Aliyebuni hili Tangazo la Mama mwenye Mtoto Mgonjwa ndani ya DalaDala Buza - Kawe alitumia Akili zake sawa sawa kweli?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
Hivi inawezekana kweli DalaDala za Mbagala - Kawe au Tegeta - Kivukoni lililojaza hadi Milangoni ( huku wengine Wakijambiana bila Aibu wala Huruma kwa kwenda mbele humo ndani ) eti atokee Mama ambaye Mwanae kapatwa na Joto Kali la Homa au Malarial halafu Kondakta amuamuru Dereva wake ageuze Gari na upesi sana wamuwahishe huyo Mama Kituo cha Afya?

Kwahiyo wakati huo Wanageuza hilo Gari lao lililojaza hadi Pomoni kwenda Kituo cha Afya cha karibu na hao Abiria nao Wanamuangalia tu na Kumkubali?

Tangazo la Kijinga mno na natamani kumjua aliyelibuni kwani atakuwa ametumia vibaya Ada za Wazazi wake kumpeleka Shule na Chuo Kikuu Kusoma na Kuelimika.

Mkiambiwa kama mnajijua hamna Akili basi Kazi zingine ( hasa za Ubunifu wa Matangazo na Matukio ) muwe mna Outsource kwa Wataalam ( Wakali wa Kazi hizo ) au hata mnitafute na Mimi GENTAMYCINE niwabunie tu hantaki na mnaendekeza tu Ubahili wenu.

Tangazo limejaa Mapungufu mengi na nahisi likionekana na Watu wengine ( hasa Wageni ) wenye Uelewa huwa hawawadharau nyie ( wao ) tu bali tunadharaulika Watanzania ( Wabongo ) wote.

Haya upesi sana GENTAMYCINE naamrisha hebu lifanyieni Logical Editing hilo Tangazo ili liendane na Mazingira yetu ( Kikwetukwetu ) Watanzania kwani mlivyolibuni ni kama vile tuko nchi zilizokwishaendelea na hata Miundombinu yake inaruhusu.

Mkimaliza Kulirekebisha mje hapa hapa Jamiiforums Kunishukuru GENTAMYCINE na kama kuna hata 5% yangu ya Asante kwa Ushauri Mzuri ( ambao ndiyo Utajiri wangu mkubwa niliopewa na Mwenyezi Mungu ) mtaenda Ofisi za Jamiiforums na mtampa Mtani wangu wa Kihaya na Kaka yangu Digital Genius na Jamiiforums Founder Maxence Melo na atauwakilisha Kwangu hapa Kijijjni Kwangu Uzanakini Butuguri Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Watu wenye Akili Kubwa na Nyingi hadi zingine wameamua Kuwapunguzia Wahaya na wana Mkoa Kagera ( Bukoba ) wote.
 
Kuwapunguzia Wahaya na wana Mkoa Kagera ( Bukoba ) wote.
Liko wapi?
 
Kwel wewe ni kichwa kugumu

Ni kwel haiwezekani Hilo,lakin lengo la tangazo ni kuonesha kuwa ni muhimu sana kumuwahisha mtoto hospital ili apate huduma za mapema ili kuokoa uhai wake
 
Hivi inawezekana kweli DalaDala za Mbagala - Kawe au Tegeta - Kivukoni lililojaza hadi Milangoni ( huku wengine Wakijambiana bila Aibu wala Huruma kwa kwenda mbele humo ndani ) eti atokee Mama ambaye Mwanae kapatwa na Joto Kali la Homa au Malarial halafu Kondakta amuamuru Dereva wake ageuze Gari na upesi sana wamuwahishe huyo Mama Kituo cha Afya?

Kwahiyo wakati huo Wanageuza hilo Gari lao lililojaza hadi Pomoni kwenda Kituo cha Afya cha karibu na hao Abiria nao Wanamuangalia tu na Kumkubali?

Tangazo la Kijinga mno na natamani kumjua aliyelibuni kwani atakuwa ametumia vibaya Ada za Wazazi wake kumpeleka Shule na Chuo Kikuu Kusoma na Kuelimika.

Mkiambiwa kama mnajijua hamna Akili basi Kazi zingine ( hasa za Ubunifu wa Matangazo na Matukio ) muwe mna Outsource kwa Wataalam ( Wakali wa Kazi hizo ) au hata mnitafute na Mimi GENTAMYCINE niwabunie tu hantaki na mnaendekeza tu Ubahili wenu.

Tangazo limejaa Mapungufu mengi na nahisi likionekana na Watu wengine ( hasa Wageni ) wenye Uelewa huwa hawawadharau nyie ( wao ) tu bali tunadharaulika Watanzania ( Wabongo ) wote.

Haya upesi sana GENTAMYCINE naamrisha hebu lifanyieni Logical Editing hilo Tangazo ili liendane na Mazingira yetu ( Kikwetukwetu ) Watanzania kwani mlivyolibuni ni kama vile tuko nchi zilizokwishaendelea na hata Miundombinu yake inaruhusu.

Mkimaliza Kulirekebisha mje hapa hapa Jamiiforums Kunishukuru GENTAMYCINE na kama kuna hata 5% yangu ya Asante kwa Ushauri Mzuri ( ambao ndiyo Utajiri wangu mkubwa niliopewa na Mwenyezi Mungu ) mtaenda Ofisi za Jamiiforums na mtampa Mtani wangu wa Kihaya na Kaka yangu Digital Genius na Jamiiforums Founder Maxence Melo na atauwakilisha Kwangu hapa Kijijjni Kwangu Uzanakini Butuguri Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Watu wenye Akili Kubwa na Nyingi hadi zingine wameamua Kuwapunguzia Wahaya na wana Mkoa Kagera ( Bukoba ) wote.
sio kila kitu ni kupinga tu, mantiki ya lile tangazo ni kuwa kila mmoja wetu anapaswa kutambua umuhimu wa afya kwanza kama kipaumbele hasa pale linapokuja suala la kuokoa maisha.

kwamba konda na dereva na hata abiria wengine iliwapasa kurudi kituo cha afya japokuwa wao walikuwa na wajibu wa kusaka maokoto kule wanakoelekea.

Ujumbe unaeleweka sana, maboresho yafanyike iwapo tangazo litageuzwa kuwa maigizo.
 
Hivi inawezekana kweli DalaDala za Mbagala - Kawe au Tegeta - Kivukoni lililojaza hadi Milangoni ( huku wengine Wakijambiana bila Aibu wala Huruma kwa kwenda mbele humo ndani ) eti atokee Mama ambaye Mwanae kapatwa na Joto Kali la Homa au Malarial halafu Kondakta amuamuru Dereva wake ageuze Gari na upesi sana wamuwahishe huyo Mama Kituo cha Afya?

Kwahiyo wakati huo Wanageuza hilo Gari lao lililojaza hadi Pomoni kwenda Kituo cha Afya cha karibu na hao Abiria nao Wanamuangalia tu na Kumkubali?

Tangazo la Kijinga mno na natamani kumjua aliyelibuni kwani atakuwa ametumia vibaya Ada za Wazazi wake kumpeleka Shule na Chuo Kikuu Kusoma na Kuelimika.

Mkiambiwa kama mnajijua hamna Akili basi Kazi zingine ( hasa za Ubunifu wa Matangazo na Matukio ) muwe mna Outsource kwa Wataalam ( Wakali wa Kazi hizo ) au hata mnitafute na Mimi GENTAMYCINE niwabunie tu hantaki na mnaendekeza tu Ubahili wenu.

Tangazo limejaa Mapungufu mengi na nahisi likionekana na Watu wengine ( hasa Wageni ) wenye Uelewa huwa hawawadharau nyie ( wao ) tu bali tunadharaulika Watanzania ( Wabongo ) wote.

Haya upesi sana GENTAMYCINE naamrisha hebu lifanyieni Logical Editing hilo Tangazo ili liendane na Mazingira yetu ( Kikwetukwetu ) Watanzania kwani mlivyolibuni ni kama vile tuko nchi zilizokwishaendelea na hata Miundombinu yake inaruhusu.

Mkimaliza Kulirekebisha mje hapa hapa Jamiiforums Kunishukuru GENTAMYCINE na kama kuna hata 5% yangu ya Asante kwa Ushauri Mzuri ( ambao ndiyo Utajiri wangu mkubwa niliopewa na Mwenyezi Mungu ) mtaenda Ofisi za Jamiiforums na mtampa Mtani wangu wa Kihaya na Kaka yangu Digital Genius na Jamiiforums Founder Maxence Melo na atauwakilisha Kwangu hapa Kijijjni Kwangu Uzanakini Butuguri Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Watu wenye Akili Kubwa na Nyingi hadi zingine wameamua Kuwapunguzia Wahaya na wana Mkoa Kagera ( Bukoba ) wote.
Wewe mbunifu unatala liwe vipi
 
...Tangazo la Kipuuzi !!..
 
Back
Top Bottom