mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya ya Polepole inamaanisha kifo cha Magufuli kina mchezo mchafu ndani yake?

    Alikuwa akihojiwa na Dar24 na kuulizwa kuhusu minong'ono ya watu kuwa Magufuli huenda hakufariki kwa ugonjwa uliotajwa kweli na kuwa huenda aliuawa Polepole akakwepa kujibu swali hilo na kusema mtu akishakufa yeye hamzungumzii tena (hata Rais wa nchi?) Polepole ambaye alikua moja ya watu wa...
  2. moyo wenye aman i

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna waamzi wa mchezo wa mpira?

    Wakati nasoma orodha kamili ya marefa watakaochezesha AFCON kuna marefa kutoka uganda kenya rwanda na burundi ila cha ajabu hakuna refa aliechaguliwa kutoka tanzania hii ni aibu aisee
  3. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Nimeamini, kila zama ina kitabu chake. Leo Polepole ni Musiba 'aliyechangamka'. Siasa si mchezo!

    Alipata kusema Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kuwa 'kila zama ina kitabu chake'. Nami sasa nimeamini baada ya 'kuweka' tafsiri yangu binafsi kwenye msemo huo uliojaa hekima na busara kubwa. Binafsi nimetafsiri kuwa 'kila awamu ina wake wa 'kutrend''. Yaani...
  4. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kushukuru! Zitto hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu tangia zamani

    Niwakumbushe nyinyi mlioingia kwenye siasa juzi, mjue kwamba Zitto kwa kumuomba rais amwachilie mbowe hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu wakati ambao hawa wanaopiga kelele wote hawapo. Zitto kabla ya Lissu alikuwepo na alikuwa maarufu, kabla ya mnyika, Kigaila Heche, Msigwa, Sugu na...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unasaidia wengi kujikwamua kiuchumi na wengi juu it’s majina tofauti, wengine wanaita mchezo, upatikanaji, kibati..

    Faida yake kubwa ni kuwa haina riba, tofauti na mkopo wa benki. Unafundisha nidhamu ya kuweka pesa. Ni watu wengi wanaucheza katika viwango tofauti. Kuna wapika maandazi na vitumbua, au wenye biashara ndogo ndogo, huwekeana kiasi cha kukusanya kila siku, wengi hukusanya faida ya siku. Hii...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafuzu kombe la Dunia mchezo wa soka kwa wenye ulemavu

    Na. John Mapepele Waziri mwenye dhamana ya Michezo nchini. Mhe, Innocent Bashungwa leo Disemba 1, 2021 amewaongoza watanzania kuishangilia Timu ya Tanzania (Tembo Warriors) ambayo imefuzu na kuwa timu ya kwanza miongoni mwa timu nne zinazoingia nusu fainali ya Soka ya Bara la Afrika kwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Mchezo wa Paka na Panya kwa Maslahi ya nani?

    Ni mshangao mkubwa haya kutokea kwa upande wa serikali yenye kupaswa kuupata uhalali wake kutokea kwa wananchi wanaoilipa kodi. Ni mshangao mkubwa zaidi kuwa walioko huko serikalini tunaowalipa mishahara na marupurupu wanaweza kufikia kucheza na haki za wananchi kwa kiwango hiki. Kwamba...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kama Makonda kashitakiwa na Jamuhuri, hapo siamini kama kuna kesi bali nahisi kuna mchezo unafanywa

    Hii habari ya Makonda kushitakiwa tuitazame kwa umakini hass kipindi hiki ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA,.Mh. Mbowe akiwa na kesi isiyoeleweka. Na itakuwa ni utata zaidi iwapo Makonda atashitakiwa na mtu binafsi na si serikali kwa maana ya Jamuhuri. Yaani ushitakiwe na Jamuhuri kwa kesi kama hiyo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ikitokea TANESCO wameunguza vitu kwa mchezo wa kukata na kurudisha naenda kulalamika wapi?

    Tulishasahau kero za tanesco jpm alitusaulisha huko aliko mwanga wa milele amwangazie Bwana.naomba wajuzi wa Mambo kama TANESCO Wana uwezo wakulipa vitu vinavyoharibika kutokana na kukata kwao dakika moja na kuurudisha dakika ya pili,Tangu Jana mchezo wao ulikuwa huo jioni ukatulia. Leo ni Mara...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuongeza bei za data, lengo ni kuibana internet isifikie wengi au ni kuota ndoto kwamba wananchi wana pesa za mchezo kununua mabando

    Miezi michahe iliyopita hili jambo lilipigiwa kelele sana pale mitandao yote kwa mpigo iliposhinikizwa kubadili bei zao kutokana na mabadiliko kadhaa ya sheria. Kiukweli kisu kiligonga mfupa na wananchi kelele zao zilikita kila kona na mpaka raisi akaingilia kati. kwa sasa ndani ya miezi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Duncan Nyoni: Mchezaji anayeweza kubadili mchezo

    Nimemfatilia huyu Duncan Nyoni, japo huwa anaingizwa dakika za mwisho lakini kila akiingia anaonekana kubadili mchezo na kuleta uhai katika ushambuliaji. Kocha ampe nafasi zaidi..
  12. H

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mchezo wa Kirafiki

    FAIR PLAY (Mchezo wa kirafiki) Sehemu ya................01 Saa 2:30 Asubuhi, ZAMBE. Gari aina ya Land cruiser lilikuwa likienda kwa kasi sana katikati ya mji wa Nzambe. Ndani ya gari hilo walikuwamo watu wanne wote wakiwa wamefunika nyuso zao kwa vitambaa vyeusi. Katika siti ya nyuma...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga wawe wakweli kuhusu mchezo wa Jumapili

    Nimesoma kupitia Saleh Jembe kuwa wachezaji wapya waliosajiliwa hivi karibuni na ambao ni tegemeo kwa timu hawatacheza kwenye michuano ya Klabu Bingwa siku ya tarehe 12.9.2021. Sasa kwa nini mlitamba na kutuaminisha kuwa watacheza siku ya Jumapili. Hii ni aibu kubwa kwa timu na inawezekana...
  14. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Crate Challenge: sio mchezo mzuri kwa afya ya mwili

    Huu mchezo unachezwa bila hata mavazi maalum ambayo yanaweza zuia mtu usiumie endapo utaanguka, watu kucheza kwa bidii sana crate zinapangwa mtindo wa pyramid au pembe tatu kisha unakuwa unapanda kama unapanda ngazi ili kutokea upande wa pili cha ajabu huwezi vuka bila kuanguka kwani crate...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Milk Crate Challenge: Mchezo utakaowapa wengi majeraha na ulemavu wa kudumu

    Huu mchezo unaoitwa Crate Challenge ambao video zake zimeshika kasi katika mitandao ya kijamii hususan Tik Tok na Instagram huenda, kabla haujapoteza umaarufu wake, ukawaacha watu wengi na majeraha makubwa au pengine ulemavu wa kudumu. Video nyingi nilizopata kuona zinaaashiria mchezo huu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri kesi ya Mbowe imekaa vibaya. Mashahidi 24 na vielelezo 19 vya serikali si mchezo. Ni mkao wa kunyolewa

    Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi. Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli...
  17. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Kuna uwezekano mechi ya Simba na Yanga ikaahirishwa

    Habari wadau Tukumbuke tarehe 25/07/2021 kutakuwa na mechi kati ya Simba na Yanga utabiri wangu unanambia hii mechi inaweza isichezwe. Sababu ni hali ya Corona nchini iwapo serikali kupitia wizara itaamua kuchukua tahadhari zaidi kuzuia maambukizo, ukizingatia mechi itapigwa Kigoma ambako rate...
  18. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Kodi mpya za miamala nadhani kuna mchezo tunachezewa

    Mapema wiki hii kodi mpya za miamala zimetoka ambapo baadhi ya wananchi tunalalamika zinatunyonya lakin pengine nahisi kuna mchezo tunachezewa. Ukiangalia muda ambao suala limepitishwa ni kipindi ambacho vyama vya upinzani vinadai Katiba Mpya ambapo Rais akasema wamuache kwanza apambane na...
  19. Phrasal Verbs

    JamiiForums Tanzania Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    Habari zenu wana boni. naomba mtaalamu wa mchezo wa drafti atufafanulie/atufundishe copy za mchezo wa drafti kwa mifano ya picha.(majina maarufu ya kopi hizo kwa mujibu wa wikipedia ni hizi): samba sumu ya pandu mabano goma la kizee patasi kata mara mbili mbuzi kavimba tege bana mbavu chotara...
  20. L

    JamiiForums Tanzania VIKWAZO: Piga nikupige ni mchezo wa haki

    Inasemekana kuwa, hata paka mpole anaweza kupambana kwa nguvu anaposukumwa kwenye kona. Hilo pia ni sahihi kwa binadamu, kwani hata wale wanaoonekana kuwa ni waoga, wanaweza kushambulia katika njia zisizotegemewa ili kulinda maslahi yao na uhai wao. Katika miaka kadhaa iliyopita, nchi za...
Back
Top Bottom