The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,469
- 17,309
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bwana. Albert Chalamila amesema yeye hawezi kua mbunge kwa sababu hapendi kusema uongo, hawezi kusema 1+1 jibu ni 3 ama 4 huku akijua kabisa jibu ni 2.
Pia Chalamila amesema sababu nyingine kwa nini ubunge hauwezi ki kwanba wapigakura wana gubu sana, kitu kidogo tu lawama kwa mbunge huku wakijua kabisa mbunge hana hela zake mwenyewe kwani hata kama ni miradi ya maendeleo lazima mbunge aende kwa mkurugenzi ama spika ama mkuu wa mkoa kuomba apewe fedha za miradi.
Chalamila anasema gubu nyingine ya wapigakura kutotaka mbunge aishi vizuri, aendeshe gari nzuri vyote watasema ni hela zao.
Msikilize hapa.