Kila aliyepo bungeni leo hadi spika wanaona ni sawa DP world kupewa bandari, na hakuna kipengele tata kwenye mkataba( makubaliano kama wanavyoita) yaani vifungu vyote vipo sawa tu, hakuna hata mmoja anayena kuna tatizo hata moja.
"Uchangiaji waoleo upo hivi, Serikali ina njema na nchi...
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.
==============
Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya...
MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania.
Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA...
SAKATA LA PICHA YA MBUNGE WA NGARA WANANCHI WAKANA KULAZIMISHWA
Wananchi na wakazi wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera wamekanusha kulazimishwa kuweka picha ya Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ndaisaba Gerge Ruholo kwenye maeneo yao kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini...
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Juliana Didas Masaburi katika kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni Jijini Dodoma amehoji Wizara ya Nishati kuhusu utekelezaji wa Miradi ya REA III awamu ya Pili Katika Mkoa wa Mara
Maswali yote yalijibiwa na Naibu Waziri Wizara ya Nishati Mhe. Wakili...
MBUNGE NEEMA MGAYA AITAKA SERIKALI KUFANYIA UKARABATI SHULE KONGWE HAPA NCHINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Mhe. Neema William Mgaya katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ametaka kujua mpango wa Serikali kukarabati Shule Kongwe katika Mkoa wa Njombe
"Je, lini Serikali...
MBUNGE STELLA IKUPA AITAKA SERIKALI KUSIMAMIA KANUNI YA KUPATA MIKOPO KWA WATU WENYE ULEMAVU NCHINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Stella Ikupa Alex Bungeni jijini Dodoma ameishauri Serikali kuhakikisha Halmashauri na Manispaa zinasimamia muongozo na kanuni ya kutoa mikopo kwa...
Updates:
Video imeambatanishwa
.
.
.
Mbunge wa Ngara (CCM) Ndaisaba Ruhoro anadaiwa kulazimisha picha zake zibandikwe maeneo yenye mkusanyiko wa watu ndani ya jimbo huku baadhi ya watu wakihoii kwa nini iwe lazima. Picha hizo zinaelezwa kubandikwa maeneo ambako kuna picha za Rais na sehemu...
MBUNGE ABDALLAH CHIKOTA ATAKA USHIRIKISHWAJI MRADI WA GESI ASILIA WA LNG
Mbunge wa Nanyamba (CCM) Abdallah Chikota ametaka watu wa mikoa ya Lindi na Mtwara kuendelea kushirikishwa katika mradi wa Gesi asilia iliyosindikwa (LNG) kwasababu yapo mambo mengi yanayohitaji ushirikishwaji.
Chikota...
Dodoma. Mbunge wa Iramba Mashariki (CCM), Fransic Mtinga ametaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuweka gharama za kuunganisha umeme kwa Sh27, 000 kote nchini ili kukusanya makusanyo mengi kutokana na mauzo ya umeme na kodi ya majengo.
Ameyasema hayo leo Jumatano Mei 31, 2023 wakati...
"Je, Serikali ina mpango gani wa kupunguza gharama za matibabu kwa akina Mama wanapokwenda Kliniki Sumbawanga?" - Mhe. Bupe Nelson Mwakang'ata, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa
"Sera ya Afya ya mwaka 2007 kifungu cha tano (3)(4c) kinaeleza kuwa huduma za afya ya uzazi ikiwemo kuhudhuria...
Mbunge wa Singida Kusini Elibariki Kingu ameitaka Serikali iipe mkataba mnono tena kampuni ya Songas ili iendelee kuiuzia Serikali umeme
Ameyasema leo bungeni Dodoma
MBUNGE ABUBAKAR ASENGA AMEIOMBA SERIKALI KUONDOA MGOGORO WA ARDHI KILOMBERO
Mbunge wa Jimbo la Kilombero (CCM), Mhe. Abubakar Asenga ameiomba Serikali ikamsaidie kupima ardhi ya wananchi ili akwepe laana ya Askofu.
Mhe. Abubakar Asenga ametoa kauli hiyo Alhamisi Mei 25,2023 wakati akichangia...
Hawa jamaa zetu wenye kupenda wabunge matajiri pengine hawatusaidia sana. Unakuta mfanyabiashara anachomeka hiki na hiki cha wakulima na wafugaji halafu anamgeukia waziri wa nishati na ku declare interest halafu anaeleza shida zake binafsi hadi speaker kumjulisha kwamba aongee na yeye sio...
MARTHA FESTO MARIKI AITAKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUBORESHA MAKAZI YA POLISI NA MAGEREZA
"Katika Mkoa wa Katavi katika Jeshi la Zimamoto tuna takribani zaidi ya miaka 12 hatuna gari la uhakika la Zimamoto. Mkoa unakua, Serikali imewekeza ikiwepo Bandari. Mkoa unapokea wafanyabiashara wengi...
Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia.
Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, tarehe 27 Mei, 2023 wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu nishati safi ya kupikia pamoja na kupitishwa kwenye Rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia pamoja na Mpango Mkakati wa Utekelezaji kupitia semina maalum...
bajeti
bunge
gesi
historia
january
january makamba
kuhonga
kupitisha
makamba
mbunge
mitungi
mmoja
nishati
pesa
tanzania
wabunge
wapi
wiki
wizara
wizara ya nishati
JIMBO LA HAI NA MAFANIKIO LUKUKI NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MADARAKANI
"Nawashukuru wananchi wa Hai kwa heshima kubwa waliyonipa ya kuwa Mbunge wao. Itoshe kusema asante na Mungu ambariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan" - Mhe...
MBUNGE NICODEMUS MAGANGA AITAKA SERIKALI KUWA NA MFUMO MZURI WA KUWATAMBUA WASTAAFU
Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodemus Maganga amehoji Serikali kuwapiga chenga wastaafu pindi wanapoanza kudai mafao yao.
Akiuliza swali la msingi, Maganga amehoji Serikali ina mpango gani wa kuhakikisha pesheni za...
MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.