Eric Ten Hag anakosea aidha hajui anataka nini Hjulmand ni aina ya mchezaji mharibifu

Cheology

JF-Expert Member
Jun 25, 2022
323
502
Kwa sasa pale united kuna mctonomy hyu dogo anafanya ya nick butt, kazi ya mchezaji anayetakiwa aharibu formation ya timu pinzani.

Hjulmand ni aina ya mchezaji ambaye hutakiwi kumtegemea katika box to box.

Anatakiwa acheze kama matic, butt, lkn huwez mtegemea katika box to box japo amazon element hizo, kama kocha ukimtuma uwanjani ni kuharibu kama timu inazidiwa ila uwe na mpango kichwani, kwa kuwa ten hag anaonekana kukosa mipango bado anaonekana hatoshi.

Hajui auanataka nini.

Nawakari isha kwa majadiliano ila timu yangu man united inataka kicha mwenye football intelligence

Mchezaji mharibifu ni kipaji, ni wachezaji wachache sana. United mie namkumbuka nik butt, magic, kwa sasa mactonomay.

Matumizinyao ni kuichafua formation ya timu pinzani
 
Mactonomy na Hjulmand? Really? Na huyu ni senior member wa JF? Kweli tumeingiliwa kwenye soccer. Please andika thread za vigodoro soccer is not your cup of tea!
 
Kwa sasa pale united kuna mctonomy hyu dogo anafanya ya nick butt, kazi ya mchezaji anayetakiwa aharibu formation ya timu pinzani.

Hjulmand ni aina ya mchezaji ambaye hutakiwi kumtegemea katika box to box.

Anatakiwa acheze kama matic, butt, lkn huwez mtegemea katika box to box japo amazon element hizo, kama kocha ukimtuma uwanjani ni kuharibu kama timu inazidiwa ila uwe na mpango kichwani, kwa kuwa ten hag anaonekana kukosa mipango bado anaonekana hatoshi.

Hajui auanataka nini.

Nawakari isha kwa majadiliano ila timu yangu man united inataka kicha mwenye football intelligence

Mchezaji mharibifu ni kipaji, ni wachezaji wachache sana. United mie namkumbuka nik butt, magic, kwa sasa mactonomay.

Matumizinyao ni kuichafua formation ya timu pinzani
Aise hangover naona ijaisha mkuu.
 
Hjulmand ni Nani..!? Anacheza Manchester United ama.!?

McTonomy una maana ya Scott McTominay..!?

Tuanzie hapa kwanza kabla ya huko Box to Box ya Hjulmand.
 
Hahahah kocha la boli atarudi kukujibu

Alafu yule Kobbie Marioo(joke) No. 37 ni Msukuma wa Mwanza yule. Dogo anajua sana
 
Kwa sasa pale united kuna mctonomy hyu dogo anafanya ya nick butt, kazi ya mchezaji anayetakiwa aharibu formation ya timu pinzani.

Hjulmand ni aina ya mchezaji ambaye hutakiwi kumtegemea katika box to box.

Anatakiwa acheze kama matic, butt, lkn huwez mtegemea katika box to box japo amazon element hizo, kama kocha ukimtuma uwanjani ni kuharibu kama timu inazidiwa ila uwe na mpango kichwani, kwa kuwa ten hag anaonekana kukosa mipango bado anaonekana hatoshi.

Hajui auanataka nini.

Nawakari isha kwa majadiliano ila timu yangu man united inataka kicha mwenye football intelligence

Mchezaji mharibifu ni kipaji, ni wachezaji wachache sana. United mie namkumbuka nik butt, magic, kwa sasa mactonomay.

Matumizinyao ni kuichafua formation ya timu pinzani
Ten haag amegundua Mctominay ni goal poacher hata ukiangalia game za man u za karibuni utaona kwenye formation anakaa pembeni ya midfielder mwingine kule chini ila wakati wa mchezo anapanda juu pembeni ya straiker alafu bruno ndio anashuka chini kidogo. Mctominay anapelekwa uwanjani kusaidia jukumu la kufunga magoli wala sio kuvuluga mipango ya wapinzani. Ubaya wa mctominay hana akili ya mpira.
 
Kwa sasa pale united kuna mctonomy hyu dogo anafanya ya nick butt, kazi ya mchezaji anayetakiwa aharibu formation ya timu pinzani.

Hjulmand ni aina ya mchezaji ambaye hutakiwi kumtegemea katika box to box.

Anatakiwa acheze kama matic, butt, lkn huwez mtegemea katika box to box japo amazon element hizo, kama kocha ukimtuma uwanjani ni kuharibu kama timu inazidiwa ila uwe na mpango kichwani, kwa kuwa ten hag anaonekana kukosa mipango bado anaonekana hatoshi.

Hajui auanataka nini.

Nawakari isha kwa majadiliano ila timu yangu man united inataka kicha mwenye football intelligence

Mchezaji mharibifu ni kipaji, ni wachezaji wachache sana. United mie namkumbuka nik butt, magic, kwa sasa mactonomay.

Matumizinyao ni kuichafua formation ya timu pinzani
Mactonomy na Hljimand wanacheza timu gani?
 
Back
Top Bottom