mbowe

  1. B

    Kesi ya Mbowe: Ushahidi upande wa Mashtaka unapochukuliwa kuwa ndiyo Dhahiri

    Ilionekana hivyo katika hukumu ya Jaji Siyani. Imeonekana hivyo TBC Habari jana 20:00 ambapo maelezo ya Kingai yalisomwa kama vile ni ungamo alilofanya Mh. Mbowe mahakamani Jana. Magazeti nayo ni kama lilivyo hapo. Kingai huyu huyu? 1. Aliyekuja na watuhumiwa kutokea Moshi - Msata -...
  2. lee Vladimir cleef

    Najaribu kufikiri jinsi magaidi wanne wa Mbowe wangewezaje kukata Miti Dar - Iringa

    Kwa sababu ni makomandoo huenda wangeweza. Nakuuliza hivi, Wangetumia mapanga ya kawaida au mapanga maalumu? Au wangetumia mashine za kukatia miti? Je, Mabwana misitu wangewaacha tu? Au wangekuwa wanakata huku wamevalia mavazi ya mabakamabaka kw a hiyo mabwanaisitu wangewaogopa? Je, Wangekua...
  3. Erythrocyte

    Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

    Tayari baadhi ya Wadau wa Maendeleo, akiwemo Mwakilishi wa Ubalozi wa Canada wamewasili Mahakamani. Hadi saa 3:30 asubuhi hii Watuhumiwa walikuwa bado hawajaletwa Mahakamani. ==== Hatimaye Mbowe na wenzake wameletwa Mahakamani Jaji Joachim Tiganga ameingia Mahakamani Wakili wa serikali...
  4. J

    Uongozi ni pamoja na kuwa tayari kufa kwa ajili ya watu unaowaongoza. Nimeliona hili kwa Magufuli na Mbowe, siyo kwa Lissu na Lema

    Kiukweli hata kwenye mafundisho ya dini tunaambiwa mchunga mwema wa kondoo hutangulia mbele ya kundi na kuwapa ishara kondoo kila kitu kibaya kinapokuja. Hayati Magufuli na mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe ni mfano mzuri wa wachungaji WEMA ambao wamekuwa tayari kutaabika na kunenewa kila lililo...
  5. William Mshumbusi

    Mbowe angefungwa zamani sasa hivi Upinzani Ungekuwa Umeshakufa. Na hii ndio namna Bora ya kutumia Akili kuzuia Jambo kuliko nguvu

    Kama Mbowe angekuwa nje huo Moto wa Katiba Ungekuwa mkubwa sana na sijui nani angeuzima. Mbowe ndie kiongozi pekee anayeweza kuubeba upinzani. Kwanza anabusara, Anaweza kuvumilia wanachama wake wanaokosea. Alishamtetea Zitto Mara kaadhaa. Kuongoza upinzani Afrika na ukasimama ni zaidi ya kuwa...
  6. B

    Nyakati zaja, tutakapoamua kumwona Mbowe gerezani hadi uwe na kibali maalum

    WAAFRIKA wamezaliwa na roho ya ajabu sana, wamezaliwa na roho yakuumizwa na mafanikio yako Hadi kufikia mahali kutumia fedha au madaraka kukukandamiza. Kitendo cha viongozi wa dini kusimama na kutamka adharani kwamba Mbowe yupo mahabusu kinyume Cha sheria kwa kesi za kubumba kinawaumiza Sana...
  7. Mmawia

    Msanii atoa wimbo wa 'Mbowe sio Gaidi'

    Hata baadhi ya watu wakitaka kutunyamazisha basi mawe yataongea. Wasanii wametoa wimbo wa Mbowe siyo Gaidi. Wacha tuusikilize ndugu wazaleeendo wenzetu.
  8. B

    Mwalimu Lwaitama: Kesi ya Mbowe: " Rais Samia anayo Mamlaka ya kuifuta"

    Msomi Nguli Mwalimu Lwaitama amefunguka yenye kujenga, kwake Mheshimiwa Rais: Yawezekana kuganga yajayo kwani yaliyopita si ndwele. Hoja ya Mwalimu Lwaitama ina mashiko. Hoja ya Mwalimu Lwaitama ni yenye kuzingatia katiba ya sasa na hasa uwepo wa ule mhimili uliojichimbia zaidi. Habari za...
  9. M

    Tuwe wakweli, Freeman Mbowe anavuna alichokipanda

    Ukiijua kweli itakuweka huru. Nduguzangu hii ni ngumu kumeza ila ipo katika politiko sayansi nimeona si vyema kuficha ngoja tuelimishane japo kidogo. Nikisema sayansi ninamaana ni uchunguzi wa kimaabara kupata ukweli, iko hivi Mbowe alijenga nguvu ya umma bila huo umma kuupa hiyo nguvu. Nini...
  10. Erythrocyte

    Watu wazuiwa kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga, Magereza wadai kupokea maelekezo

    Leo Jumamosi Okt. 23, 2021 Jeshi la Magereza limewazuia watu wote waliokwenda Gereza la Ukonga kumwona Mhe. Freeman Mbowe kwa kile walichodai kuwa wamepokea maelekezo Ila hawasemi yametoka kwa nani. Ikumbukwe kuwa ni siku rasmi ya kutembelea Mahabusu na Wafungwa. Askari Magereza walitoa agizo...
  11. Fundi Madirisha

    Unanishawishi vipi niamini kua Mbowe ni gaidi?

    Unanishawishi vipi ili niweze kuamini kua Mbowe ni gaidi? 1.Aliwahi kulipua wapi na kwa ushahidi upi? 2.Alishawahi kushtakiwa kwa kuua nani nani? 3.Alishawahi kushtakiwa hata kwa kesi ya kupiga mtu kofi? 4.Alishawahi hata kuiba mali ya mtu? 5.Alishawahi kushtakiwa hata kwa kumtukana mtu? Kama...
  12. 4

    Mungu anawakumbusha Mbowe ni wingu tu ndani ya CHADEMA, mvua za mawe bado zimetulia

    Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake wana JF. Nalazimika kuandika machache Ili nifikishe ujumbe tu. Kichwa cha habari kinajieleza sana, nini namanisha hapa Mh Mbowe ni Mwenyekiti wa chama cha Chadema Tz, anakabiliwa na mashitaka ya UGAIDI, maana nyingine wapenzi, wanachama wote...
  13. The Palm Tree

    Video: Kesi ya F. A. Mbowe na wenzake, wakili aichambua hukumu ndogo ya Jaji M. Siyani...

    Jaji Mustapha Siyani katishwa akatishika na kuamua kuisigina haki hadharani mchana kweupe.... Amejitoa kuisikiliza kesi hii kwa maumivu makali katika nafsi yake kwa kuisigina haki mchana kweupe akidhani kwa kuwa yeye ni JAJI, wengine wote ni "wajinga" hatutaona upuuzi wake. Amekosea sana...
  14. Chagu wa Malunde

    CHADEMA kumwomba Rais Samia aingilie kati kesi ya Mbowe ni kutaka Katiba ya JMT ivunjwe. Nchi hii ina mihimili mitatu iliyo na mamlaka kamili

    Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani. Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa...
  15. S

    Japo Godbless Lema ametangaza nia ya kurudi nyumbani, na kwamba yuko tayari kwa lolote, naamini Mbowe atamtaka asirudi nyumbani

    Akiongea kupitia MariaSpaces, Godbless Lema amesema: "Nafikiri niko tayari kurudi nyumbani. Nafikiri natakiwa kuwa on the ground kuliko wakati wowote.Nafikiri natakiwa kumuona Mwenyekiti jela au mahakamani kumtia nguvu..Nafikiri I am ready now, I am ready for any consequences." My opinion...
  16. kimsboy

    Dhuluma mlizomfanyia Mbowe ipo siku zitawarudia. Hakuna aliyewahi mgusa Mbowe akabaki salama

    Huyu Mbowe huyu mtu asiyejua kutukana mtu, Mbowe ambaye hajawahi kumdhalilisha mtu, kuna mtu mstaarabu kama Mbowe hapa Tz Mshawahi muona Mbowe akimtukana au kumchafua mtu?Mshawahi kumuona Mbowe akijikweza japo katokea familia ya kishua? Mbowe ni gaidi? Haimake sense kabisa, Mbowe ana ugaidi...
  17. B

    Kesi ya Mbowe: Haki Haikuonekana Kutendeka

    Haki haijawahi kujificha. Jaji Siyani kwa kujiridhisha kuwa: 1. Mshitakiwa wa pili alikamatwa akawasaidia polisi kumtafuta Mosses Lijenje Moshi, Boma Ng'ombe hadi Arusha, 2. Njiani wakapata mishikaki na Mo Energy, 3. Mshitakiwa wa pili akatoa maelezo kwa ridhaa yake ndani ya masaa 4...
  18. Roving Journalist

    Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

    Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu. Uamuzi huo ambao utatolewa na Jaji Mustapha Siyani (Jaji Kiongozi...
  19. B

    Ikiwa leo ni hukumu ya Mbowe na wenzake, anatukumbusha mwandishi huyu wa 1980

    The trial Finally, The judge will take his place And the accused, The complainant And the onlookers: All will know where to be - and Justice will be meted out Even before the trial.
  20. Zanzibar-ASP

    Huu ndio msimamo rasmi wa Mbowe dhidi ya Sabaya na washirika wake.

    Hii ni kauli aliyoitoa Mbowe zaidi ya mwaka mmoja uliopita dhidi ya Sabaya na washirika wake. Mbowe aliitoa kauli hii kwa ujasiri mkubwa na hadharani wakati huo Sabaya akiwa mkuu wa wilaya ya Hai chini ya utawala wa Rais Magufuli. "....Siko tayari kumjadili Sabaya, mtoto mpotevu, mhuni, mtu...
Back
Top Bottom