Tunapigana vita vya kiuchumi…wana pakukimbilia: Chongolo
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo amesema Tanzania ikiwa sehemu ya dunia, iko katika mapambano ya vita vya kiuchumi asubuhi, mchana na jioni, akiwataka Watanzania kuwa makini na watu wachache, katikati ya...
Madeleka yamemkuta; kashinda rufaa, kasindwa kupata kusafishwa kuwa hajawahi kufungwa kwa kosa la jinai. Mahakama imesema kama anataka kuonekana hajawahi kupatikana na kosa la jinai- kesi yake isikilizwe upya.
Kesi yake ilikuwa ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana.
Kwa misingi hiyo polisi...
Zipo taarifa zisizo rasmi Mbowe na Lisu nao wanatafutwa kukamatwa kwa kosa la kukosoa uingiwaji wa Mkataba ule wa Bandari na kutoa kauli za kumtweza bi chaunabe.
Je, taarifa hizo zina ukweli wowote?
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
baada
ccm
chatanda
freeman mbowe
gerezani
inawezekana
jela
kisaikolojia
kumtoa
mbowe
mrefu
muda
muda mrefu
pamoja
rais
rais samia
samia
shukrani
wanawake
Naona endapo Mhe. Mbowe akiteuliwa na Mhe. Rais kuwa mshauri wa masuala ya biashara itamsaidia sana kukabiliana na athari za kiuchumi Duniani.
Aidha itasaidia sana katika uandaaji wa mikataba kati ya Tanzania na DP world ili maslahi ya Taifa yaweze kuonekana wazi ikiwa ni pamoja na...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu.
Yote yanayojiri utayapata hapa.
===
MKUTANO...
Mbowe amesema hayo katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World leo tarehe 14/7/2023, akiwa anajibu kuhusu CHADEMA kuwa mezani na CCM, akasema;
Russia na Ukraine vita vinaendelea huku mazungumzo juu ya namna ya kumaliza vita yanaendelea, maana...
Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na kusema inashangaza mpaka Mkurugenzi wa bandari anasema jamani sisi tunafanya hasara sana, na bado Mbarawa...
Mbowe akiwa kwenye Mkutano na Waandishi wa habari akisoma maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA asema, "kwakuwa hakuna utafiti, ushahidi, wala tathmini ya kina iliyofanywa juu ya jambo hili na kwakua serikali imekosa majibu yenye ushawishi kwa umma, na kwakuwa chama tawala hawasikilizi maoni ya...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwamba Freeman Mbowe, atahutubia Taifa la Tanzania kupitia Mkutano wake na Waandishi wa Habari utakaofanyika kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam.
Mkutano huo uliobeba Mustakabhali wa nchi na Dira ya Taifa...
Heshima kwenu Wakuu,
Majamaa tajwa hapo juu yawezekana kuwa wamelipwa rushwa kubwa sana na mamlaka za juu ili waharibu mjadala wa kitaifa juu ya uwekezaji wa DP WORLD katika bandari ya Dar es Salaam.
Hili limetokana na ukweli kwamba mara tu mjadala ulipoanza watu hawa walikimbilia kushambulia...
Katika watu wenye bahati kwenye siasa za Tanzania, jina la Freeman Mbowe linaweza kuja kuwa la kwanza kabisa. Jamaa ana bahati za aina yake, na kila siku hupata bahati zingine. Cha ajabu kila mara huwa anachezea bahati na kila mara bahati zinamfata!
Mbowe bahati yake ya kwanza ilikuwa kuoa...
Ukisikiliza Kauli hii ya mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe utagundua kuwa hata yeye anajutia kwanini hakumuunga mkono Magufuli.
Kauli zake zinapingana sana kabla na baada ya Magufuli kufa.
Sijui Ikulu huwa Kuna nini?
Mwenyekiti wa CCM mwenyewe ndio engineer wa huu mkataba. Lipumba hata hajui Kama Kuna mkataba unaendelea mtaani.
Zitto akiona kuna waarabu basi breki huwa hazikabi tayari katoa baraka zake.
Pasua kichwa kabakia Mbowe. Ukifanikisha kumdhibiti Mbowe pia inakuwa...
Aliposema Mbowe ilionekana upinzani; aliposema Kitima ikaonekana Udini; akasema Warioba ikaonekana uzee unasumbua; akisimama Dr. Slaa akaambiwa alihongwa; Tundu Lisu hakujibiwa kabisa kama ilivyo kwa Lipumba na wazalendo wengine.
Sasa imekuja taasisi ambayo inaundwa na watu wa vyama vyote; dini...
Akiongea na watanzania walioko Marekani, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema suala la mktaba wa Tanzania na DPW ni suala ambalo hata watu wa serikalini hawalipendi.
Akijibu swali la mmoja wa washiriki wa mkutano huo amesema amepata simu kutoka kwa watu wa usalama wa Taifa na serikali...
MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI
---
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Majaliwa...
Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao.
Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na...
Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.