Mfumo wa kadi Stendi ya Magufuli kuanzia 20/02/2023

HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
69,364
94,545
Hatua ya matumizi ya N- Card iliyoanza leo Jumatatu Februari 20, 2023 imelenga pia kupunguza changamoto ya foleni hasa wakati asubuhi ambapo kuna kuwa abiria na wasindikizaji wengi katika eneo hilo.

Kaimu Ofisa Habari wa Manispaa ya Ubungo, Joina Nzali amewaambia wanahabari katika mchakato huo wameshirikiana na Kituo cha Taifa cha Kutunza Kumbukumbu Kimtandao kilichoweka mfumo wa kieletroniki wa kukata na kudhibiti tiketi kwa kutumia milango ya kisasa.

" Mfumo huu utarahisisha huduma kwa wananchi kwa kukidhi mahitaji ya Serikali ya kukusanya mapato kidijitali, kupunguza foleni na kuondoa matumizi ya fedha taslimu kwa watendaji wetu.

"Kwa upande wa abiria asiyekuwa na kadi, akifika stendi atapatiwa kadi ya kutumia mara moja ambayo akipita itabaki kwenye mlango kwa kumezwa," amesema Nzali.

Hata hivyo, Nzali amesema kwa matumizi ya kadi, kila abiria atalazimika kulipia ushuru getini kwa kutumia N- Card hata kama ameshakata tiketi ya basi husika. Amesema awali abiria akiwa na tiketi anapita bila kulipa ushuru, lakini hivi sasa atalipia.

Mwananchi. Fikiri Tofauti.
 
Ncard wanasikitisha sana. Wameshindea kupamudu pale feri padogo wanataka kwenda magufuli stendi.
1. Feri sehemu za kuvuka (punch) upande wa posta unaweza kuta sehemu nyingine wameweka DUSTIBINS, wezuia na mifagia na zingine zimekaa zaidi ya mwezi hii nazungumzia hata ule upande wa magogoni wanashangaa tu. Ndo wataweza kwa magufuli ambaki watu wana haraka yabkuwahi mabasi wana mzigo yao yankutosha.

2. Kingine ambacho wamefeli ni swala zima la uwekaji pesa, leo mfumo unapokea kwa mitandao kesho haupo na waongeza hela wenyewe wapo wachache. Unakuwa na mrundikano wa foleni kuanzia kuweka pesa hadi kupunch kuvuka. Kuna kipindi miamala ya simu kujaza Ncard ilikuwa haifanyi kazi zaidi ya wiki 3 wanaishia kusema pole.

3. Kuna siku unaweza ukafika unataka kuvuka mtandao upo down sasa ilo foleni lake lipo kwenye mabucha ya nyama kwa kule kigamboni, just imagine umewahi asubuhi unawahi bus na hiyo foleni na una watoto au umekosa basi lako na umepata hasara ya nauli.

Kiukweli kwa maendeleo ya nchi wanatakiwa wakitufelisha kwa njia moja au nyingine wawe na mbinu za kutulipa fidia au wawajubishwe.
 
zali amesema kwa matumizi ya kadi, kila abiria atalazimika kulipia ushuru getini kwa kutumia N- Card hata kama ameshakata tiketi ya basi husika. Amesema awali abiria akiwa na tiketi anapita bila kulipa ushuru, lakini hivi sasa atalipia.
They play a non sense game;
Kwa hiyo ushuru ni kwa sababu abiria ameamua kuja kupandia basi Magufuli stand? hawa wanaopandika Shekilango, Kigamboni na Mbagala wanakatwa wapi ushuru?
 
Wewe washauri nini kifanyike?
 
Hatua ya matumizi ya N- Card iliyoanza leo Jumatatu Februari 20, 2023 imelenga pia kupunguza changamoto ya foleni hasa wakati asubuhi ambapo kuna kuwa abiria na wasindikizaji wengi katika eneo hilo.

Kaimu Ofisa Habari wa Manispaa ya Ubungo, Joina Nzali amewaambia wanahabari katika mchakato huo wameshirikiana na Kituo cha Taifa cha Kutunza Kumbukumbu Kimtandao kilichoweka mfumo wa kieletroniki wa kukata na kudhibiti tiketi kwa kutumia milango ya kisasa.

" Mfumo huu utarahisisha huduma kwa wananchi kwa kukidhi mahitaji ya Serikali ya kukusanya mapato kidijitali, kupunguza foleni na kuondoa matumizi ya fedha taslimu kwa watendaji wetu.

"Kwa upande wa abiria asiyekuwa na kadi, akifika stendi atapatiwa kadi ya kutumia mara moja ambayo akipita itabaki kwenye mlango kwa kumezwa," amesema Nzali.

Hata hivyo, Nzali amesema kwa matumizi ya kadi, kila abiria atalazimika kulipia ushuru getini kwa kutumia N- Card hata kama ameshakata tiketi ya basi husika. Amesema awali abiria akiwa na tiketi anapita bila kulipa ushuru, lakini hivi sasa atalipia.

Mwananchi. Fikiri Tofauti.
Huduma ziendane na gharama mnazotoa sio mazingira machafu hadi kusababisha magojwa kwa watu.

Na wanachi wapewe elimu ya usafi jamani tz kuna tatizo la watu kujitoa fuse makusudi hatujali usafi hasa wa maliwato.

Last year nipita msalani hapo stend baada ya kutoka safari vyuo havikuwa na maji na vichafu sana kwa kuwa nilibanwa sana na mkoja nilijisaidia kibishi sana ila baada ya hapo nilihisi tofauti nilianza kuhisi maumivu kwenye njia ya mkojo nikajipa moyo labda sababu sikuywa maji mengi ila kifupi ni kuwa nilipata uti pale na nilipata tabu sana kueleza mwenzangu how mwanamume napata uti..

ilikuwa mwanzo mwisho kujisaidia hovyo hadi waleo mm ni nyumbani ofcn basi bora nibane mkoja hata masaa 10 ila sio kujisaidia hovyo na kuondoka na magojwa kisa uchafu..
 
Hizo N CARD embu ziekewe namna ya kuangalia salio wewe mwenyewe mtumiaji.
 
Hatua ya matumizi ya N- Card iliyoanza leo Jumatatu Februari 20, 2023 imelenga pia kupunguza changamoto ya foleni hasa wakati asubuhi ambapo kuna kuwa abiria na wasindikizaji wengi katika eneo hilo.

Kaimu Ofisa Habari wa Manispaa ya Ubungo, Joina Nzali amewaambia wanahabari katika mchakato huo wameshirikiana na Kituo cha Taifa cha Kutunza Kumbukumbu Kimtandao kilichoweka mfumo wa kieletroniki wa kukata na kudhibiti tiketi kwa kutumia milango ya kisasa.

" Mfumo huu utarahisisha huduma kwa wananchi kwa kukidhi mahitaji ya Serikali ya kukusanya mapato kidijitali, kupunguza foleni na kuondoa matumizi ya fedha taslimu kwa watendaji wetu.

"Kwa upande wa abiria asiyekuwa na kadi, akifika stendi atapatiwa kadi ya kutumia mara moja ambayo akipita itabaki kwenye mlango kwa kumezwa," amesema Nzali.

Hata hivyo, Nzali amesema kwa matumizi ya kadi, kila abiria atalazimika kulipia ushuru getini kwa kutumia N- Card hata kama ameshakata tiketi ya basi husika. Amesema awali abiria akiwa na tiketi anapita bila kulipa ushuru, lakini hivi sasa atalipia.

Mwananchi. Fikiri Tofauti.
Abiria mwenye tiketi ya basi atakayekuwa hana hela ya kiingilio hataruhusiwa kusafiri.
 
Pale kwa Magufuli mmejenga vyoo vya hovyo kabisa......
 
They play a non sense game;
Kwa hiyo ushuru ni kwa sababu abiria ameamua kuja kupandia basi Magufuli stand? hawa wanaopandika Shekilango, Kigamboni na Mbagala wanakatwa wapi ushuru?
Kimsingi huu ni wizi, hebu tujiulize, wanaosafiri kwa mabasi wameikosea nini serikali ya Tanzania, mbona airport hawatozwi ushuru wa kuingia kupanda ndege, bandarini kadhalika hata station ya treni hawatozi ushuru iweje abiria wa mabasi watozwe?

Kuna unyanyapaa kwa wanaosafiri kwa mabasi, kuna ajali nyingi za mabasi hutokea na kuua watu wengi hatuoni kamati ya maafa ya PM ikienda kwenye tukio, ila abiria walipata ajali kwenye ndege siku hiyohiyo PM na kikosi chake walifly kwenda kwenye tukio kwa chopa, kwahiyo somo hapa ni kuwa tunaosafiri kwa mabasi ndiyo wa kukamuliwa na kutotendewa haki wanayotendewa viwanja vya ndege, stesheni ya garimoshi na bandarini.
 
Hata kama nimekata tiketi nalazimika tena kulipia?

Huduma za kijamii kama choo zinatakiwa kuwa bure baada ya abiria kulipia kiingilio cha Magufuli Stand .

Pia vile vibanda vilivyo nje ya stendi pembeni ya kuta za kituo hicho cha mabasi ya mikoani vinatakiwa vibomolewe wapewe fremu au maduka ndani ya kituo hicho cha kimataifa cha mabasi jijini Dar es Salaam.
 
Hatua ya matumizi ya N- Card iliyoanza leo Jumatatu Februari 20, 2023 imelenga pia kupunguza changamoto ya foleni hasa wakati asubuhi ambapo kuna kuwa abiria na wasindikizaji wengi katika eneo hilo.

Kaimu Ofisa Habari wa Manispaa ya Ubungo, Joina Nzali amewaambia wanahabari katika mchakato huo wameshirikiana na Kituo cha Taifa cha Kutunza Kumbukumbu Kimtandao kilichoweka mfumo wa kieletroniki wa kukata na kudhibiti tiketi kwa kutumia milango ya kisasa.

" Mfumo huu utarahisisha huduma kwa wananchi kwa kukidhi mahitaji ya Serikali ya kukusanya mapato kidijitali, kupunguza foleni na kuondoa matumizi ya fedha taslimu kwa watendaji wetu.

"Kwa upande wa abiria asiyekuwa na kadi, akifika stendi atapatiwa kadi ya kutumia mara moja ambayo akipita itabaki kwenye mlango kwa kumezwa," amesema Nzali.

Hata hivyo, Nzali amesema kwa matumizi ya kadi, kila abiria atalazimika kulipia ushuru getini kwa kutumia N- Card hata kama ameshakata tiketi ya basi husika. Amesema awali abiria akiwa na tiketi anapita bila kulipa ushuru, lakini hivi sasa atalipia.

Mwananchi. Fikiri Tofauti.
Safi sana, itafika mahala huduma zote za usafiri za kiserikali zitalipiwa kwa Ncard, hata mwendokasi
 
Kimsingi huu ni wizi, hebu tujiulize, wanaosafiri kwa mabasi wameikosea nini serikali ya Tanzania, mbona airport hawatozwi ushuru wa kuingia kupanda ndege, bandarini kadhalika hata station ya treni hawatozi ushuru iweje abiria wa mabasi watozwe?

Kuna unyanyapaa kwa wanaosafiri kwa mabasi, kuna ajali nyingi za mabasi hutokea na kuua watu wengi hatuoni kamati ya maafa ya PM ikienda kwenye tukio, ila abiria walipata ajali kwenye ndege siku hiyohiyo PM na kikosi chake walifly kwenda kwenye tukio kwa chopa, kwahiyo somo hapa ni kuwa tunaosafiri kwa mabasi ndiyo wa kukamuliwa na kutotendewa haki wanayotendewa viwanja vya ndege, stesheni ya garimoshi na bandarini.
Na tatizo huko ndipo kuna wasiojitambua wengi na ndio mtaji wao mkubwa kwenye kupiga kura.
 
Kuna aina nyingine za ushuru zimekaa kiwizi wizi tu. Sasa mtu anasafiri, halafu analipishwa ushuru kwa ajili ya nini! Ushuru ungetozwa kwa wasindikizaji tu.
 
Back
Top Bottom