Kwa wiki kadhaa nimekuwa nikifuatilia chombo chetu cha habari cha Taifa TBC1 na kwa mtu mwenye akili timamu atagundua kuna namna fulani ya kumbania Waziri Mkuu wetu publicity.
Wiki iliyopita alikuwa na ziara ya kikazi mkoani Songwe na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo lakini matukio yake hayakurushwa mubashara na TBC1 lakini siku hizo hizo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi alipewa Live coverage akitilia saini mikataba yabujenzi wa barabara.
Hivi kweli Waziri Mkuu hapewi live coverage akifanya shughuli za Serikali lakini Waziri anapewa. Kwa mtazamo wangu naona kuna hofu kuwa PM akipewa publicity anamu-outshine bosi wake hivyo cha kufanya nikutompa live covarage kwenye kazi zake.
Niliwahi kuona siku moja akiwa kwenye tukio moja TBC1 ilianza kurusha mubashara lakini baada ya muda ilikatishwa bila sababu za msingi, hii haileti picha nzuri kwa Serikali na ni dharau kwa PM