mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. eMALALAMIKO: Mfumo huu wa kuwasilisha malalamiko serikalini utatekeleza majukumu kusudiwa?

    Serikali kupitia wizara ya utumishi wa umma imezindua mfumo wa kuwasilisha malalamiko, pongezi na ushauri kwa njia ya kieletroniki. Wadau najiuliza mfumo utasaidia kupunguza gharama za kufika maofisini kwa waliombali na makao makuu ya nchi? Kweli wamezindua mfumo je watakua active kupokea na...
  2. Usajili timu za bongo ni pata potea. Hakuna mfumo maalumu unaotumika

    Viongozi wa soka wa timu za ligi kuu hapa bongo hasa hizi kubwa wanapaswa kubadilika...maswala ya sajili za kubahatisha yamepitwa na wakati...Kama kweli tunataka kupiga hatua inabidi tubadilike kwenye hii angle. Ni bongo pekee ambapo usajili wa mchezaji hauzingatii CV yake bali upepo alioamka...
  3. TCU mfumo wa CAS haukua mzuri, mfumo wa sasa ndio mzuri

    TCU mfumo CAS ulifeli kwa kuwachagulia wanafunzi fani wasizozitaka na vyuo wasivyovitaka. Yaan mtu anaenda kusoma chuo kikuu fani asiyoitaka wala hakuiomba, na hajui inahusiana na nini. Chuo kikuu sio sekondari kwamba umpangie mtu chuo na kozi ya kusoma. Hata Ulaya hawafanyi hivyo. Waacheni...
  4. TCU rudisheni mfumo wa kudahili wanafunzi vyuoni kwa njia ya mtandao (CAS)

    TCU ni taasisi inayodhibiti ubora wa elimu ya juu. Inakagua, inashauri, inaruhusu Na kusimamisha au kufuta vyuo visivyokidhi vigezo vya ubora. Hivyo, vyuo vyote ambavyo vinatoa mafunzo vimefikia vigezo (minimum) vya ubora wa kumudu kutoa mafuzo yaliyokusudiwa. Ingawa ni kweli vyuo vinatofautiana...
  5. K

    Kama kuna kosa kubwa kwa miongo 3, hili la mfumo wa uajiri kisiasa limezidi

    Nazungumzia mfumo Wetu wa uajiri na siasa zetu za vyama namna lilivyoathiri. Ukweli ni kwamba tumeendekeza siasa ambapo chama kilichoshinda Iwe Kwa haki au mizengwe ndio kinaunda serikali na Kuwa na ushawishi kwenye Ajira zote nyeti. Hatimae kwa takriban miongo mitatu sasa athari iko wazi...
  6. S

    Waziri wa Utumishi aanzisha mfumo wa kielekroniki unaoitwa "Sema na Waziri" kupoke malalamiko ya watumishi na wananchi

    WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amesema serikali haitomvumilia mkuu wa idara katika taasisi ya umma atakayesababisha mtumishi akose stahili yake au mwananchi kukosa huduma bora. Mchengerwa amesema hayo Dodoma wakati akifungua...
  7. M

    Waziri Mkuu, mfumo wa TRA wa utoaji TIN Namba unahujumiwa

    Mhe. Waziri Mkuu Hongera kwa kazi nzuri, sisi Watanzania tunakupa Hongera kwa kazi nzuri unazoendelea kuchapa. Hongera kunyoosha TANESCO, Bandari, EPZA nk. Kwa sasa mulika TRA mitandao yao mingi ya utoaji Control namba na TIN namba haifanyikazi kama zamani. Tangu Jumatatu ya wiki hii TIN namba...
  8. K

    Serikali ianzishe mfumo wa "internship" kwa Walimu wahitimu kuliko kujitolea

    Habari JF, Hakuna kitu kinaumiza kama msomi na mwalimu aliyesomea na kufuzu mafunzo ya ualimu na kwenda kufanya kazi katika shule za serkali kwa kujitolea bure Hakika hii haikubaliki, ni unyonyaji wa kiwango kisichoelezeka. Mtu kufanya kazi bure ndani ya nchi hii ni kinyume na haki za binadamu...
  9. B

    Prof. Palamagamba Kabudi : Ni furaha yangu sasa kuna Mfumo wa Kisheria kiganjani

    Kwa mara ya kwanza sasa waTanzania wanaweza kujifunza wao wenyewe kupitia mfumo wa kisheria wa kidijitali unaopatikana simu janja za kiganjani. Hatua hii imefikiwa kupitia msaada mkubwa wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Haki yaani LSF About LSF – Legal Services Facility kupitia app inayojulikana...
  10. Tanzania itabidi tufikirie ku adopt mfumo wa Technocracy ili mambo yaende.

    Huwa napenda kukaa chini na kuangalia namna wenzetu duniani wanafanya nini, ambacho na sisi tunaweza kuiga kwa manufaa ya taifa letu. Kuanzia February mwaka huu, nchi ya Italia imekuwa ikiongozwa na waziri mkuu mpya, anayeitwa Mario Draghi. Kwa kifupi, huyu ni nguli wa uchumi wa bara la ulaya...
  11. Covid - mfumo wetu wa kupima Korona hauwafai watalii...

    Kwa Muda sasa nimekuwa nafuatilia mfumo wetu wa kupima covid (PCR) nikaona unawafaa watu ambao hawana haraka au hawana tatizo la muda kitu ambacho sio rafiki kabisa kwa utalii 1. Tulitangaziwa kuwa majibu kwa Dar/ Arusha mikoa yenye Lab yatatoka Ndani ya saa 24 kitu ambacho, ukiuliza lab...
  12. Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania

    Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania ni kwamba RoteLearning ndio injini, moyo na roho ya elimu rasmi. Rote Learning ni mfumo wa kujifunza ambao mwanafunzi hutakiwa kukariri na kukumbuka. Mbadala wake ni pamoja na mbinu za kujifunza zinazozingatia fikra tunduizi, majaribio ya...
  13. S

    Mali za CCM zipigwe mnada; nyingi ziliibwa kwenye mfumo wa Chama kimoja TANU na ASP

    Ni mali nyingi sana Chama hiki kimejimilikisha kama tunavyoona kila CCM anaepata uongozi serikalini nae hukwapua mali na hata kugonga milango ya BoT na kufanya mazabe mpaka hufanikiwa kumega, tumesikia kutoka kwa mkaguzi ya kuwa kuna hela haioni. Na ndio tukaona hakuna MCCM anaeendelea, mwisho...
  14. L

    Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

    Wapendwa habari! Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate. Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana...
  15. Ufaransa yaipiga Google faini ya Tsh bilioni 621 kwa kujipendelea katika mfumo wa matangazo ya Kidigitali

    Kampuni ya Google imepigwa faini ya Euro milioni 220, sawa na zaidi ya Tsh. bilioni 621 na kutakiwa kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa matangazo ya mtandaoni nchini Ufaransa. Mamlaka za Ushindani wa Kibiashara nchini Ufaransa zimesema faini ya Google inatokana na kutumia nafasi...
  16. Tatizo la mfumo wa Luku, Mbunge Kingu ahisi ilikuwa ni 'Sabotage' kwa Serikali

    Akiwa Bungeni mkoani Dodoma, Mbunge Singida Magharibi, Elibariki Kingu amempongeza Waziri wa Nishati kwa Kazi kubwa anayoifanya na kushangazwa na sintafahamu iliyotokea kwenye mfumo wa Luku na kwa upande wake alihisi ni 'Sabotage' kwa serikali ya Chama cha Mapinduzi. Amempongeza Waziri kwa...
  17. Mfumo imara huhitaji watu imara. Tanzania tuna watu wavivu walalamishi, waongo na walafi

    Tusidanganyane mfumo imara hujengwa na watu majasiri,shupavu na walio imara kwenye kusimamia sheria. je hao watu tunao? Mfumo imara hutegemea wananchi imara wenye kujua sheria na taratibu za nchi zao na hasa haki zao za msingi na iwapo sheria, taratibu na haki zao katika nchi zikivunjwa au...
  18. Mfumo wa Lawson haupatikani; Tatizo ni nini?

    Maafisa utumishi mliopo humu tunaomba mtwambie, sasa ni wiki ya pili mfumo LAWSON haupatikani nchi nzima. Tatizo ni nini na itarejea lini? Fomu yangu ya mkopo imekwama mezani kwa hii wiki ya pili sasa kisa mfumo!
  19. Huawei kuzindua mfumo wake wa uendeshaji simu janja mbadala wa Android

    Kampuni ya Teknolojia ya China, Huawei inaanzisha mfumo wake mpya wa uendeshaji wa simu za janja (smartphones) unaojulikana kama HarmonyOS baada ya Marekani kuizuia kufanya kazi na kampuni ya Google. Huawei inatarajiwa kuzindua mfumo huo leo kwa baadhi ya vifaa kama simu za janja, vishkwambi...
  20. Hivi mfumo wa kuunganisha cheti bado upo?

    Naomba mnijuze wapendwa nataka kujua mfumo wa kuunganisha vyeti vya kidato cha NNE bado upo na kama upo naomba mnitajie sehemu usika nitakayosaidiwa. Asanteni🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…