mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Mbunge huyu, Tarime Mjini tumepigwa

    Huyu jamaa ni mmiliki wa mashule yake huko mikoani hususani Arusha hivyo mda mwingi anakaa arusha na hajui changamoto za wapiga kura wake. Hajawahi kuongea bungeni Wala kuishauri serikali juu ya changamoto za wanna Tarime. Hana uhusiano na viongozi wenzake wa chama hususani madiwani. Hata...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Mbunge asema wanawake watapigana kama wanaume

    Mbunge wa Bunge la #Ukraine, Kira Rudik amechapisha picha akiwa ameshika bunduki na kuandika kuwa anajifunza ili kutetea ardhi yake dhidi ya #Urusi Ameandika wanawake watatetea ardhi ya nchi yao kama wanaume. Ukraine ilitangaza kuwaua wanajeshi 1000 wa Urusi. Hata hivyo asubuhi ya Februari 26...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mstaafu na Mtu Maarufu anahitaji Mchango wa matibabu, wewe unadhani uta survive vipi?

    Nimejiuliza hili swali sana si kwa nia mbaya. Kwa nia njema kabisa. Prof Jay. Joseph Haule amekuwa Mbunge kwa miaka 5 akilipwa mamimilioni ya pesa. Baada ya kumaliza kipindi chake amelipwa mamilioni mengine ya kiinuna mgongo. Leo ameumwa na kulazwa kwa mwezi mmoja anadai achangiwe. Je yule...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tarimba apendekeza TANESCO kufumuliwa na kuwepo kampuni 3 kwa ajili ya Uzalishaji, Usafirishaji na Ugawaji umeme

    Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas amehoji ikiwa Serikali haioni ni muda mwafaka wa kulifumua Shirika la Umeme (TANESCO) ili kuwe na Kampuni tatu kwa ajili ya kufanya Generation Uzalishaji, Usafirishaji na Usambazaji kama ilivyo Nchi nyingine. Akimjibu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema...
  5. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Hivi mbunge wa Segerea kazi yake nini?

    Nauliza hivi kwa mshangao sana. Ni kuhusu suala la maji. Yapo maeneo maji wanapata kila siku. Kuanzia Bima kwenda hadi relini kule maji ni kila wakati. Mshangao kwao ni maji yakikatika. Maeneo ya Segerea kuelekea Kisukuru na Bonyokwa huko kuna changamoto sana ya maji. Huku yakitoka inabidi...
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Maswa naye achukua fomu ya Naibu Spika

    Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM. Akizungumza leo Jumapili Februari 6, 2022 mara baada ya kuchukua fomu hiyo Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nyongo amesema ameamua...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nani kuwa Naibu Spika? Ikumbukwe ni lazima awe Mbunge

    Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapo utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika. Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazi. Nani atatufaa? Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo? Maendeleo hayana vyama.
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafue amteua Katibu Mwenzi (Mpya) wa CCM Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro

    Mada tajwa hapo juu yahusika. Pamoja na CCM kuwa inatumia demokrasia kwenye changuzi zake, huko Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro hali ni tofauti kidogo. Aliyekuwa Katibu mwenzi wa CCM wa Jimbo la Hai ameajiriwa na serikali bila kujua Elimu yake na bila kufanya mitihani kupitia jitihada Za...
  9. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi avunja ukimya kwa kuelezea kuhusu covid-19 na umuhimu wa kuchanja

    Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku ==== Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19 Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amejitokeza na kuvunja ukimya kwa kufafanua madhara ya ugonjwa wa...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

    Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
  12. econonist

    JamiiForums Tanzania Ni halali mbunge kuajiriwa Ikulu?

    Leo katika hotuba yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samiah Suluhu Hassan amesema ya kwamba atampa kazi Mh Lukuvi ikulu asaidiane naye wakielekea kustaafu na pia kumpatia kazi nje ya mfumo wa kawaida Mh Lukuvi. Swali langu ni je katiba inaruhusu mbunge kuajiriwa ikulu nje ya uwaziri...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa CCM akiwa ameweka ugali aliopika juu ya karo la choo huku akifurahia. Kweli mtu ni afya

    Mahindi nayo yameanikwa juu ya karo la choo, hapa afya anajali kweli?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama 99.9% ya Viongozi wa Dodoma Jiji FC akina Mbunge Mavunde na Kunambi ni Yanga SC lia lia, leo mnategemea kabisa Yanga SC isishinde Goli nyingi?

    Dodoma Jiji FC kabla ya Kucheza na Simba SC kuanzia Msemaji wao, Mlezi wao Mkuu na Mbinge Antony Mavunde hadi Kiongozi wao Mwandamizi Kunambi walikuwa mara kwa mara wakizungumza, wakiitishia Simba SC huku wakiikamia ile mbaya Mechi husika. Je, mmeshajiuliza ni kwanini Viongozi hawa hawa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arumeru, Dr. Pallangyo umetukosea sana Watanzania. Endelea Kuringa yana mwisho

    “Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki #LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Prof Mark J Mwandosya: Inawezekana Mbunge au waziri kupata muda wa kuandika tasnifu?

    Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa.Nawafahamu mna uwezo mkubwa.Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda wa utafiti na kuandika tasnifu.Hata ya uzamili ni kazi sana.Swali kwa Vyuo Vikuu, je vigezo au viwango vimebadilika?
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Maoni ya Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kuhusu Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla. Hebu chota busara hizi kutoka kwake
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbogwe aliyedaiwa kuugua uchizi awaomba BAKWATA kumuombea dua

    "Vipo vyombo vimeibuka na kusema mimi Nicodemus Maganga ni kichaa, niliugua wiki chache zilizopita, ni kawaida kuugua , suala hili liliibuka na kwenye kipindi cha uchaguzi. Hivyo niwaombe ndugu zangu viongozi wa BAKWATA Mbogwe mniombee dua" Nicodemus Maganga, Mbunge wa Mbogwe...
  19. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Fact Check: Chuo kilichompa udaktari wa heshima Mbunge Musukuma ni cha kitapeli, hakiko authentic

    Inasikitisha sana tunapoona viongozi waandamizi wa nchi hasa wabunge wakikubali kununua cheap doctorates kutoka vyuo vya kitapeli(rogue colleges). Hiyo inakupa picha kwamba hawa viongozi wetu hawajui hata kuangalia authenticity wakati kila kitu kipo online.Kwanza hiki sio chuo maana hakina...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Geita Vijijini atunukiwa Udaktari wa heshima, sasa kuitwa Dkt. Joseph Kasheku

    Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.”
Back
Top Bottom