mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Simba na Yanga kuchezwa tena, Mashabiki kurudishiwa tiketi zao

    Taarifa mpya ya maelekezo toka serikali
  2. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Mbona mnalia lia? Kuahirishwa kwa mchezo ni sehemu ya matokeo ya mchezo

    Sioni sababu ya mashabiki kulia lia. Mchezo una matokeo manne, kushinda, kushindwa, kutoshana nguvu ama kuahirishwa kwa mchezo. Sidhani kama kuna sababu ya kumwajibisha yeyote kwa kilichotokea kwa kuwa nacho ni sehemu ya matokeo wakati wowote mechi inapopangwa!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mchezo mchafu unaofanywa na benki kuwapora wateja pesa zao

    Habari zenu ndugu zangu Naomba kushea na nyie jambo hili Leo nilikuwa Mahakamani kwa ajili ya shughuli zangu nikakutana na mama mmoja anafuatilia mirathi ya mumewe. Katika mazungumzo yetu akanidokeza jambo moja ambalo nimeshangaa sana. Anasema baada ya shauri la mirathi kuisha alipewa barua...
  4. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Simba ijipange zaidi mchezo na Kaizer chief

    Kuelekea mchezo wa watani wajadi tarehe 8/5/2021 Na kwakuwa tuna mchezo mwingine muhimu zaidi na timu ya Kaizer chiefs kule Afrika kusini Na kwakuwa timu ya Yanga imekuwa na kawaida ya kucheza rafu nyingi inapokutana na Simba hii ya sasa nashauri watumike wachezaji wale tusio watumia kimataifa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inafanya mchezo gani barani Afrika kwa kuitaja China?

    Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika Robert Godec amesema, Marekani itawaonesha watu wa Afrika kuwa, tofauti na mtindo wa maendeleo ya uchumi unaohimizwa na China barani Afrika, Marekani itaangalia zaidi maslahi ya Afrika, kitu ambacho kitaivutia zaidi...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Faili la Uchunguzi wa aliyekuwa Mkurugenzi wa TPA lakamilika, imebaki ofisi ya CAG kumaliza mchezo

    Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupamabana na Rushwa (Takukuru) imesema imekamilisha faili la uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko. Machi 30, mwaka huu taasisi hiyo ilimkamata Kakoko ili kuhojiwa kuhusu tuhuma...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mwanafunzi wa miaka 9 afariki wakati akicheza mchezo wa kujinyonga na wadogo zake

    Mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Ikelu iliyopo Makambako mkoani Njombe, Claud Florence (9) amefariki dunia baada ya kujinyonga akiwa anacheza na wenzake. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Hamisi Issah amesema mwanafunzi huyo alikwenda shambani na wazazi wake na wadogo zake watatu...
  8. Mwalimu

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Mieleka nchini Tanzania

    Wadau, Nakumbuka kwenye miaka ya themanini mchezo wa mieleka ulitokea kuwa maarufu sana hapa bongo. Kulikuwa na wababe kama Power Bernado, Power Vuru Mroma, Power TX Chaka, Power Bukuku na wengineo. Kuna yeyote mwenye taarifa za magwiji hawa waliishia wapi?
Back
Top Bottom