Kipigo cha mbwa koko: Algeria 6-1 Niger 😆

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
6,353
5,950
Safi sana Algeria kwa kipigo cha mbwa koko dhidi ya Niger, mmepiga pira la kiume mammae kama kawaida yenu, mpira mnaujuwa adi mnakera 😄,, hawa washkaji wanapiga soka acha kabisa bandugu, wanacheza kwa akili nyingi na kwa ushirikiano, unaweza sema hawaishi afrika hawa njemba. Soka lao lakipekee haswaa na linavutia unatamani mpira usiishe harakaa. So, endeleeni kushusha kipigo, kwani ninyi ndiyo wawakilishi we2 world cup nchini Qatar. Hivyoo mctuangushe wakubwa zenu tunawategemea. Tunaiombea mafanikio mema Taifa stars tufikie angalau nusu ya hawaa wanaume wa Afrika ya kaskazini, siyo kanda ya kaskazini kwa wachagga jamani mcninukuu vibaya bandugu.

images (15).jpeg
images (14).jpeg


Mungu ibariki Tanzania.

Asanteni bandugu.
 
Sisi tushawahi kupigwa 7 na Morocco kwaiyo sisi wachovu tusichekane tuombeane kheri
 
Safi sana Algeria kwa kipigo cha mbwa koko dhidi ya Guinea, mmepiga pira la kiume mammae kama kawaida yenu, mpira mnaujuwa adi mnaudhi 😄,, hawa washkaji wanapiga soka acha kabisa, wanacheza kwa akili nyingi na ushirikiano, unaweza sema hawaishi afrika hawa njemba. Soka lao lakipekee haswaa na linavutia unatamani mpira usiishe harakaa. So, endeleeni kushusha kipigo, kwani ninyi ndiyo wawakilishi we2 world cup nchini Qatar. Hivyoo mctuangushe wakubwa zenu. Tunaiombea Taifa stars tufikie angalau nusu ya hawaa wanaume wa kaskazini, siyo wachagga jamani mcninukuu vibaya, hilo ni bara la kaskazini.

View attachment 1969394View attachment 1969395

Mungu ibariki Tanzania.

Asanteni bandugu.
Duuh
 
Tanzania si mlikula sabaa,kule kwao hapo kwa mkapa mlitoka 2-2 mlianza kufunga wakarudisha zote.....kule algers mlikutana na moto wa kina yacine brahimi mahrez...na hilo linamba tisa lao....Yacine brahimi aliwahi kumlambisha nyasi philip lahm akiwa kwenye ubora wake world cup 2014 kule brazil..hawajamaa sio waafrika,wachezaji wengi wanatoka france.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom