mgonjwa kisa kupata mkate wa familia, bodi ya ngumi mjitathmini

    Dullah Mbabe akasema alipiga ili watoto wapate ridhiki ya kula na shule japo ni mgonjwa na ana majeraha makubwa, hii ni kauli ya kishujaa Kwa mwanaume inauma kuona watoto wanakosa chakula na masomo ukiwa hai, laZima utafanya shughuli yoyote ya hatari watoto wapate ridhiki. Dullah Mbabe ni kati...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za...
  16. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tokea tarehe 19 Novemba, mgonjwa wangu ndio kwanza kafanyiwa UTRASOUND Muhimbili. Changamoto ni nyingi sana

    Nianze tu kwa kumuomba yyte mwenye uwezo wa kumfikishia Rais Samia hili na amfikishie. Hali ya Muhimbili inasikitisha. Na mkono wake wahitajika. Rais Samia chochote atachofanyia Muhimbili atapata baraka tele kutoka kwa MwenyeziMungu. Nayasema haya kutokana na hali halisi. Mgonjwa kapewa rufaa...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Inakuaje watu huwa wapo tayari kuchangia harusi na Msiba ila sio pale mgonjwa anapoumwa

    Ndoa na kuoa ni jambo zuri na la heshima na MTU kupata mazishi ya heshima pia ni jambo zuri . Ila huwa nafatilia vifo vingi hasa katika familia masikini vinatokana na ukosefu wa fedha za matibabu. Kuna wakati familia inamchangia MTU harusi au sherehe ambayo inaweza Ku-cost hela nyingi lakini...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tusichoke kuwaombea wale wote wanaotamani kuwa wanasiasa

    Mgonjwa Akiwa ICU Huhitaji maombi. Tusichoke kuwaombea wale wote wanaotamani kuwa wanasiasa. Mwanasiasa wa ukweli ana bidii ya kusoma ili kujua misingi ya nchi, kisha kwa imani yake kumuomba Mwenyezi Mungu kuiishi misingi hiyo huku akiwa mnyenyekevu na mtiifu. Mwanasiasa huyu anaitekeleza kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: majibu ya vipimo mgonjwa wangu wa sukari

    Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni...
  20. V

    JamiiForums Tanzania Mwananchi aliyesafri kwenda Dodoma kwa mgonjwa akitokea Singida atapeliwa na wasajili laini wa Mitandao ya simu

    Wakuu kama mtakumbuka mwezi mmoja uliopita niliandika Mada kuhusu wasajili lain za simu wanavyotapeli Watanzania wenzetu. Sina mengi naomba uchukue Muda kidgo sikiliza audio hapo chini
Back
Top Bottom