mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kutumia Kamikaze drones, vifaru na vifaa vingine vya kijeshi vya Ukraine vinaunguzwa kama mchezo fulani!

    Russian military shares video of kamikaze drone strikes New footage captures the destruction of Ukrainian tanks and other armored vehicles © MoD Russia The Russian Ministry of Defense has published new footage of kamikaze drone strikes against Ukrainian troops. The attacks were carried out...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Azam mnaenda kuharibu Mchezo wa Ngumi. Watu wakishaona haya maigizo mara mbili tatu wanaachana na Huu Upuuzi

    Sisi wapenzi halisi wa ngumi tunachukizwa na Upuuzi na dharau ambazo wanazifanya Azam katika mchezo wa Ngumi. Huu si mchezo wa Maigizo. Mtakuja sababisha mtu adhurike au afe ulingoni. Lakini pia hiyo tabia kuna watu wataacha kabisa kufuatilia mchezo wa ngumi. Sababu inaonekana kabisa...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Europa League: Mchezo wa Arsenal, PSV waahirishwa

    Mchezo wa UEFA Europa League, Arsenal dhidi ya PSV Eindhoven uliopangwa kuchezwa Septemba 15, 2022 kwenye Uwanja wa Emirates Jijini London umesitishwa. Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) limesema mchezo huo utapangiwa siku nyingine kutokana na hofu ya ulinzi kuwa mdogo kwa kuwa asilimia kubwa...
  4. YphNet

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Bao kupitia AI (Artificial Intelligence)

    Wapendwa, najua mchezo huu vijana wengi sasa hawaufahamu, hivyo katika private project yangu ya AI (Artificial Intelligence) nimeamua kuchagua mchezo wa bao kutengeneza simple game ambalo mchezaji atacheza vs AI. Kwa sasa linapatikana kwenye Android pekee. Nimechagua mchezo huu ili kuufanya uwe...
  5. Curtis De Mi Amor

    JamiiForums Tanzania Mapenzi jamani mapenzi, huu mchezo utaniua bure!

    Unayempenda hakupendi! Unampa hela bado hakupendi. Leo yupo kwangu kesho kwako. Hivi babu zetu waliweza survive vipi? Unahudumia nayeye anamhudumia mwingine. Unamjaza mimba ukimuuzi anasema siyo yako. Yaani ilimradi tuu yakutese wee, uteseke haswa. Ukisema ukae single basi lazima kuna kimtu...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Baada ya Shem kuondoka nimeona nishughulike na Sister...asilete mchezo kabisa

    Ana ujinga mwingi sana. Masters yake na uzuri basi anaona amemaliza kila kitu. Ana ujeuri na kiburi. Watu tunakaa hapa hatuna amani. Maana imebidi nimuulize je shem akishindwa kuvumilia akaamua kumpiga chini sisi tutaenda wapi? Au akaamua kumuolea mke mwingine? Nimemchana sana na kidogo...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Misemo maarufu kutokea kwa wadau wa mchezo wa soka nchini Tanzania

    Wadau wa michezo hamjamboni nyote? Tufurahi Kidogo kwa kukumbushana misemo/ maneno maarufu yatumiwayo na wadau wa michezo hususani Soka Mimi nianze kama ifuatavyo Hamna Mchezaji hapo! Hapo tumepigwa! Unamuwekaje Kapombe Sub! Huyo kocha hamalizi msimu! Sasa endelea Tukuumbuke kushirikiana...
  8. benzemah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto Ameshinda, Je, ni kweli Rais Uhuru Kenyatta Ameshindwa? Au Odinga kachezewa Mchezo?

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), jana ilimtangaza Ndugu, William Samoei Arap Ruto kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Kenya. Ruto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, na amehudumu chini ya Rais Uhuru Kenyatta kwa takribani miaka 10 sasa. Pamoja na urafiki wa muda...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kocha Yanga hajawahi kushinda mchezo wowote kimataifa

    Bonus Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho Simba 3-0 Merrick Merick 0- 0 Simba Dokezo Hiyo Somalia ni under 20 My Take Kukosoa huwezi labda uropoke
  10. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kwa mchezo huu YANGA, msahau CAF CL

    Kiwango kibovuuu Mnacheza mbele ya mashabiki wenu Na jezi zenu za network + zile za museum
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mchezo mchafu kwenye zoezi la sensa

    Mchezo mchafu uliofanyika kwenye zoezi la kuwapata makarani na wasimamizi maudhui huenda likaathiri upatikanaji wa taarifa sahihi kutokana na sababu kuu 2. 1-vijana wengi waliopatikana wamepatikana kwa njia isio sahihi yaani Rushwa na upendeleo. Mfano kwenye kata yangu mtendaji wa Kijiji...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafuzu kushiriki kombe la dunia la mchezo wa kabaddi

    Timu ya taifa ya Tanzania ya mchezo wa kabaddi imefuzu kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo huo ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini India mwishoni mwa mwezi Oktoba. timu hiyo imefuzu baada ya kushika nafasi ya pili katika mashindano ya afrika ambayo yalimalizika mnamo julai 28 katika mji wa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola

    Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi leo jijini Birmingham, Uingereza. Bondia wa tatu wa Tanzania, Alex Isinde sio tu ataanzia mzunguko wa kwanza bali pia atakuwa ndiye Mtanzania wa kwanza kutupa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari ya Suzhou yazindua programu ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa soka

    Shule moja ya sekondari ya Suzhou nchini China ikiwa ni shule ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa mpira wa miguu, imeiga vilabu vya kulipwa vya mchezo wa soka kujenga chumba cha kubadilishia nguo, chumba cha mazoezi na maonyesho ya utamaduni wa mpira wa miguu ili kuweka mazingira...
  15. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Nimeushtukia mchezo

    Demu unajuana naye wiki tu ashaunda group la birthday. Nahisi ni ujanja wa kukusanya vi ten vyetu akale bata.
  16. Poker

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa kibaba baba na kimama mama hatarini kupotea

    Nina siku ya 4 hapa A-town almaarufu Arachuga ila katika zunguka zunguka yangu mitaani sioni watoto wakicheza michezo hiyo zaidi ya playstation. Jamani wazazi nitoe wito au rai kwenu huu mchezo ni muhimu sana kwa jamii yetu, acheni uzungu wa kuwapa watoto michezo ya playstation na kwenye simu...
  17. Acehood

    JamiiForums Tanzania Vodacom acheni utapeli kwenye huo mchezo wa Tusua Spoti

    Wakuu iko hivi kuna siku rafiki yangu aliitumia simu yangu kunielekeza mchezo wa tusua spoti unaochezeshwa na Vodacom, na wakati wa kufanya hivyo tiketi moja yenye mechi 14 ilikamilika na tulikata bila kulipia. Baada ya wiki moja niliweka vocha ya 1000 na walikata 500 nikapewa ujumbe kuwa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Karia utajuta kama CCM-DSM, Manara si wa mchezo mchezo

    Picha linaanza jana habari zilitoka kwamba fainali ya super cup kati ya berkane na wydad itafanyika dar es salaam lakini baada ya CAF kupata habari kwamba kipenzi cha wapenda soka afrika kinataka kufungiwa na Karia wakageuza kibao sasa mechi hiyo itapigwa moroko Hilo ni onyo ukimgusa tu gwiji...
  19. J

    JamiiForums Tanzania CCM wanawacheza mchezo gani haswa? Maana hata iweje hawana nia na Katiba Mpya kabisa

    Wakuu jana CCM wametoa press na kusema kuna haja ya kufufua mchakato wa Katiba mpya Katiba mpya ambayo imekuwa kilio cha muda mrefu cha wapinzani na wataka mabadiliko nchini, inatarajiwa kukuza demokrasia, kuleta uwajibikaji, ugatuaji wa madaraka na ufanisi wa kuendesha serikali Sasa CCM ambao...
  20. Area 56

    JamiiForums Tanzania Gharama ya maisha Marekani sio mchezo, hebu ona bei ya hizi bidhaa

    Marekani sio mchezo. Hivi vyote bajeti yake ni US Dollar 118 ambayo ni sawa na Tshs 275,000 hivi.
Back
Top Bottom