mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huyu mchezaji ametukwaza, sijapenda kauli yake kuhusu timu yetu

    Very stupid football player. Anaongea mbele ya wenzake akidhani sisi wote hatufahamu Kifaransa. Kuwa yeye ameamua kuchezea Yanga sababu kule Simba kuna ushindani sana wa namba. Hivyo anaona akija Yanga kuna uhakika na watampa namba wakati wote. Yaani professional player anakimbia changamoto...
  2. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

    Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa. Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujulishwa Mchezaji Mpira Duniani Aliyefariki kwa Covid-19

    Naomba kufahamishwa mchezaji wa mpira ambaye yupo active, wa timu yoyote duniani aliyefariki kwa ugonjwa wa korona.
  4. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Gerald Mdamu inadaiwa kutelekezwa na Polisi Tanzania baada ya kupata ajali; Ni aibu Tafadhali IGP ingilia kati

    Yule mchezaji alievunjika miguu na jeshi la Polisi kumtelekeza Akiongea na Hili Game ya Clouds FM Dada wa Mgonjwa aitwaye Rabeka Mdamu amesema kuwa Jeshi la Polisi halijasaidia chochote kwenye matibabu ya mchezaji huyo wa timu ya polis Tanzania aliyeumia akiwa kazini. Aliongeza kuwa familia...
  5. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Nani anastahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora VPL?

    Ligi ya VPL imemalizika jana, taja mchezaji anayestahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu!!
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, duniani kote Mchezaji mahiri Siku ya Kuagwa na Klabu yake huanzia Benchi na kuishia Kumwagiwa tu Maji 'Vumbi' ya Kandoro?

    Kuna Waafrika wachache wanasababisha Waafrika wote tuonekane si tu Wapuuzi bali Washamba sana hapa duniani. Tuacheni Kukurupuka tunachekwa sana.
  7. pipi mti

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

    Tangu muda mrefu pamekua na hali ya mfananisho wa nani zaidi kati ya Lionel Messi na wachezaji wengine hasa Christian Ronaldo wa real Madrid. Na clip hii imeweza kutatua mjadala wa mda mrefu na naamini itafunga mabishano yasiyo na maana. [emoji116] [emoji116] Update Wachezaji wenye thamani...
Back
Top Bottom