Silaha ya mfumo wa kinga ya anga S-400 ya Russia yaangamizwa na Ukraine

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,914
15,340
Ushahidi wa kwanza wa kuangamizwa kwa silaha ya mfumo wa kinga ya anga ya Urusi maarufu kama (S-400 Air Defence System) umepatikana.

Hii ni mara ya kwanza kwa Ukraine kutoa ushahidi wa wazi kuthibitisha madai yao ya kuiangamiza silaha hiyo ya kisasa ya Russia.

Propaganda hizo, fuatilia hao kama wana habari postive hata moja kuhusu Russia
Mkuu ni gazeti la uhindini, kufuatilia unaweza mwenyewe. Unavyojua Uhindi wamenunua silaha nyingi za Kirusi (sijui kama bado wanapenda?) pia wamekataa kukemea Urusi kwa kuanzisha vita. Kuna dalili yoyote kwamba taarifa si kweli?
 
Ushuzi tu!!! sisi tunajadili namna ya kuiteka bhakmut na sio vitu vidogodogo hivi.....
Mkuu siyo hata Bakhmut ni mji mdogo sana? Tusipuuze vitu vidogo. Angalau Urusi inajitahidi tangu miezi kukamata mji ule mdogo . .
 
Ushahidi wa kwanza wa kuangamizwa kwa silaha ya mfumo wa kinga ya anga ya Urusi maarufu kama (S-400 Air Defence System) umepatikana.

Hii ni mara ya kwanza kwa Ukraine kutoa ushahidi wa wazi kuthibitisha madai yao ya kuiangamiza silaha hiyo ya kisasa ya Russia.

Kila siku Huwa namsema hakuna Cha s 500 Wala Patriots nk vinaweza zuia makombora hizo Huwa ni fix tuu
 
Back
Top Bottom