Mbunge wa Hai Afanya Makubwa Kwenye Sekta ya Maji

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
943
Mwaka 2020 jina la Saashisha Mafuwe likawa miongoni mwa majina 42 ya makada wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Hai, mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama ukafanyika na Saashisha Mafuwe akaibuka mshindi na baadae Chama kikarejesha jina lake, kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi Mkuu.

Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Hai kikamsindikiza Saashisha Mafuwe kuchukua fomu za kuwania Ubunge katika Jimbo la Hai, mchakato wa kampeni ukafanyika na hatimaye historia mpya ikaandikwa katika Jimbo la Hai baada ya Saashisha Mafuwe kushinda nafasi hiyo kwa kupata kura 89,756 akimshinda Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aliyepata kura 27,684.

Saashisha Mafuwe akaapishwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mwakilishi wa wananchi wa Jimbo la Hai, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikamkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2020/2025 na utekelezaji wake ukaanzia kwenye Sekta ya Maji.

Ukurusa wa 149 Ibara ya 100 ya Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 inaeleza kuwa Katika miaka mitano ijayo, lengo la CCM ni kuona kuwa nchi inaendelea kuwa na usalama wa Maji na kwamba huduma ya Maji safi na salama inaendelea kuimarishwa na kuwafikia zaidi ya asilimia 85 ya wakazi wa Vijijini na zaidi ya asilimia 95 kwa Mijini ifikapo mwaka 2025.

WhatsApp Image 2023-09-06 at 00.02.17.jpeg
 
Ajitahidi, huko ni kwa mwenyekiti,ndiyo ngome yake huko,JPM asije akakumbukwa 2025.Mama huyu,yupo nusunusu, demokrasia kiasi, udikteta kiasi, hana roho ngumu kama ya JPM.

2025 anaweza akawaacha mkapambana,CCM na CHADEMA.
 
Mkuu, mbona haujasema alichofanya kwenye iyo sekta ya maji? Tuambie alivyofanya, coverage ya maji ilikuaje na ipoje? Miundombinu mipya ipi imejengwa? Visima vipya?
 
Mwaka 2020 jina la Saashisha Mafuwe likawa miongoni mwa majina 42 ya makada wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Hai, mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama ukafanyika na Saashisha Mafuwe akaibuka mshindi na baadae Chama kikarejesha jina lake, kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi Mkuu.

Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Hai kikamsindikiza Saashisha Mafuwe kuchukua fomu za kuwania Ubunge katika Jimbo la Hai, mchakato wa kampeni ukafanyika na hatimaye historia mpya ikaandikwa katika Jimbo la Hai baada ya Saashisha Mafuwe kushinda nafasi hiyo kwa kupata kura 89,756 akimshinda Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aliyepata kura 27,684.

Saashisha Mafuwe akaapishwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mwakilishi wa wananchi wa Jimbo la Hai, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikamkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2020/2025 na utekelezaji wake ukaanzia kwenye Sekta ya Maji.

Ukurusa wa 149 Ibara ya 100 ya Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 inaeleza kuwa Katika miaka mitano ijayo, lengo la CCM ni kuona kuwa nchi inaendelea kuwa na usalama wa Maji na kwamba huduma ya Maji safi na salama inaendelea kuimarishwa na kuwafikia zaidi ya asilimia 85 ya wakazi wa Vijijini na zaidi ya asilimia 95 kwa Mijini ifikapo mwaka 2025.

View attachment 2746365
Hata afanye makubwa vipi, hilo jimbo ni miongoni mwa majimbo ya mgao wa nusu mkate wa maridhiano, hivyo 2025 linarejeshwa kwa mwenyewe mwenye jimbo lake!, unless kama maridhiano yamevunjika!.
P
 
Mwaka 2020 jina la Saashisha Mafuwe likawa miongoni mwa majina 42 ya makada wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Hai, mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama ukafanyika na Saashisha Mafuwe akaibuka mshindi na baadae Chama kikarejesha jina lake, kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi Mkuu.

Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Hai kikamsindikiza Saashisha Mafuwe kuchukua fomu za kuwania Ubunge katika Jimbo la Hai, mchakato wa kampeni ukafanyika na hatimaye historia mpya ikaandikwa katika Jimbo la Hai baada ya Saashisha Mafuwe kushinda nafasi hiyo kwa kupata kura 89,756 akimshinda Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aliyepata kura 27,684.

Saashisha Mafuwe akaapishwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mwakilishi wa wananchi wa Jimbo la Hai, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikamkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2020/2025 na utekelezaji wake ukaanzia kwenye Sekta ya Maji.

Ukurusa wa 149 Ibara ya 100 ya Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 inaeleza kuwa Katika miaka mitano ijayo, lengo la CCM ni kuona kuwa nchi inaendelea kuwa na usalama wa Maji na kwamba huduma ya Maji safi na salama inaendelea kuimarishwa na kuwafikia zaidi ya asilimia 85 ya wakazi wa Vijijini na zaidi ya asilimia 95 kwa Mijini ifikapo mwaka 2025.

View attachment 2746365

Hayo mambo ya kuwadanganya watu kuwa Mbunge anatoa pesa Mfukoni kujenga miradi ndio yanafanya wananchi kuwaona wabunge MPESA zao …
LAKINI ukweli ni kuwa miradi inaanywa na serikali kupitia pesa za Kodi ya wananchi , hata kama ni mikopo Mwisho wa siku inalipwa kwa pesa zetu wananchi kupitia Kodi …
NCHI zilizoendelea huwezi kukuta mtu Anasema amejenga mradi wa Maendeleo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom