mgeni rasmi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Simba SC mmetumia vigezo gani kumchagua Kinana kuwa Mgeni Rasmi?

    Siku zote tunasema michezo ni lazima ijitenge na siasa watu hawasikiii. Sasa niwaulize wana simba ni kigezo gani mmekitumia kumchagua Kinana ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi? NB: Maendeleo hayana chama. Cc; Erythrocyte
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nchi gani nyingine maadhimisho ya Siku ya Sheria Mgeni Rasmi huwa Rais?

    JPM ndiyo alikuwa Mwanzilishi wa kucapture siku hii na kuifanya Mahakama iwe chini ya mihimili yote. Yaani nikiona hivi ninashikwa hasira sana. Ninawakumbuka akina Jaji Nyalali na angalau Samata! Yaani, sijui tumelogwa na nani hadi kufuata mfumo usiokuwepo duniani?
  3. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kilele cha Siku ya Sheria 2022: Rais Samia ataka Utu kuzingatiwa katika utoaji wa Haki. Anuani za makazi kukamilika kabla ya Sensa ya Watu na Makazi

    Leo Februari 02, 2022 katika ukumbi wa Chinangali Park, Dodoma Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini akiwa kama Mgeni Rasmi. Kauli Mbiu ni: Zama za Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, Safari ya Maboresho Kuelekea Mahakama Mtandao UPDATES: RAIS...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi siku ya sheria, Februari 2

    Uongozi wa Mahakama ya Tanzania, umesema Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuongoza sherehe za Siku ya Sheria Februari 2, Chinagali jijini Dodoma, badala ya Februari Mosi, 2022. Hatua ya kuahirisha sherehe hizo zilizokuwa zifanyike Februari Mosi imetokana na sababu zisizoweza kuzuilika. Kwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa kama mgeni rasmi Tamasha la Utamaduni la Mkoa wa Kilimanjaro

    Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao. Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa wa Kilimanjaro. Tukio liko mubashara Clouds tv, TBC na Channel ten. Karibuni nyote Updates;
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Uhuru

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za uhuru wa Tanzania Bara zitakazofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumatano...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi Mkutano wa Vyama vya Siasa - Desemba 16

    Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa vyama vya siasa pamoja na wadau mbalimbali wa siasa. Mkutano huo ambao awali ulitakiwa kufanyika Oktoba 21, mwaka huu lakini ukahairishwa, imeelezwa kuwa utafanyika Desemba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbio za 29 za mwenge wa Uhuru kumaliza siku 150 na wilaya 150 kesho Wilayani Chato | Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mgeni rasmi

    Mwenge wanusa harufu ya rushwa na ufisadi kwenye miradi 49 kati ya miradi 1,097 yenye thamani ya 1.2trilioni iliyozinduliwa | TZS 65b zahofiwa kutafunwa na mchwa, " Chato tunasema Asante " Mtakumbuka Mwenge wetu wa Uhuru uliwashwa rasmi tarehe 17|05|2021 Makunduchi Zanzibar na leo tarehe...
  9. tpaul

    JamiiForums Tanzania Simba kwa huyu mgeni rasmi wa Simba Day leo, mmetuangusha sana mashabiki

    Naingia kwenye hoja moja kwa moja lakini awali ya yote naomba ku declare intest kwamba mimi ni mwanaSimba kindakindaki. Nina imani Simba Day ya leo tarehe 19/9/2021 imeandaliwa vizuri kimkakati na kimipango lakini kuna jambo moja ambalo klabu imetukusea sisi mashabiki wa ukweli wa Simba. Tangu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Green Cup Shinyanga: Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda kuwa mgeni rasmi

    VIVA TANZANIA | VIVA UVCCM UZINDUZI WA UVCCM GREEN CUP KITAIFA, KAMBARAGE-SHINYANGA18/9/2021 __________________________________ MGENI RASMI : MH WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MJUMBE WA KAMATI KUU CCM TAIFA MIZENGO PINDA AKIAMBATANA NA MHE KENANI KIHONGOZI KATIBU MKUU UVCCM-TAIFA KARIBUNI SANA...
  11. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi "KiziMkazi Day" Festival Visiwani Zanzibar Jumamosi Agosti 28

    Rais Samia kuwa mgeni rasmi KiziMkazi 2021 Festival- MJI MPYA __________________________________ Huu ni ushahidi mwingine wa Unyenyekevu Uliopitiliza wa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT, #KisiMkazi Festival, Ni kongamano la Vijjii viwili vinaungana kudumisha mila,desturi na tamaduni zao...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Dkt Philip Mpango Mgeni Rasmi Ufunguzi Mkutano Mkuu wa BAKWATA Tanga

    Wadau wa JF Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango atakuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkutano huo mkuu utafanyika siku ya Jumapili Juni 27,2021 Mkoani Tanga Taarifa imetolewa na Katibu Mkuu wa...
Back
Top Bottom