Nimeona watu wakijaribu kumtia mbunge awe ni katika viongozi, utasikia sijui dada fulani katia aibu alafu ni kiongozi kabisa mbunge yule.
Mbunge sio kiongozi, kiongozi anasimamia watu.
Mbunge anawakilisha watu wa eneo fulani kwa kiongozi.
Mbunge ni muwakilishi,ni mtumwa wetu,wasijitie katika...