Video: Maoni ya Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kuhusu Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,599
217,991
Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla.

Hebu chota busara hizi kutoka kwake

Msikilize hapa:

Video pia ipo Twitter katika akaunti ya Martin Maranja Masese na kaandika hivi

"Lumuli Alipipi Kasyupa, mbunge wa zamani wa Kyela, 1970-1975, msikilize mzee wetu huyu, kuna wakati bado wakiwa hai, tutawavisha nishani kwa kusema ukweli hata kama watawala waliziba masikio. Demokrasia baada ya miaka 60 ya uhuru ni mbovu sana. Wazee wanazungumza vijana tunaogopa."
 
Msikilize hapa-:

Bahati mbaya video inagoma kui-copy na kui--paste.

Video ipo Twitter katika akaunti ya Martin Maranja Masese na kaandika hivi:

Kumbe Mwandishi ni wewe???
 
aongee na ss wenziwe ambao bado tupo hai,alipaswa aongee kpnd yu hai,akiongea ss hv tunamuita ni wale wanasiasa wasiojielewa ,wenye siasa za umalaya umalaya hivi(in mwal.voice)
 
Msikilize hapa-:

Bahati mbaya video inagoma kui-copy na kui--paste.

Video ipo Twitter katika akaunti ya Martin Maranja Masese na kaandika hivi:

"Lumuli Alipipi Kasyupa, mbunge wa zamani wa Kyela, 1970-1975, msikilize mzee wetu huyu, kuna wakati bado wakiwa hai, tutawavisha nishani kwa kusema ukweli hata kama watawala waliziba masikio. Demokrasia baada ya miaka 60 ya uhuru ni mbovu sana. Wazee wanazungumza vijana tunaogopa."

EXCLUSIVE: LUMULI KASYUPA , MBUNGE MSTAAFU JIMBO LA KYELA, TANZANIA

Source : Baharia TV
 
Back
Top Bottom