mgeni rasmi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Havana Cuba Novemba 7-10, 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kwanza la kiswahili kimataifa litakalofanyika Havana Nchini Cuba kuanzia Tarehe 7 November hadi 10 November. Ambapo kongamano hilo...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuwa Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Nchini Cuba

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Kwanza la Kiswahili la Kimataifa litakalofanyika jijini Havana, nchini Cuba, kuanzia Novemba 7 hadi 10, 2024. Kongamano hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na washiriki takriban 600...
  3. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Isack Mwigulu awa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya watendaji wa UVCCM Singida

    Nyota ya Isack Mwigulu inazidi kung’aa, safari awa mgeni rasmi kwenye semina ya utendaji wa UVCCM kwa mkoa wa Singida.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC

    28 September 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Q_op3a827-s Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC. Hayo yamebainishwa na makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC sheikh Habibu Mbota. Mkutano huo mkubwa wa kitaifa utahudhuriwa wajumbe zaidi ya 400 wa mikoa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Tamasha la Kitaifa la Utamaduni Songea

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hasssan, Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Tamasha la Kitaifa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Day 2: Mkutano wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Dodoma, Septemba 5, 2024

    Mkutano wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (Annual Non-Government Organizations Forums), Jijini Dodoma, unaelekea leo Septemba 5, 2024 ikiwa ni siku ya pili yhangu ulipoanza. Mkutano huo ambao unafanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete umepangwa kufanyika kwa siku tatu...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Mgeni Rasmi Kongamano la 9 la Wahandisi Wanawake, 2024

    BASHUNGWA MGENI RASMI KONGAMANO LA 9 LA WAHANDISI WANAWAKE, 2024. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 21 Agosti 2024 atafungua Kongamano la tisa (9) la Wahandisi Wanawake nchini linalofanyika Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam (JNICC)...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mpwa wa Magufuli akiona cha moto Kunduchi, Azuiliwa kwa fitna za Askofu Gwajima

    Mdau wa michezo Furaha Dominic amesema amezuiliwa kuwa Mgeni Rasmi katika fainali ya mchezo wa mpira wa miguu katika ligi ya Kunduchi super cup kutokana na sababu ambazo amesema ni za kisiasa kwani alipata mualiko wa kuwa mgeni rasmi katika fainali hizo wiki tatu kabla lakini leo imeenda...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa mgeni rasmi mahafali ya Chuo cha Ukamanda na unadhimu Duluti

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) Juni 15, 2024 amefunga rasmi mafunzo ya mwaka mmoja ya Ukamanda na Unadhimu katika Mahafali ya 38 ya Chuo cha Ukamanda na Unadhimu Tanzania zilizofanyika katika Viwanja vya chuo hicho, Duluti Arusha. Mahafali hayo ambayo...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Uvuvi Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mujibu wa waziri wa mifugo na uvuvi Mheshimiwa Abdallal Ulega Amesema ya kuwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa mgeni Rasmi wa mkutano wa uvuvi Barani Afrika. Ameyasema hayo na kutoa taarifa hiyo...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania WPFD DAY 2: Mei 2, 2024, Media AI and Emerging technologies, mjadala wa JamiiForums

    Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwa Mwaka 2024 yanafanyika Mei 1-3 Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, leo Mei 2, 2024 ni siku ya pili ya maadhimisho hayo. Wadau watajadili mambo mbalimbali, pia kuangazia mchango wa Uandishi wa Habari na...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Yaliyotokea Uchaguzi wa 2019 na 2020 yakitokea tena Uchaguzi wa 2025 itakuwa ni mwanzo wa Vurugu

    Kongamano la Wadau kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Uchaguzi wa Kuaminika (Agenda for Stakeholders’ Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections), linafanyika kwenye Ukumbi wa New Dodoma Hoteli, leo Aprili 30, 2024 Baadhi ya Washiriki na ambao...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 13 wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni Rasmi ni Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

    Wanabodi, Karibuni,
  14. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Yanga tupeni mrejesho mechi ijayo ni ya mchezaji gani? Simba nani atakuwa mgeni Rasmi? Naona mmetangaza viingilio tu

    Imeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia mechi ya yanga ilipewa jina la Pacome huku Simba mgeni Rasmi akiwa Enonga Baka na kufanikiwa...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Inonga mgeni rasmi kwenye mechi yetu J'mosi

    Simba SC itacheza mchezo wake wa mwisho wa Kundi B wa CAF Champions League dhidi ya Jwaneng Galaxy siku ya Jumamosi ya March 02, 2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Kuelekea mchezo huo Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally ametangaza kuwa siku hiyo Mgeni rasmi...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa mgeni rasmi TASWA Media Day Bonanza 2024, Februari 10, 2024

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimeandaa bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini "TASWA Media Day Bonanza 2024" linalotarajia kufanyika Februari 10, 2024...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wakatili aisee; nilishuhudia mgeni rasmi akitoa zawadi ya mfuko wa pipi tu

    Ni mwaka jana tu katika mahafali ya darasa la saba sehemu fulani niliyoalikwa na mkuu wa shule huyo ambaye ni rafiki yangu mzuri. Tumetulia mara mgeni rasmi kafika na suti yake kuuubwa. Yamefanyika yaliyofanyika hadi muda wa kukaribishwa yeye ukafika. Akaongea vizuri kwa kutoa rai murua kabisa...
  18. President of China

    JamiiForums Tanzania Kufunga mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa - tarehe 3 na 4 januari, 2024 (Mgeni Rasmi: Doto Biteko)

    KUFUNGA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Doto Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati 🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion Centre - Dar...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mgeni rasmi kwenye soka ni wa kazi gani, Mbona Ulaya hawapo?

    Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar. Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu ametajwa cheo chake kuwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini Magharibi. Swali langu ni hili, hivi kazi...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
Back
Top Bottom