mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tucheze mchezo wa picha kwa kutumia movie ulizowahi kuona

    Hapo juu ni picha ila kuna vifaa au vitu flani ulishakiona katika movie, taja movie zote 25 au baadhi, mfano: hapo kuna SAW na Enter the dragon.... Tiririka👇
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

    Mtu yeyote anayefanywa nyuma anavunja sheria za asili na za Kimungu. Mwanaume anayefanywa nyuma na mwanamke anayefanywa kinyume nyume wote ni walewale, yaani wote ni mashoga. Kama mwanaume na akili zako timamu unaweza kumfanya mwanamke kinyume na maumbile usiwadharau mashoga wa kiume, hao pia...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Haji Manara Acha kuwawekea dawa wapinzani,ulianza huo mchezo ukiwa Simba SASA umeuleta Yanga

    Unatuharibia image,hako kamchezo ulikuwa nako ukiwa Simba sasa umekakwta jangwani,Sisi tuna timu imara hatuitaji kupuliza dawa kwenye mabasi na dressing room za wapinzani. Unatuharibia sana
  4. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Serikali ijali Watanzania kama inavojali mchezo wa mpira

    Kama watendaji wa hovyo kwenye usimamizi wa uwanja wa Benjamin William Mkapa wamesimamisha ,vipi kuhusu waliohusika na ubadhirifu wa Mabillion kutokana na Ripoti ya CAG ni wazi Basi serikali haioni umuhimu kwenye masuala yanayogusa Rasimali za Watanzania maskini na wanyonge. May Mosi Njema kwa...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Man City Vs Arsenal | Mchezo utakaotoa taswira ya ubingwa

    Mabingwa watetezi wa EPL, Man City watakuwa nyumbani Etihad kuwakaribisha vinara wa ligi hiyo Arsenal. Arsenal amemuacha Man City kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi mbili zaidi ya City. Mara ya mwisho Arsenal kumfunga City katika ligi ni mwaka 2015. Utaona ni namna gani mchezo wa leo ulivyo...
  6. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba kutoa sare ya 1-1 mchezo wa leo dhidi ya Wydad

    Leo April 22 kutapigwa mchezo mkali wa ligi ya mabingwa Africa ambapo Wenyeji Simba ya Dar es salaam watawakaribisha Wydad Casablanca ya pale Morocco. Mchezo wa Simba dhidi ya Wydad haijawahi kuwa rahisi huku Whdad wakionesha ubabe dhidi ya Simba. Mchezo wa mwisho Simba dhidi ya Wydad Simba...
  7. Half american

    JamiiForums Tanzania Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe Ban kwa miezi 6

    Nitalitekeleza hili kwa kuwa nje ya jf kwa kipindi husika(tajwa) kama mods watashindwa kutekeleza nilichoahidi. JamiiForums Moderator Wale wa ahadi zitakazotekelezeka tukutane hapa. kila la heri wananchi 💚💛
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mashaka kuhusiana na mchezo wa kubahatisha wa TATU MZUKA unaochezehwa na Zembwela

    Huu mchezo ambao mara nyingi nimekuwa nikiutazama ITV umenipa mashaka. Mara nyingi washiriki hupata milioni tano kurudi chini. Kumbuka hapo Kuna milioni 50, 60 hadi 70. Cha ajabu watu hawashindi hela hizo nyingi. Jamaa anachokifanya baada ya kufunga mchezo anachomoa vile vibao vyenye hela...
  9. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asiye na muda na wanaume ni mraibu wa kujichua?

    Hii imekaa vipi? Hasa kwa mwanamke asiye bikra, ambaye hana muda na wanaume, tena ambaye hajishughulishi kana kwamba kuna jambo linamkeep busy, hapana. Anayeendekeza chuki dhidi ya wanaume. Kuna ukweli ndani yake kuwa wanawake wa namna hii ni waraibu wakubwa wa punyeto?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je, hii silaha mpya ya Uturuki inakwenda kubadili sheria za mchezo?

    TCG Anatolia, melivita mpya ya Mturuki yenye uwezo wa kubeba helicopter nk imezinduliwa na mbabe wa kivita Erdogan na ameahidi inakwenda kuwapa ufalme wa Black Sea muda si mrefu. Kwa wenye uelewa zaidi wa hii melivita mpya njooni huku.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Granit Xhaka ndio kuigharimu Arsenal mchezo wa leo, na ubingwa wa ligi

    Kwa wale ambao ni watazamaji wa mchezo wa mpira wa miguu wanajua kuna vitu vidogo sana ambavyo vinaweza kubadilisha mwelekeo wa mchezo na kubadili na matokeo moja kwa moja Kitu ambacho kimebadili mchezo wa leo wakati Arsenal ikiongoza 2-0 ni kitendo cha mchezaji wao Granit Xhaka kutaka kupigana...
  12. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Nabi kuukosa mchezo Kongo

    Nabi rasimi kathibitisha kuwa hatakuwa pamoja na kilabu ya Yanga kwenye mechi yao dhidi ya TP-Mazembe nchini Kongo katika mchezo wa marudiano wa shirikisho la Afrika. Kumekuwa na sintofahamu na mashabiki wengi wa soka wakijiuliza juu ya kumkosa kocha mkuu wa yanga katika mchezo huo...
  13. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa mchezaji Feisal Salum baada ya mchezo wa marudio kati ya Taifa Stars na Uganda The Cranes

    Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu AFCON kwa mara nyingine tena. Nije sasa kwa mchezaji Feisal Salum (Fei Toto). Kwanza nampongeza...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Waziri Mkuu wanunua tiketi 4000 mchezo wa Tanzania vs Uganda

    Picha: Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wamenunua jumla ya tiketi 4,000 za mechi ya kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania na Uganda. Tiketi hizo zitagawiwa kwa mashabiki ili waende kushuhudia mechi hiyo itakayochezwa uwanja...
  15. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea leo Sports Xtra ya Clouds FM, bado kuna mtu anaamini mchezo unaoitwa Mchongo Pesa?

    Karibuni wanajamvi tushee hii stori. ====
  16. aka2030

    JamiiForums Tanzania Mikoa ifuatayo kuna umuhimu kuwa na viwanja vya mchezo aa golf

    Tanga Mwanza Mbeya Dodoma Na mtwara Ni muhimu sana kuongeza motisha ya mchezo
  17. Mamba_Mtoni

    JamiiForums Tanzania Huu mchezo sio poa Power slap

    Makofi Yana Kilo za kutosha😂
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

    Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema: "Ndugu zangu siasa ni mchezo wa kulumbana kwa hoja Wote tukiwa na lengo la kushika dola kama alivyosema...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwana FA mgeni rasmi Simba Vs Vipers, mchezo wa CAF Champions League

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa klabu bingwa Afrika kati ya Simba Vs Vipers SC ya Uganda mchezo utakaochezwa Jumanne Machi 7, 2023 katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
  20. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Pindi Chana alishuhudia Mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba Sports Club dhidi ya Raja Casablanca

    Kuna shutuma zimetolewa na MINOCYCLINE zikiwa na lengo la kuichafua Serikali, Waziri Dkt. Pinda Chana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Serikali kupitia Waziri Dkt. chana imehudhuria michezo yote ya Simba na Yanga na sio mchezo wa Yanga pekee kama ambavyo MINOCYCLINE ameeleza. MECHI YA...
Back
Top Bottom