mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni utani tu ndugu zangu hicho kiatu pichani apewe mchezaji yupi hasa!

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni utani tu ndugu zangu hivyo msiwe na hoja za mihemuko! Nauliza hicho kiatu hapo chini astahili kupewa mchezaji yupi hasa? Karibuni tujadili utani!
  2. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani mchezaji wako bora wa Yanga (MVP) kwa msimu huu wa 2023/24

    Naaaje wazee! Kwa Sisi wadau wa soka la nyumbani uhondo wetu unafikia mwishoni. Mpaka sasa Wananchiiiii wamesepa na kikombe Chao huku watani zao wakiendelea kujitafuta kupambania nafasi ya pili na dhidi ya wana lambalamba. Tukirudi kwenye mada, msimu huu ni miongoni mwa misimu Bora kwa Young...
  3. Travis Kitengo

    JamiiForums Tanzania DNA yaonesha watoto 3 wa Mchezaji wa Super Eagles, Michael Kayode siyo watoto wake kibaiolojia

    Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
  4. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni nani mchezaji wako bora wa Simba SC kwa msimu huu wa 2023/24?

    Naaaje wazee, Ligi ya NBC inaelekea ukingoni huku Bingwa akiwa ameshafahamika tayari. Kwa sasa vita ipo sehemu nne tu: 1. Nafasi ya Pili 2. Nafasi ya nne 3. Kujinasua kucheza Playoff 4. Kujinasua kushuka daraja Tutakuwa tunakutana kwenye nyuzi kujadili mambo mbalimbali ya msimu huu unaoisha...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Fiston Mayele na Kibwana Shomary sawa Wasajilini kama Kweli, ila kwa huyu Ayuob Lyanga hakuna Mchezaji hapo na achaneni nae tafadhali

    Na uzuri pia wa Kibwana Shomary kwa Sisi wana Morogoro tunamjua kuwa ni mwana Simba SC lia lia hivyo atafaa tu.
  6. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba achaneni na Freddy Michael si Mchezaji wa Kuchezea Simba

    Yaani unamuacha MP unachukua garasa kama Freddy Michael kweli? Faida ni ndogo kuliko Hasara binafsi sijawahi kumkubali tangu aje. Ni wa kuachana naye haraka sana, hawezi kuwa mchezaji mzuri hata apewe miaka 100 maana nna wasiwasi kichwa chake hakipo sawa. Lakini pia waambieni wachezaji...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo hii sijui kwanini mchezaji wa mpira nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 halafu mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh. Laki 3

    Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo. Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi) Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi . So katika taifa letu hili la...
  8. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EPL: Wanaowania tuzo za Kocha Bora & Mchezaji Bora wa Msimu watajwa, Kura yako unampa nani?

    Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni; 1. Mikel Arteta - Arsenal 2. Unai Emery - Aston Villa 3. Pep Guardiola - Man City 4. Andoni Iraola - Bournemouth 5. Jurgen Klopp - Liverpool Pia kuna orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu pale EPL ambapo...
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanuni zitaamua Mchezaji bora (MVP) Ligi kuu

    Kinavyosema kipengele namba 13 cha kanuni namba 11 ya Ligi Kuu toleo la mwaka 2023 kuhusu tuzo ya mfungaji bora kwenye NBC Premier League. Kwa jinsi mambo yanavyokwenda, unaiona ikienda kwa nani msimu huu? Imeandaliwa na Anoth Paul, mhariri ni Amosi Masoko
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usajili ujao sitaziamini siasa za Simba kusifia mchezaji kabla

    1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo. Tulichoshuhudia MUNGU anajua. 2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, huyu Comedian anayekuja kwa Kasi Steve ni Pacha wake aliyekuwa Mchezaji Mtukutu Tanzania Haruna Moshi Boban?

    Nilikuwa nakataa kuwa duniani Watu wanafanana lakini baada tu ya kuwaona hawa Wawili Wafananao nimekubali.
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fredy Koublani ni mchezaji mzuri sana akitumiwa vizuri ataisaidia sana SIMBA SC atafanya maajabu NBC PL.

    Mimi naomba nitofautiane kidogo na wadau wengi wa jukwaa hili hasa hasa wana YANGA wenzangu na mashabiki wa simba SC wanaodai Fredy Koublan ni garasa. Huyu mchezaji namfananisha na the great khali (kwa walioangalia mieleka miaka ya 2005 watakua wanamjua vilivyo) Ana mwili mkubwa, ni mrefu...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Mchezaji ni nani? Alifunga goli hili katika Fainali dhidi ya Barcelona

    Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa Real Madrid alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya Barcelona, mechi hiyo inayofahamika kwa jina la El Clásico ilimalizika kwa Madria kushinda magoli 2-1. Umemtambua mchezaji husika ambaye mikimbio yake alikimbia akatoka...
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kike wanaweka mpira tumboni kama kampeni ya kupinga kuachwa na klabu zao wakipata ujauzito. TFF wasema wanajua ni aina ya ushangiliaji

    Kwanza nianze kwa kuwapa maua yenu Jamiicheck, binafsi nawakubali sana kazi yenu. Big up sana sana. Twende kwenye mada. Naona kuna Picha za wachezaji wa kike wakiwa wanaweka mpira ndani ya jezi tumboni, baadhi ya watu wanasema hiyo ni kampeni ya kuvitaka vilabu wasiachane na wachezaji wao...
  15. Mr mutuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kibu Denis anakaza anapokutana na Yanga tu

    Huyu jamaa ni tapeli sana, anajua mashabiki wa Simba ni bendera fata upepo na hawana maarifa hivo kaamua kuwaingiza kwenye mfumo wake Jamaa ye mechi anazokaza ni vs yanga tu maana anajua akipiga hata goli Moja watamsifia msimu mzima, haiwezekani msimu mzima kibu Kila mechi anacheza alafu ana...
  16. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka. Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuchemshe Bongo kidogo, huyu mchezaji ni nani?

    Je, Huyu Mchezaji ni nani? Ameshinda Ballon d'Or Copa America La Liga Copa del Rey Kombe la Dunia Klabu Bingwa Dunia Mfungaji Bora World Cup Mfungaji Bora Ulaya Mchezaji Bora Ulaya Amecheza Klabu 4 Kubwa Ulaya Pamoja na mafanikio yote hayo, Mchezaji huyu hajawahi kushinda Taji la Ligi ya...
  18. Frank Wanjiru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Che Malone:Ni ndoto ya kila mchezaji duniani kote kushinda mataji na kucheza kwenye timu kubwa yenye malengo makubwa

    Nakutakia kila la kheri Kaka.
  19. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezaji gani anastahili tuzo hii?

    Jaribu kufikiria kama kungekuwa na tuzo ya mchezaji anayekaa sana benchi (bench d’or) nani angeshinda tuzo hiyo?
  20. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Kuna stori niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kuwa Bekham alikuwa anafanya mazoezi hata siku mbili mfululizo bila kupumzika akiwa nyumbani. Kipindi hicho nilikuwa mdogo nikamuamini ila sasa nimekuwa nimemfata kumwambia yule jamaa achukue kamba yake sifungiki tena.
Back
Top Bottom