Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni...
Wakuu kama mtakumbuka mwezi mmoja uliopita niliandika Mada kuhusu wasajili lain za simu wanavyotapeli Watanzania wenzetu.
Sina mengi naomba uchukue Muda kidgo sikiliza audio hapo chini
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la...
Haya ni maendeleo makubwa katika sekta ya Afya.
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imemuaga Faith Mwinula (9), ambaye ni mtoto wa kumi na nne kupona ugonjwa wa selimundu baada ya kupandikizwa uloto.
Ugonjwa wa Selimundu ni ugonjwa wa kuzaliwa nao kutokana na kuurithi kutoka kwa wazazi wa...
Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
Wizara ya Afya imethibitisha kisa cha pili cha Mpox katika kituo cha mpakani cha Malaba katika Kaunti ya Busia.
Katika taarifa yake siku ya Ijumaa, Katibu wa Baraza la Mawaziri la Afya Dkt. Deborah Barasa alitangaza kwamba mtu husika, dereva wa lori mwanamume mwenye historia ya kusafiri hadi...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekemea na kuwaonya viongozi wa Hospitali nchini ambazo zina magari ya kubebea wagonjwa (ambulance) wenye tabia ya kutoza wagonjwa au ndugu zao malipo ya posho ya dereva pamoja na mtaalamu ambaye uhusika katika safari.
Amesema kwamba ni marufuku kwa hospitali zote...
Wakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.
CHANGAMOTO.
1: Ukosefu wa taarifa za mngonjwa pale anapona tibiwa hospital mbili tofauti kwa wakati tofauti.
2: Kutokea kwa makosa ya kimatibabu kutokana na ukosefu wa taarifa za mngonjwa.
3: Kupelekea madaktari kuanza huduma upya pale wanapokosa taarifa za mngonjwa.
4: Kupelekea mngonjwa...
Miaka kadhaa nyuma nilipata kuishi kwenye familia ya rafiki yangu mkazi wa Dar es salaam. Rafiki yangu huyo kwa miaka yote toka tumefahamiana alikua amenieleza ana dada yake mkubwa (kwa sasa ana miaka 40+ dada yake) mwenye matatizo ya akili. Sikua nimewahi kumuona mpaka nilipoishi kwa wiki nzima...
Mara nyingi hili tukio huwa linanijia kichwani. Sidhani kama nitaisahau Ile siku. Mgonjwa alikuwa baba yangu mzazi. Ni mtu mzima sana Kwa mwaka huo alikuwa na miaka 90+. Alikuwa na hali mbaya sana kiasi kwamba hata kuongea alikuwa hawezi. Hata kuinua tu mkono hakuwa na nguvu hiyo.
Hospitali...
China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans.
The world's first transcontinental live telesurgery
Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje?
Huu ndio upasuaji wa kwanza kufanywa duniani madaktari wakiwa bara lingine na mgonjwa akiwa bara lingine.
Huu ni mfumo wa...
Kwanza, niwapongeze Wahudumu wa afya wenye moyo wa dhati na wanaozingatia taaluma na uadilifu kuhudumia wateja wao. Nakiri maisha ya wengi ikiwemo mimi binafsi yana mchango wa wahudumu wa afya.
Hata hivyo, nimekutana na matukio kadhaa ya makosa ya uzembe wa wazi wa baadhi ya wahudumu wa afya...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kuisikiliza video ya muuguzi aliyedai kuwa ni miongoni mwa wauguzi waliompokea Lissu hospitalini siku alipokimbiziwa hapo baada ya kushambuliwa kwa Risasi na watu wasiojulikana 2017.
Ambapo katika mazungumzo hayo na Lissu muuguzi huyo ambaye anadai...
Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba hazipatikani kwenye Bima
Sasa Me natamani kufahamu Hospitali wanaponiambia Dawa fulani siwezi kuipata kwa...
Kuna ndugu yangu amelipia kifurushi cha NHIF cha Tshs. 530,000 kwa mwaka.
Hapa karibuni amepata tatizo la maumivu ya jino. Kwa vile anaishi Oysterbay, akaamua kwenda kwenye hospitali binafsi iliyo karibu ili kupata matibabu.
Alivyofika hospitali, walimwambia kabla ya kupata matibabu inabidi...
Aliyepandikizwa figo ya nguruwe aruhusiwa
Taarifa ya hospitali imesema mtu huyo alikuwa akipambana na ugonjwa wa figo na alihitaji kupandikizwa kiungo hicho, ili kuokoa maisha yake.
Massachusetts. Richard Slayman (62) kutoka Massachusetts aliyepandikizwa figo iliyobadilishwa vinasaba kutoka...
Habari,
Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila 😭😭😭😭😭😭😭.
Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye mahututi, hawana uzoefu, wanabahatisha, kauli zao zinapingana, hawajui walifanyalo.
Mashine zao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.