mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Jimbo la Hai, wanamuuliza Mbunge wao. Je, hoja ya kubinafsishwa bandari ya Dar amekubaliana nayo?

    Kumetokea mkusanyiko mkubwa huko Jimbo la Hai, wakitaka mbunge wao ainyeshe wazi msimamo wake kuhusu hoja iliyoko Bungeni kitaka Bandari ya Dar ibinafsishiwe Dubai. Wananchi hao wametoa kauli moja kuwa iwapo mbunge Huyo atapitisha hoja ya kukubali Kuchukuliwa na wageni bandari ya Dar, ambako...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Janejelly Ntate Awaomba Wananchi Kuwa Walinzi wa Miradi ya Maji Inayoendelea Kuzinduliwa

    MBUNGE JANEJELLY NTATE AWAOMBA WANANCHI KUWA WALINZI WA MIRADI YA MAJI INAYOZINDULIWA KIPINDI HIKI CHA MBIO ZA MWENGE Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate katika sherehe za Mbio za Mwenge Temeke, amemshukuru Rais wa...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mabula aomba barabara ya Kenyatta ianze kujengwa njia nne kuungana na daraja la Busisi

  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jacqueline Kainja Achangia UWT Milioni 3.6

    MHE. JACQUELINE KAINJA ACHANGIA MILIONI 3.6 UWT MKOA WA TABORA, AZINDUA JUKWAA LA WANAWAKE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja amechangia Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Tabora vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Shilingi 3,600,000 kwa ajili ya ukarabati wa...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kwezi Ataka Ajira kwenye Miradi Zizingatie Vijana wa Maeneo yao

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATAKA AJIRA KWENYE MIRADI ZIZINGATIE VIJANA WA MAENEO YAO Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoa wa Tabora, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2023-2024 ya Shilingi Trilioni 3.554 iliyosomwa na...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akisalimia wananchi

    Igunga, Tabora Habari Picha: Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akisalimiana na Wakazi wa Kitongoji cha Mhama Mmoja Kijiji cha Itumba akiwa siku ya Pili ya Ziara ya Kikazi Jimboni. Baada ya Ziara ya Kikazi, Mheshimiwa Ngassa (MB) amekutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Edward Ole Lekaita Asisitiza Matumizi ya Uchumi wa Kidigitali & Apongeza Ujio wa Minara ya Mawasiliano kwenye Kata 12 za Jimbo la Kiteto

    MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ASISITIZA MATUMIZI YA UCHUMI WA KIDIGITALI & APONGEZA UJIO WA MINARA YA MAWASILIANO KATIKA KATA 12 ZA KITETO "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka fedha nyingi sana kwenye Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Nampongeza Waziri Nape na Naibu...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge /Mwanasheria mwenye kuifahamu sheria ya fedha Za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006. Tunaomba atueleweshe tafadhali

    Tunaomba msaada kwa mwenye kufahamu anayeweza kutuwekea hapa sheria ya fedha za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006. Ninaona Halmashauri karibia zote hazijui sheria hiyo na fedha Za mfuko wa jimbo zitakuwa na kutumika na ukoo wa mbunge husika katika jimbo.
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Janeth Mahawanga -Aitaka Serikali Kuwekeza Kwenye Majukwaa ya Kuwezesha Wanawake Kiuchumi

    MBUNGE JANETH MAHAWANGA AITAKA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Tisha Mama Foundation Mhe. Janeth Elias Mahawanga amechangia Bajeti ya Shilingi Bilioni 74.22 ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana anayetokea Zanzibar Mhe. Latifa Juwakali Wakati Akichangia Hotuba ya Bajeti Wizara ya Elimu

    MBUNGE LATIFA JUWAKALI AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI WIZARA YA ELIMU 2023-2024 BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana anayetokea Zanzibar Mhe. Latifa Juwakali amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa maono makubwa na jinsi...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mbunge Jimbo la Igunga

    📍 Igunga, Tabora ZIARA YA MBUNGE JIMBONI Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa atafanya Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu Jimboni Igunga kuanzia tarehe 19 Mei, 2023 kwa ajili ya; 1. Kukagua Maendeleo ya Utekekelezaji wa Mradi wa Umeme Vijijini Jimbo la Igunga (Rural...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu

    MBUNGE DKT. OSCAR KIKOYO AKICHANGIA BAJETI WIZARA YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Mhe. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu ya zaidi ya Trilioni Moja Bungeni Jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Elimu, Mhe...
  13. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania OMBI: Mbunge wa Mbeya mjini, Kata ya Iyela haina maji wiki ya tatu sasa!

    Kwako Tulia Ackson, Wananchi wa kata yako ya Iyela inayoongoza kwa kukupa kura nyingi kwa wabunge wa ccm haina maji takriban wiki ya tatu! Hivyo kama umamua hutagombea 2025 kaa kimya ILA kama ndiyo wewe utagombea naomba ufwatilie swala la maji mana wanachi wako wanateseka! By Msemaji wa wasio...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kukamilisha Barabara kwa Kiwango cha Lami Mpanda, Uvinza na Inyonga katika Mwaka wa Fedha 2023-2024

    SERIKALI KUKAMILISHA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI MPANDA, UVINZA NA INYONGA KATIKA MWAKA WA FEDHA 2023-2024 Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amejibu maswali Bungeni jijini Dodoma aliyoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki juu ya ujenzi...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe Asisitiza Mtaala Mpya Uzingatie Talanta ya Mwanafunzi

    MBUNGE SAASHISHA MAFUWE ASISITIZA MTAALA WA ELIMU UZINGATIE TALANTA YA MWANAFUNZI Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Elinikyo Mafuwe akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Elimu Mhe. Prof. Adolf Mkenda leo tarehe 16 Mei, 2023 kwa mwaka wa fedha...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jumanne Kibera Kishimba Aishauri Wizara ya Elimu Kuhusu Mtaala na Sera ya Elimu Inayokuja

    MBUNGE JUMANNE KIBERA KISHIMBA AMETOA USHAURI KWENYE KONGAMANO LA MITAALA NA SERA YA ELIMU Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Mhe. Jumanne Kibera Kishimba ametoa maoni yake kwenye Kongamano la Sera na Mitaala ya Elimu Tanzania lililofanyika Jumapili ya tarehe 14 Mei, 2023 Jijini Dodoma. "Elimu...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Oliver Semguruka Aomba Serikali Kukamilisha Huduma za Afya Mkoa wa Kagera

    MBUNGE OLIVER SEMGURUKA AIOMBA SERIKALI KUKAMILISHA HUDUMA ZOTE ZA AFYA MKOA WA KAGERA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kagera Mhe. Oliver Semguruka amechangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 15 Mei, 2023 iliyosomwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu "Mkoa wa...
  18. Kabinti ka ludilo

    JamiiForums Tanzania Siku chache baada ya Ripoti ya CAG wananchi nchini India wampiga Risasi Mbunge na kaka yake mtaani

    Ndauli. Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo. Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko. Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV mbunge mmoja kwa madai ya kupora mali na tabia za ubabe ubabe. Tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Stanslaus Nyongo Asema MSD Iwezeshwe Mtaji Ili Ifikie Malengo

    MBUNGE STANSLAUS NYONGO ASEMA MSD IWEZESHWE KIMTAJI ILI IFIKIE MALENGO NA KUTOA HUDUMA NZURI KWA WANANCHI Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo tarehe 12 Mei, 2023 amechangia hotuba ya Bajeti Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Benaya Kapinga asisitiza Dawa na Vifaa Tiba vipelekwe kwa wakati sehemu za kutolea huduma za afya

    MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023. "Serikali katika Jimbo la...
Back
Top Bottom