mbowe

  1. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 18/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami katika uzi...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe inalichafua Taifa na kuzidisha ugumu kwenye ulinzi

    Katika hali ya kawaida watanzania wanafikishwa mahali pabaya na utawala wa CCM. Kuibinya demokrasia kwenye taifa kunasababisha taifa kupata raia wakakamavu sana bila sababu. Utawala wa makaburu, wareno, Idd Amin, au Gadaffi ulizaa raia wakakamavu sana kwenye mataifa hayo. Kazi ya ulinzi...
  4. tang'ana

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanavyochangishana kununua chakula mahakamani kesi kina Mbowe

    Wafuasi wa CHADEMA wanaofika katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wenzake watatu wamebuni utaratibu wa kuandaa na kupata mlo wakiwa mahakamani hapo. Mbowe na wenzake wanakabiliwa na mashtaka sita ya uhujumu uchumi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa Mbowe amebambikiziwa kesi kwasababu ya mambo ya kisiasa

    Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 16/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake Nov 15,2021 Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. UPDATES; - Jaji ameingia Mahakamani.. -...
  7. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

    Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya. ==== Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kina Kibatala waikatae diary na simu iliyotunzwa na mahakama, Watajuaje kama imefutwa taarifa walizotaka?

    Jana kwenye kesi ya Mbowe shahidi wa Jamhuri (polisi) amefumaniwa ameingia na simu na diary kizimbani baada ya akina Kibatala kumgundua. Hiyo ni kinyume na taratibu za kutoa ushahidi na shahidi kuwa kizimbani. Sasa jaji akaamuru mahakama ikae na hio diary huku jumatatu tukisubiri hoja kwamba...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Panapo Majaliwa Tuwape Taarifa Mawakili Wetu

    Ifahamike kuwa hatuna taabu Mh. Mbowe na wenziwe kuhukumiwa kama kweli ni wahalifu. Hata hivyo ifahamike kuwa haikubaliki kuwabambikizia kesi na hukumu zisizokuwa za haki. Inafahamika kuwa Mawakili wetu wanafanya kazi kubwa katika mazingira magumu sana. Heshima kubwa kwao. Heshima kwenu pia...
  10. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Mbowe akishinda hii kesi jamhuri msiwe mnapeleka kesi mahakamani kabisa

    Hapo vip!! Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe,mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri. Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika. Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Mashahidi 24 wa Jamhuri dhidi ya Mbowe; hadi sasa wamefika 8, bado 16

    1. ACP Kingai, Afisa wa polisi 2. Justine Kaaya, Afisa wa polisi?? 3. H 4323 Constable Msemo, Afisa wa polisi 4. Anisha Valerian Mtalo, Mama muuza mbege 5. Fredy Kapara, Mwanasheria tiGo 6. SSP Sebastian Madenge, Afisa wa polisi 7. Inspector Omary Mahita, Afisa wa polisi. 8. Jumanne Malangahe...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Wingi wa watu na uzito wa sauti zinazomtetea Mbowe zinamfananisha na Baraba wa kwenye Biblia

    6Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka. 7Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji. 8Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Usalama wa Diary ya Msemwa unahakikiwa vipi?

    Shahidi Msemwa kwenye shauri ndani ya shauri la kesi hii, alikutikana na vitu vya chabo asivyopaswa kuwa navyo kizimbani. Kwanini utetezi hawakwenda mbele zaidi kuhitaji kumkagua thoroughly kujiridhisha na kuvipata vyote? Kwanini simu alirejeshewa bila kuwa imefanyiwa dodoso lolote? Kwanini...
  14. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Lakini DPP tulikushauri ufute hii kesi ya Mbowe haina uhalisia wowote

    Mimi kama Wakili mkongwe ndani na nje ya nchi kwakweli sijawahi kushudia kesi yenye vituko na mikamganyiko mingi kama hii inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na wenzeke. Yaani Mawakili wa Jamhuri wanajichanganya wanaharibu mambo, mashahidi wanajichanganya hawaelewi ni wapi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Salamu za Heri na Mshikamano kutoka Hai

    Kwenu makamanda na wapenda haki wote popote mlipo: Kwa hakika: Mungu atatenda.
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 12/11/2021 anatarajiwa kusikilizwa shahidi mwingine katika muendelezo wa kesi Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021 Ungana...
  17. Tindo

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe, imedhihirika CHADEMA walikuwa sahihi kutokwenda Mahakamani baada ya uchaguzi Mkuu wa 2020

    Kuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na mahakama. Kwa sasa kwenye kesi hii ya Mbowe ushahidi unazidi kukaa wazi, na bado kesi haijafika...
  18. S

    JamiiForums Tanzania January Makamba, Lissu, Mbowe na Profesa Assad kwa akili walizonazo hawakupaswa kuzaliwa Tanzania

    Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga. Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 11/11/2021 yanatolewa maamuzi ya kesi ndogo Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ndogo ya Mbowe, Superitendent Jumanne Malangahe atoa Ushahidi Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Bure kwa Mawakili Wasomi - Utetezi

    Awali ya yote pokeeni pongezi za dhati kwa kazi takatifu mnayoifanya ya kuisaka haki katika mazingira magumu. Kazi yenu ni ngumu zaidi hasa ikizingatiwa kuwa mafanikio yoyote yanayopatikana yanahatarisha matumbo ya watu yenye uchu uliopitiliza. Jambo moja la hakika lenye kutia moyo ni kuwa...
Back
Top Bottom