mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Ally Mohamed Keissy alipokuwa akiitetea Tanganyika

    Tanganyika will never die! Ina watetezi uraiani na kwingineko! Msikie huyu Mbunge alivyochachamaa kuitetea.
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Mwantum Zodo Aibana Serikali Kuvisaidia Vikundi vya Uzalishaji Mali vya Ufugaji Vinavyosimamiwa na Wanawake

    Mbunge Mwantum Zodo Aibana Serikali Kuvisaidia Vikundi vya Uzalishaji Mali vya Ufugaji Vinavyosimamiwa na Wanawake VIKUNDI 102 VYA WAFUGAJI VYANUFAIKA NA MIKOPO NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Deogratius Ndejembi amesema vikundi 102 vya Wanawake vyenye wanufaika 875...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Momba alia na Wizara ya Afya kuhusu Huduma mbovu ya maji jimboni kwake

    Mbunge wa Momba, Condester Michael Sichalwe amedai kuna changamoto ya maji safi katika Jimbo na kuwalaumu Wizara ya Afya Kwa kutoshughulikia Hali hiyo. Amedai maji wanayotumia Wanamomba hayastahili kutumiwa na Binadamu kutokana na kutokuwa masafi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    Ni kipindi cha miaka karibu 23 hivi tathmini ya kwa ajili ya uhamisho wa Kipunguni imekuwa ikifanyika bila mafanikio, hivi karibuni imefanyika tena na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akathibitisha kuwa malipo yako kwenye hatua za mwisho, mwezi wa nane yatafanyika. Na kuwa hakuna mkutano...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Felista Njau aeleza namna alivyotumia pesa kupata Ubunge na kwenda kuapa Dodoma kwa siri

    Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi. Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri.
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge awachana bungeni wanaodai hajaolewa

    Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa . Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge...
  7. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Abdulhafar: CCM ni wazoefu wa kupokea matokeo ya kushinda na kushindwa, upinzani wafundishwe

    Mbunge Abdulhafar Juma akichangia kwenye miswada ya sheria uchaguzi ametoa pendekezo la kuongeza kipengele cha kutoa elimu namna ya kupokea matokeo. Akisema, "Kushindwa kwa baadhi ya viongozi katika uchaguzi ndio kunaleta kitahalani katika taifa. Kumbe labda tu kwasababu hawana elimu. "Nadhani...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Edward Olelekaita: Hakuna tatizo kubadili jina la Tume ya Uchaguzi

    Mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Edward Olelekaita amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikubainisha Tume ya Uchaguzi iitwe jina gani, hivyo hakuna tatizo katika kubadili jina la sasa ambalo ni Tume ya Taifa...
  9. JamiiForums Tanzania Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa majitaka za kwetu kwa muda mrefu. Kwa mfumo wetu wa siasa maboss wa chama wana nguvu kubwa kuliko maboss wa kiserikali. Kuna huku kurushiana maneno baina ya mwenezi na Waziri Bashe sina hakika sana kama ni issue serious sana maana nacho ona ni maigizo na ulaghai...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Juliana Shonza Akabidhi Mifuko 30 ya Saruji (690,000) Ujenzi Ofisi ya UWT Kata ya Ibaba

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Ileje Kata ya Ibaba kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero za wananchi na kuwapa mrejesho wananchi kuhusu utendaji kazi wa Serikali. Katika ziara yake, Mhe. Juliana Shonza...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Serikali ya Mtaa, Diwani, Mbunge na Rais wote CCM; vipi maendeleo mtaani kwako unayaona?

    Katika historia ya vyama vingi nchini, uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na uchauzi mkuu wa 2020 ulighubikwa na sintofahamu nyingi na kupelekea vyama vya upinzani kukosa uwakilishi wa kutosha ngazi ya Serikali za Mitaa na Bungeni. Wote tulishuhudia wagombea wengi wa vyama pinzani wakienguliwa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Zaytun Swai: Rais Samia ni Mhifadhi na mtunza Mazingira namba moja nchini

    "Tumekuja katika Gereza la Wilaya ya Karatu katika siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan. Nimekuja na akina mama wa Wilaya ya Karatu kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Karatu" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Tunamtakia Rais...
  13. JamiiForums Tanzania Makonda: Mbunge Saashisha Mafuwe ni Hazina

    MAKONDA: MBUNGE SAASHISHA MAFUWE NI HAZINA "Na hapa mna bahati ya kuwa na Mbunge Kijana (Saasisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai) na Mimi nilimuona Bungeni hata kabla sijawa Kiongozi anavyopigania hasa ardhi zenu, amehangaika sana na Vyama vya Ushirika na kutetea ardhi ya wana Hai ibaki...
  14. JamiiForums Tanzania Ukimpata Kiongozi Mwaminifu Maendeleo ni Kazi Rahisi Sana: Mbunge wa Mbogwe, Maganga

    UKIMPATA KIONGOZI AMBAYE NI MWAMINIFU KATIKA MAJUKUMU YAKE MAENDELEO NI KAZI RAHISI SANA: MHE. NICODEMAS HENRY MAGANGA, MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE MKOANI GEITA "Mwanzoni kulikuwa na watu siyo waaminifu, wakipewa leseni za uchimbaji Madini walikuwa wanawafukuza kama wanyama. Mimi nilikuwa na upeo...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Mwambe Awakutanisha Viongozi wa Vyama vya Msingi Vilivyo Jimbo la Ndanda

    MBUNGE MWAMBE AWAKUTANISHA VIONGOZI WA VYAMA VYA MSINGI VILIVYO JIMBO LA NDANDA Huu hapa ushauri wa vyama vya ushirika vya Ndanda juu ya sheria ya mabadiliko ya ushirika Viongozi wa vyama vya msingi kutoka Jimbo la Ndanda wameshauri sheria ya ushirika ifanyiwe marekebishi ili kuongeza idadi ya...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilimanjaro: Wananchi Same wamkataa mbunge David Mathayo, wasema haonekani jimboni na bungeni

    Katika ziara ya Mwenezi wa CCM, Paul Makonda Wananchi jimbo la Same wameonesha kutokuwa na imani na mbunge wao, ambapo wamedai kuwa mbunge huyo amekuwa akirudisha nyuma maendeleo ya jimbo hilo hasa kwa kuwagawa vijana na watu. Wamemnukuu Hayati Nyerere kuwa ili maendeleo yawepo lazima kuwepo na...
  17. JamiiForums Tanzania Mjue Mbunge Maganga Aliyekuwa Dereva wa Malori na Mabasi na Sasa ni Mbunge wa Jimbo la Mbogwe

    MBUNGE NICODEMAS MAGANGA: NILIKUWA DEREVA WA MALORI NA MABASI, SASA NIMEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE "Nimetokea familia ya maisha ya kati sana. Baba yangu ni mkulima na Mfanyabiashara, nimebahatika kuwa mtoto wa nane katika familia yetu. Tulikuwa tunaishi Shinyanga Vijijini lakini baadaye...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waraka wa Mbunge Luhaga Mpina kwa Watanzania: Tumeonewa kiasi cha kutosha sasa tunataka Mapinduzi ili tusionewe tena

    SALAMU ZA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA KWENYE KILELE CHA SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA UWANJA WA NEW AMAAN COMPLEX ZANZIBAR TAREHE 12 JANUARI 2024 1. UTANGULIZI Ndugu Wanahabari, Asanteni sana kwa nafasi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kutoa Katapila 20 kusaidia kurekebisha barabara za Jimbo la Kawe

    Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara. Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Harambee ya Mbunge Yafanikisha Upauaji wa Madarasa ya Shule Shikizi Kiunda ya Musoma Vijijini

    HARAMBEE YA MBUNGE YAFANIKISHA UPAUAJI WA MADARASA YA SHULE SHIKIZI KIUNDA YA MUSOMA VIJIJINI Tarehe 12.1.2024 Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo aliendesha HARAMBEE iliyolenga kukamilisha kazi ya upauaji wa boma la Shule Shikizi Kiunda ya Kijijini Kamguruki, Kata ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…