mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Umasikini unaanzia kwenye mfumo wetu wa elimu ambao umepitwa na wakati

    Nauona umaskini unaanzia pale mtu uko zako chuo halafu unakaa miaka zaidi ya mitatu bila kufanya kazi unakamua pesa tu za wazazi kukulipia ada na malazi bila kuingiza chochote na mwisho wa siku ajira hakuna! Huu ni umasikini tuliokubali kujitengenezea bila kujua kuwa ni chanzo cha umasikini...
  2. Execute

    JamiiForums Tanzania Digrii, Masters na PhD zote zifutwe tuanzishe mfumo wa elimu unaoendana mazingira yetu

    Tanzania hakuna madaktari bali watoa dawa, hakuna wahandisi bali watu wa kufanya replacement ya vifaa, hakuna wasanifu bali watu wa kukopi, hakuna wanasiasa bali wachumia tumbo, nk Hii elimu ya sasa haina manufaa kwetu kwasababu hatuitumii kufanyia uvumbuzi wowote zaidi ya kuagiza bidhaa nchi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mfumo wetu ndio unaotunyonga!! Na Wahusika wa mfumo wanatushuhudia tunavyokufa

    Ulishawahi kumuona kipofu barabarani akikosea njia,na pembeni kuna mtu mzima wa kumsaidia,lakini Cha ajabu badala ya kutoa msaada anasepa akijisemea Moyoni yupo mwingine atakayekuja kumsaidia!! .....najua kila ck watu wanalalamika,na wahusika wanaona malalamiko kila ck!! Ila wanasubiri Hadi...
  4. Itug

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa O-level

    Je Unataka mfumo wa kuchakata matokeo kwa shule yako? Mfumo huu hapa utakusaidia kuandaa matokeo, ripoti na timetable kwa urahisi zaidi. Unapatikana hapa, download tu na anza kutumia ILI KUTUMIA 1. hakikisha unatumia computer yenye MS office (iwe na ms excel) 2. Fungua file kwa ku-double click...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na mfumo wa boarding school

    Tuanze kuelewana, Elimu ni gharama sana, hasa ukiongelea hizi shule za sekondari za boarding zinazoendeshwa na serikali. Serikali kuendesha shule za boarding kwa sasa imeshapitwa na wakati. Shule zote za serikali zilitakiwa kuwa za day (mchana tu) na hii itasaidia kila mkoa kuzitumia shule...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania EU: Mwaka 2025 Simu zote zitarejeshwa kwenye mfumo wa Betri za kutoa (𝗥𝗲𝗽𝗹𝗮𝗰𝗲𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗕𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀)

    Baada ya USB-C kulazimika kuwa ndio port ambayo itakuwa katika simu zote duniani na kampuni kama Apple kukubali kuanza kutengeneza iPhone ambazo zitakuwa na port na cable ya USB-C; kinachofuata ni replaceable batteries. 𝗥𝗲𝗽𝗹𝗮𝗰𝗲𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗕𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀 𝗻𝗶 𝗻𝗶𝗻𝗶? Kwa wale ambao wameanza kutumia simu tangu...
  7. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli juu ya kauli kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziendelei kutokana na kuridhishwa na mfumo mbovu wa elimu?

    Kabla ya ujio wa Wazungu barani Afrika,Waafrika walikua na mfumo wao wa elimu kwa vitendo kulingana na mazingira. Elimu kama ya Uvuvi,madawa,kilimo,ufugaji,maadili zilikua zikitolewa na uchumi ulikua ukikua kwa kasi. Ujio wa Wazungu barani Afrika ukasababisha ukoloni na baada ya miaka ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Putin aziponda Patriot missile air defense, asema ni mfumo wa kizamani na mwarobaini wake upo

    Rais Putin wa Urusi ameuponda mfumo wa ulinzi wa anga wa marekani ambao utapelekwa ukraine. Amesema ni mfumo wa kizamani na mwarobaini wake upo. Asema hauwezi hata kuufikia mfumo wa S300 wa Urusi, achilia mbali baba lao S400. Na ujue Urusi ana pia S500 ambayo hiyo haiuzi ni kwa ajili ya matumizi...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa lawson

    Napenda kukutanisha watumishi wa umma mbalimbali na maafisa wanao tumia huu mfumo katika majukumu mbalimbali kupeana hints, maswali na majibu ili kuweza kujiweka mazingira mazuri. SWALI: Mwenye ufahamu je huu mfumo ushaanza kutomoa masters degree za by thesis (research only ambazo hazina...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, nakushauri ufumue mfumo wa elimu kuanzia Awali, Msingi, Sekondari ndipo uanze mambo ya ajira za GPA

    Waziri mkenda, ninaomba nikupe ushauri wa bure kabisa kuhusu elimu. Kwa sasa mambo ya ajira za GPA uko sawa ila anza kufumua mfumu, muundo na mitaala ya elimu nchini. Prof, hakikisha kila shule ya msingi ina madarasa 2 ya awali na walimu wa awali wenye uwezo wa kufundisha wanafunzi kwa lugha...
  11. system hacker

    JamiiForums Tanzania Amkeni: Niambie unafanya biashara gani nikusaidie kupata fedha zaidi kwa kutumia mfumo wa sayansi ya fedha na biashara

    New update . . . . 25.12.2022 Merry Christmas and Happy New Year 2023. Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace? . . CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi. . . Watu wamejiunga kwenye mfumo huu, ili kufanya...
  12. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mnataka kuchukua nchi fanyeni marekebisho kuanzia mfumo wenu wa uongozi kwa ujumla

    Hellow, Hakuna chama cha upizani kina nguvu kama CHADEMA na kina watu wengi sana kuliko vingine vyama vya upinzani. Lakini pia kina watu makini sana ambao watu hao wamejawa na tamaa, yaani ni wabinafsi sana kuliko kawaida. CHADEMA kina miaka mingi sana tangu kianzishwe Tanzania, lakini Ofisi...
  13. Logikos

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna mfumo gani na tunataka Mfumo upi? Ubepari, Soko huria, au vyote?

    Sababu hakuna mfumo ambao ni asilimia 100 na mifumo yote ni mchanganyiko tofauti tofauti napenda kujua watanzania wanapenda mfumo gani na mfumo upi unaweza kuwafaa? Ubepari? Market socialism? Ubepari ukiwa na Soko Huria? Soko Huria? Command Economy? Unknown (Yaani Made in Tanzania) Au...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira ni tokeo la mfumo wa elimu uliokosa fikra bunifu

    Fikra ni namna mtu anavyochukulia jambo fulani, fikra ni mawazo ya mtu juu ya kitu fulani katika maisha kwa ujumla wake, mara nyingi kabla ya kumshauri mtu, tunaanza na fikra, start with mindset, fikra ni dhana, fikra, umasikini na utajiri vinaenda sambamba,lakini tujiulize nini chanzo cha...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kubaini madereva wanaochati, kuongea na simu waingia Dar

    Katika kupunguza ajali za barabarani zianazotokana na madereva wanaoendesha vyombo vya moto nchini, Kampuni ya Cogsnet Technologies imekuja na teknolojia mpya ya kufunga mfumo wa kielectroniki utakaokuwa unarekodi na kupiga picha makosa yote yanayofanywa na madereva wa magari wanapokuwa...
  16. raxx

    JamiiForums Tanzania Je, mfumo wetu wa elimu ni chanzo cha umasikini?

    Moja kwa moja kwenye mada!! Mara nyingi najiuliza kwamba suala hili la mfumo wetu wa elimu kuzalisha mbumbumbu, Serikali hailioni imeshindikana kuubadilisha, au kuna manufaa gani inapata kwa mfumo huu. Miaka 7 ya primary school tunafundishwa Mkwawa alikufa mwaka gani? Mara Kinjekitile Ngwale...
  17. K

    JamiiForums Tanzania CCM inayoongozwa na mwanamke bado ina mfumo dume

    Wakati napitia pitia orodha ya walioteuliwa kuwania nafasi mbalimbali za Chama Cha Mapinduzi, (CCM), ghafla nikakutana na nafasi mbili ambazo wagiombea wake ngazi ya wenyeviti ni wanaume watupu na nagazi ya Makamu Mwenyekiti ni wanawake watupu. Katika kutafakari endapo jambo hilo limetokea kwa...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wetu wa Elimu utakuwa na manufaa miaka 50 ijayo?

    Nianze kwa kusema naipongeza serikali kwa juhudi kubwa iliyoiweka katika utengenezaji was miundombinu mizuri hasa madarasa pamoja na kuweka mikopo Kwa wanafunzi wa Elimu ya juu. Swali linabaki Moja je, uwekezaji huu wa serikali kwenye Elimu utawezesha vijana kuwa na fikra chanya juu ya...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa wadaiwa kuingilia Mfumo na kuonekana kama Wamelipa Ada

    Wanafunzi wadaiwa kuingilia mfumo, waghushi malipo ada Kwa kufanya hivyo, wanafunzi hao wanaonekana hawadaiwi, hivyo kukikosesha chuo mamilioni ya shilingi. Pia wanadaiwa kughushi stakabadhi za malipo na mihuri ya benki ili kujiridhisha kuwa hawadaiwi ada. Uchunguzi wa kina ambao umefanywa na...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapongeza(NECTA) kwa kuwa na mfumo wa kielektroniki wa usahihishaji

    Na WyEST, DAR ES SALAAM. Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imepongeza Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa kuwa na mfumo wa kielektroniki wa usahihishaji mitihani ambao umerahisisha zoezi la usahihishaji mitihani ya Taifa. Pongezi hizo zimetolewa Jijini...
Back
Top Bottom