mbowe

  1. comte

    Chama tawala kinaagiza wakati CHADEMA Mbowe anasema anachukua kero na atampelekea SAMIA

    Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA wanasema wanachukua kero ili wazipeleke kwa rais wakati Katibu mkuu wa wa CCM anaagiza na...
  2. Replica

    Heche: Chadema Mwenyekiti wake ni Mbowe, akanusha kuwepo kambi ya Lissu na Mwenyekiti

    John Heche Akiwa kwenye mjadala wasafi fm, John Heche amekanusha uvumi aliolizwa na mwandishi kuhusu kuwepo kambi mbili ndani ya Chadema huku yeye Heche akiwa kambi ya Tundu Lissu. Heche amesema mara ya kwanza kuingia kikao cha kamati kuu ilikuwa 2011 na alikuta mjadala wa fedha unajadiliwa...
  3. Idugunde

    Mbowe anapigiwa saluti kama nani? Kwani akipigiwa saluti ndio CHADEMA mnapaishwa kisiasa?

    Alafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?
  4. Suley2019

    Msimamo tofauti wa Mbowe na Lissu unaibua maswali

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikiendelea na operesheni +255 Katiba Mpya katika Kanda ya Kaskazini, kauli kinzani zimeibuka kati ya viongozi wa juu wa chama hicho Mwenyekiti Freeman Mbowe na makamu wake, Tundu Lissu. Viongozi hao wanaoongoza timu mbili zinazoshiriki...
  5. R

    Swali la kizushi: Kwanini Tundu Lisu na Mbowe hawako active humu JF?

    Nikisema hawako humu namaanisha by their true identity. Wanaweza kuwepo kwa fake IDs, but to me , it is most unlikely kuwa wapo kwa fake IDs.
  6. zitto junior

    Mpanda: Aliyeporwa udiwani amwaga machozi mbele ya Mbowe

    Katika ziara ya Chadema (Operation +255) huko mpanda, Kuna tukio limeniacha na majonzi sana. Mgombea udiwani wa Chadema 2020, mwanamama shupavu alimwaga chozi akikumbuka ukatili wa JPM. Mgombea huyu aliwekewa pingamizi so hakufanya kampeni muda mrefu, kama haitoshi aliposhinda udiwani (Fomu za...
  7. Poppy Hatonn

    Kusema upo upinzani kati ya Mbowe na Lissu siyo sahihi

    Mbowe anaweza kusema Rais Samia anafanya kazi nzuri sana: amejenga baarabara hapa na pale na pale. Lissu anaweza kusema Rais Samia ana matatizo makubwa sana; pale na pale na pale bado hajajenga barabara. Sasa, that is just two sides of the same coin. Hawajabishana kitu chochote. Kwa mfano jana...
  8. M

    Mbowe masaibu ya CHADEMA yalitokana na CCM, Magufuli na Samia. Kwanini unamtoa Rais Samia kwenye lawama?

    Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia. Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya...
  9. Pascal Mayalla

    Katiba mpya, Mbowe na Lissu ni wamoja? Wanazungumza lugha moja na kupaza sauti moja? Kwanini wanaonekana kama kila mtu na lake, kila mtu na lwake?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali la msingi, kisha majibu utayatoa wewe. Swali la leo la bandiko hili ni kuhusu hoja ya kuipambania katiba mpya: Je, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe na Makamo Mwenyekiti wake...
  10. Kamanda Asiyechoka

    Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  11. Idugunde

    Jukwaa alilopanda Mbowe ni kiwango cha chini na halifai

    Haya majukwaa mbona yanatia aibu! Kha. Mnatumia mamilioni kukodi chopa halafu mnashindwa kufanya logistics ya majukwaa? Ndio mnataka kusema mlimtendea vyema Kamanda Lissu kisa tu mwamba nae yupo jukwaa kama hili?
  12. Kamanda Asiyechoka

    Makamanda wenzangu acheni siasa za maji takataka. Byakanwa alisimamia sheria kuvunja shamba la Mbowe. Tuache kumchafua kisa tu kalamba teuzi

    Someni kifungu cha 57(1) cha sheriya ya mazingira. Mbowe alivunja sheria nchi wala hakuonewa
  13. J

    Godbless Lema alalamika DC aliyeharibu shamba la Mbowe Wilayani Hai kuteuliwa Ubalozi

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amelalamikia uteuzi wa Gelasius Bakyana kuwa Balozi Lema anesema Teuzi kama Hizi zinachochea kukua kwa Ukatili na Uovu hasa ikizingatiwa Gelasius Bakyana ndiye aliyefyekelea mbali mazao ya mwenyekiti wa chama Kikuu cha Upinzani mh...
  14. Idugunde

    Tundu Lissu nakushauri kuwa makini na genge la Mbowe, unapinga wazi maridhiano uchwara wanaweza kukufanyia figisu

    Mbowe na wenzake wote wanaolamba asali wanazunguka Tanzania nzima kuandaa mazingira ya kurudi bungeni. Lakini hii wewe umeishutukia maana 2025 chochote kinaweza kutokea. Wananchi ndio tutaamua. Hata huyo aliyewadanganya kuwapa ubunge anajua vizuri kuwa wananchi tukiamua hawapati alichowaahidi...
  15. msovero

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asusiwa na wafuasi wake huko kigoma. Jionee mwenyewe

    Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake. Jionee mwenyewe
  16. M

    2025 Rais wetu ni Lissu. Mbowe ni sawa na Zitto, wote Mamluki

    Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe...
  17. F

    Mbowe hujahudhuria uzinduzi wa ikulu mpya, who knows siku moja waweza kuishi Chamwino

    Uzinduzi wa ikulu mpya Chamwino umefanyika leo ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria. Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Freeman Mbowe hakuhudhuria. Wakati uzinduzi unaendelea Mbowe na viongozi wengine wa Chadema wameendelea na operation +255 huko Kasulu mkoani Kigoma. Hongera...
  18. Mwl.RCT

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe: Kiongozi Mwenye Furaha na Upendo kwa Watu Wake

    Mwenyekiti wa CHADEMA, moyo wa ukarimu, Mtu wa watu, anayesimama kidete kila wakati. Freeman Mbowe, kiongozi hodari, Anapenda na kujali kila mmoja wetu kwa dhati. Anapowatembelea watu, furaha huonekana machoni, Salamu za upendo zinatoka moyoni mwake kwa utulivu. Katika harakati zake, anapigania...
  19. Chizi Maarifa

    Wakati Mbowe anazunguka kusifia alivyolainishiwa maisha, Lissu anaongelea ugumu wa Maisha wa Masikini

    Ni wazi Mbowe ameishiwa na hana cha kuongea. Anazungumzia sana jinsi ambavyo asubuhi alikuwa mfungwa jioni akawa ana kula kuku Ikulu. Na anashukuru sana. Yaani amesahau hata ni nani alimkamata na nani alimwachilia. Akiwa anaongea unamwona tu kila dakika analamba asali anakuja tena kuongea...
  20. R

    Picha ya siku: Mbowe very attentive, nani alikuwa anahutubia na issue gani?

    ANGALIA PICHA
Back
Top Bottom