German Sherpherd: Mbwa wenye akili kubwa ya ulinzi

zeuman

JF-Expert Member
Aug 2, 2023
261
480
HUyu ndiye German Shepherd (Pure breed)
Mbwa mwenye akili kubwa sana ya ulinzi. Ana kiwango kikubwa sana cha kufundishika.

1694460107306.png
 

Attachments

  • German Shephered pdf.pdf
    666.7 KB · Views: 12
Ndugu mimi PM napaogopa bwana naomba nielekeze bei tu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Aliye serious katika kuhitaji mbwa hawa hatasita kufanya biashara pm mahali ambapo tutapeana na namba za simu kwa mawasiliano zaidi. Walio wengi hawawezi kuanika namba zao za simu hapa!! Malipo ni mkono kwa mkono baada ya kumwona GS mwenyewe!!
 
Sasa bei unauliza vipi haujaona biashara, lazima ujue chanjo alizopata, umri na historia ya wazazi wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom