Mbunge Nicodemus Maganga Aitaka Serikali kuwa na Mfumo Mzuri wa Kuwatambua Wastaafu

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,890
939

MBUNGE NICODEMUS MAGANGA AITAKA SERIKALI KUWA NA MFUMO MZURI WA KUWATAMBUA WASTAAFU

Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodemus Maganga amehoji Serikali kuwapiga chenga wastaafu pindi wanapoanza kudai mafao yao.

Akiuliza swali la msingi, Maganga amehoji Serikali ina mpango gani wa kuhakikisha pesheni za wastaafu zinalipwa kwa wakati?.

Akijibu swali hilo Ijumaa Mei 26, 2023 Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema kuwa mifuko inaendelea kuimarisha namna ya ulipaji wa mafao ili kuhakikisha maombi ya wastaafu wapya yanafanyiwa kazi kwa haraka.

maxresdefaultMKOIP.jpg
 
Back
Top Bottom