mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mbunge Mh. Oliver Semuguruka

    Nitakuwa nawaletea wabunge mbalimbali kutoka bungeni Dodoma, leo tuanze na mbunge Semuguruka kutoka mkoani Kagera. Huwa namfatilia sana anapochangia michango yake bungeni.
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Mitaala inayotengenezwa haimsaidii Mtanzania

    Katani Ahmed Katani (Mbunge wa Tandahimba) amesema Vyuo vinaendelea kutengeneza Mitaala na Kozi ambazo hata Mhitimu akienda 'Ajira Portal' hakutani na kitu alichosomea. Amesema, "Tunaendelea kutengeneza Mitaala ambayo haiendi kumsaidia Mtanzania" Amefafanua, "Tunaendelea kutumia Mitaala ya...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa mbunge acha mara moja "kuuza" mechi ya Dodoma Jiji Vs Yanga

    Mheshimiwa Mbunge tunajua wewe ni mfia Yanga. Iache Yanga ipambane yenyewe badala ya wewe na uongozi wa Yanga kulazimisha mechi ichezwe nje ya uwanja. Unahangaika sana kutafuta connection ili Dodoma Jiji isiwafanye vibaya Utopolo wenzio. Tunajua hatuwezi kukufanya chochote ila huo sio...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson ampa onyo kali Mbunge Tabasamu kwa kumuita Condester Sichalwe 'Mbunge wa ajabu'

    Spika Tulia Ackson amesema wabunge wote wana hadhi sawa na hakuna mbunge wa ajabu, ametolea mfano Msukuma ameshawahi kuchangia kuhusu bangi na hakuna mtu aliyemuita mbunge wa ajabu na kudai yawezekana hoja kwa sababu Condester mwanamke ikawa na nguvu Spika amesema kanuni za Bunge zinataka...
  5. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester ataka gongo ihalalishwe, aenda bungeni na 'sample'

    Condester Sichalwe(Momba): Ni nini watu wa TBS wanaweza wakatusaidia kutoa makali ambayo yapo kwenye gongo yafanane konyagi, yafanane na pombe nyingine ambazo mnaziona za kifahari ambazo matajiri wanakunywa lakini wote wakinywa wanalewa. Nataka kuwaambia, pombe hizi za kienyeji ambazo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na Dar24: Dkt. Slaa adai alikuwa akifukuza kama MBWA ma-OCD walioingilia mikutano ya ndani ya Mbunge

    Kweli Dr.Slaa alikuwa kiboko. Lakini sidhani kama angeweza kufanya hivyo kwa Ma-OCD wa IGP Sirro. Dkt. Slaa anadai Polisi waliofika kwenye mikutano yake aliwahoji, " kifungu gani kimekuruhusu kuja kwenye mkutano wangu wa ndani...ondoka wewe MBWA.."🤣 Ili nisimuwekee maneno Dr.Slaa naomba...
  7. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima atoa Tsh 100,000 kwa kila aliyekatwa mapanga na panya road

    Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima, ametoa pole ya shilingi laki moja kwa kila mwananchi aliyekatwa mapanga na vijana wanaodaiwa kuwa ni Panya road katika mtaa wa Mtongani Kunduchi usiku wa kuamkia Mei 2, 2022. Jumla ya wananchi 19 walijeruhiwa kwa mapanga.
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto mchanga wa Marehemu Mbunge Irene Ndyamkama afariki dunia

    Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama amefariki dunia jana Aprili 30, 2022. Mtoto huyo amefariki baada ya kuishi kwa siku saba tangu kuzaliwa kwake, Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika Hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa...
  10. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ataka maeneo ya kiuchumi yatungiwe sheria

    Mheshimiwa Spika, Maeneo mengi muhimu ya kijamii na kiuchumi kutotungiwa Sheria mahsusi na badala yake kutumika matamko ya baadhi ya viongozi na watendaji wa Serikali (a) Mheshimiwa Spika, Biashara za Machinga, Bodaboda, Mama Ntilie, Wauza mbogamboga kundi hili liko kwenye hekaheka kila leo...
  11. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Mchango wa mbunge mpina bungeni, ahoji usiri mkubwa katika mikataba ambayo serikali inaingia kwa niaba ya wananchi

    Mheshimiwa Spika, Serikali imekuwa ikiingia mikataba mingi kwa ajili ya shughuli za kiuchumi na kijamii na kwa bahati mbaya sana mikataba hii hutuzwa kwa siri kubwa, wabunge na wananchi wamekuwa wakilalamikia utekelezaji dhaifu wa baadhi ya mikataba bila kupata majibu fasaha. Lakini pia taarifa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile ashiriki katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa na Rais Samia

    MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika pamoja na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na Wananchi mbalimbali katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa letu na Rais Samia Suluhu Hassan sambamba na kushiriki nao futari ya pamoja aliyoiandaa yeye...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania UK: Mbunge adaiwa kuangalia ngono akiwa Bungeni

    https://www.independent.co.uk/news/uk/politics/tory-watch-porn-commons-phone-b2066545.html?amp Mbunge aliyekaa nae jirani aliona mbunge mwenzake akiangalia website ya ngono katikati ya kikao cha bunge huko Uingereza. Ofisi ya Kambi ya Upinzani imesema swala hili litachunguzwa na kamati huru ya...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tabasamu wewe ni Mbunge wa Watanzania

    Nimekuwa nikikufuatilia katikati michango yako uwapo Bungeni hakika nakupongeza,wewe sio chawa wa aliyeko juu. Dhambi baridi itawatesa maafisa wengi sana kupitia haki zao za ustaafu kucheleweshwa. Mh Tabasamu eti uchaguzi 2020 waliiba kura,Basi kama ni kweli wewe walikuibia kiuhalali.
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka taarifa za zuio la bodaboda lijadiliwe kwa dharura Bungeni, Spika aikataa hoja

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Slaa ametoa hoja ya kusimamisha ratiba ya Bunge ili kujadili hoja ya vijana waliojiajiri katika usafiri wa bodaboda na Bajaj ambao kulikuwa na taarifa wamezuiwa kuinjia maeneo ya Mjini Mkoani Dar es Salaam. Slaa alitoa hoja hiyo Bungeni leo Alhamisi Aprili 21, 2022...
  16. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Athuman Maige, Mbunge wa Tabora Kaskazini aomba serikali ifanye utafiti mahususi kuhusu lugha ya kufundishia nchini Tanzania

    Mbunge wa Tabora Kaskazini, Mh. Athuman Maige ameitaka serikali kufanya utafiti wa kina kuhusu lugha ya kufundishia nchini Tanzania. Mbunge huyo amesema "Ziko tafiti zaidi ya 40 zimefanyika na zote zinasema lugha inayofaa kufundishia Tanzania ni Kiswahili, naomba serikali ifanye tena utafiti...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Deo Sanga: CCM ilishinda Uchaguzi Mkuu kwa kishindo, kura hazikuibwa

    Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura" Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Huyu mbunge anachokifanya ni nini hapa?

    Hivi mbona hii nchi hatuko serious? hawa ndio waaomi tunaotegemea, bunge hili la sasa kuna tatizo kubwa,
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Ubakaji umeongezeka sasa sababu wanaume wanashindwa kununua mapenzi, mapenzi ni bidhaa

    Mbunge wa Iringa mjini Jesca Msambatavangu amesema ubakaji na ukatili wa kijinsia kwa watoto umeongezeka kipindi cha hivi karibuni Sababu ya kuongezeka huko mbunge huyo ametaja ni kutokana na wanaumne wengi njia zao za kujipatia kipato kuharibiwa na sera ambazo sio rafiki na kushindwa kupata...
  20. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Tunafunga mjadala sasa, Mwanaume anapendewa pesa tu - Mbunge wa Iringa Mjini

    "Leo ukiniambia nguzo za umeme zitanunuliwa nje ya nchi, unamaana vijana wangu wote waliopo Iringa, songwe, Tanga wote wamepanda miti wakose fedha? Watakapokua na hitaji la mapenzi watafanya nini? Kwa sababu, sasa hivi hakuna mwanamke atapenda sura, kwa sababu wanaume kwanza hawana sura nzuri...
Back
Top Bottom