mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ahyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera sana Feisal Salum (fei toto), umeonyesha kwamba wewe ni mchezaji muhimu sana, na umeonyesha kwamba unapaswa ucheze kwa dk 80 ama 90

    Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo, ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10 Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba...
  2. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchambuzi Mbwaduke, Kila mchezaji anamsifia, hajawahi kukosoa

    Huyu ramadhani Mbwaduke ni moja kati ya wachambuzi waliojipatia sifa katika uchambuzi hasa eneo la takwimu. Mchambuzi huyu ni mzuri lakini ana mapungufu makubwa mno, kwanza hataki kabisa kuonekana ni shabiki wa timu Gani, japo Mimi najua. Na uchambuzi wake umejikita fair kabisa. Kutokana na...
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pale Refa anapokuwa mchezaji wa 12 uwanjani...

    Football Agenda or Agenda in football?
  4. Cheology

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eric Ten Hag anakosea aidha hajui anataka nini Hjulmand ni aina ya mchezaji mharibifu

    Kwa sasa pale united kuna mctonomy hyu dogo anafanya ya nick butt, kazi ya mchezaji anayetakiwa aharibu formation ya timu pinzani. Hjulmand ni aina ya mchezaji ambaye hutakiwi kumtegemea katika box to box. Anatakiwa acheze kama matic, butt, lkn huwez mtegemea katika box to box japo amazon...
  5. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Congo ikiwa katika picha ya pamoja huku kila mchezaji akiwa amevaa jezi ya Klabu yake

    Nimeupenda ubunifu wao, kwa mbali namuona Inonga na jezi ya Unyamani.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupo wapi mchezaji wa Singida FG Thomas Ulimwengu?

    Huyu ni mmojawapo wa wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe kipindi cha dirisha kuu la usajili msimu huu. Cha kushangaza alicheza mechi zisizozidi mbili za mashindano. Tangu mwezi Septemba 2023 hajaonekana tena akichezea Singida Fountain Gate/Singida Big Stars. Je sababu ni ipi? majeruhi, mkataba...
  7. D

    JamiiForums Tanzania JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

    Mhhh
  8. D

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mchezaji wa Simba Babacar Sarr ana historia ya ubakaji, udanganyifu na kukimbia mamlaka

    Here it is, kwanza 1. Kadanganya Miaka yake kwa wikipedia today changed his age 32 To 26 2. Anatafutwa as an international fugitive. 3. Out of all players, wameenda kwa mtu ana history ya ubakaji. Why?
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huenda kwa sasa Tanzania hakuna mchezaji mwenye upeo, busara, nidhamu na kipawa kama Chemalone

    Kama wewe unajua mpira na unafuatilia soka la Tanzania huenda utakubaliana na mimi. Ni vigumu mnoo kuwa na mchezaji mwenye sifa hizi. 1. Usikivu wakati wote. 2. Utulivu wakati wote. 3. Umakini wakati wote. Kukosea kupo, lakini standard za uchezaji wa Chemalone zimebakia katika kiwango kile kile...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wangapi tumependa Maneno aliyoyaandika Mchezaji Meddie Kagere katika 'Flana' yake Jana?

    "UKISHAMJUA MNAFIKI ISHI NAE KINAFIKI" Kama kuna Mtu niliyeyapenda hayo (haya) Maneno basi ni Mimi GENTAMYCINE kwani hata hapa JamiiForums na kwingineko kuna watu naishi nao hivyo hivyo kinafiki huku wao wakidhani wamefanikiwa walichokilenga kwangu wakati kumbe mimi ndiyo nawasanifu kuliko...
  11. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezaji kutokea Colombia anayetarajiwa kusajiliwa na Simba ni Galasa wa kutupa

    Habari Wakuu, nimeona nisiwe mnafiki kuwahabarisha mapema juu ya ujio wa huyu Miquissone mwingne aliyechangamka asije mkasema ohhh wana JF nyie ni watafiti mmeshindwa kufatilia Data za huyu mtu mkatuambia mapema tusiweke tumaini hewa juu ya huyu mtu. Hii "Colombia invasion" itakuja kumuingiza...
  12. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshikwa na butwaa baada ya kuambiwa kuwa huyu mchezaji mpya wa Yanga ana miaka 18

    Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo? Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gamondi: Sikubaliani mechi kupewa jina la mchezaji

    "Sikubaliani kabisa na huu utaratibu wa kuita mchezo jina la mchezaji, kwa sababu mchezaji hayupo peke yake wapo timu. Jambo muhimu kwangu ni timu sio mchezaji mmoja, ila naelewa ndio utaratibu wa timu kwa ajili ya kufanya marketing, kuwafanya mashabiki waje uwanjani na kuuelewa zaidi mchezo...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania John Obi Mikel: Familia za Kiafrika zinachangia kuwavuruga Wachezaji waliofanikiwa kifedha

    Kiungo wa zamani wa Chelsea na Nigeria, John Obi Mikel amedai Waafrika wengi waliofanikiwa kiuchumi wanakumbana na presha kubwa kutoka kwa Familia wakitakiwa kutoa msaada wa fedha kwa lazima na wasipofanya hivyo wanaonekana wabaya na wengine wanapewa vitisho. Anasema "Hatuzungumzi sana kuhusu...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unadhani huyu ni Mchezaji gani ambaye amecheza soka kwenye Nchi 7

    unadhani huyu ni Mchezaji gani ambaye amecheza soka katika Klabu 12 ndani ya Nchi 7 ikiwemo katika Bara la Ulaya na Asia?
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti Kwa hii picha na hizo logo huyu ni mchezaji gani?

    Mdau wa michezo hasa soka, unadhani Mchezaji huyu aliyecheza katika klabu husika zilizotajwa kwa Mfumo wa Nembo anaitwa nani?
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Raia wa Ghana Raphael Dwamena Aanguka na Kufariki Uwanjani

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana Raphael Dwamena amedondoka leo hii ghafla uwanjani na kupoteza maisha, wakati timu take ya KF Egnatia ikicheza dhidi ya Albania ikiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Partizan. Mchezaji huyo mara baada ya kudondoka alipatiwa huduma ya kwanza uwanjani hapo na...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezaji gani unampa ushindi wa Ballon d'Or 2023 leo?

    Hafla ya utoaji tuzo Tuzo ya Ballon d'Or, ambayo inatajwa kuwa kati ya Tuzo Bora zaidi za Soka duniani inatarajiwa kufanyika leo Oktoba 30, 2023 ambapo mastaa wa Soka wa Kiume 30 wanashindana katika kinyang'anyiro hicho. Pia, kwa upande wa Tuzo ya Wanawake idadi ni hiyo ni hiyo hiyo. Tuzo hii...
  19. Majok majok

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina kumbukumbu nzuri ni mchezaji gani kwa miaka ya hivi karibuni amewai kufunga hat trick kwenye derby! Azizi Ki kathibitisha ubora wake!

    Sina iyo kumbukumbu labda mwenye nayo atujuze, hat trick kwenye derby sio jambo la kitoto eti ni mpaka uwe Bora aswaa na uwe fiti kwa 100%. Mchezaji aliyekamilika atapimwa kwenye mechi ngumu Kama hizi za Yanga na Azam, ama Yanga na Simba, maana ni mechi ambazo uwezi pewa nafasi na mpinzani...
  20. CAPO DELGADO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningekaa kimya ningekufa nalo: Fabrice luamba ngoma midfilder teacher (airport) mchezaji bora wa super league

    Hakika ngoma aliimbwa, Airport Man of The Match Super League, Jezi no 6 mgongoni Tarehe 20, October majira ya jioni kabisa nilikuwa nimekaa na mtaalamu wa kusoma mchezaji wa mpira (scaut) kutoka Timu moja ya London, ambaye pia ni Coach na Game analyst. Tulikuwa tumekaa kutizama mpira katika...
Back
Top Bottom