mbowe

  1. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Natabiri Mbowe na Lissu mwaka huu hauishi watagombana

    Tawire tawire wanazengo, nataka nitoe ramli chonganishi (natania ila nina facts). Pale Ufipa wadau kuna moshi mdogo sana unafuka, kama hamjui hata kama hamuoni basi tuwasaidie kidogo wanazengo. Kauli za Lissu lazima zitakuwa zinamkera sana Mwenyekiti hadi juzi Mrema katoka kuzipinga. Sio mara...
  2. Victoire

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hii hapa ndio Sababu ya CCM kupiga marufuku mikutano ya hadhara. Umati wa Kahama ni kitisho kikuu

    Wakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe. Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida, huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara ambao umevunja rekodi yake mwenyewe ya Mahudhurio, na sasa tumeelewa kisa cha ccm na Magufuli kuogopa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe kashindwa kuwaondoa Wabunge 19 bungeni kupitia Maridhiano, BAWACHA ndiyo Wataweza?

    Sema tu nao wameonyesha kumbe maandamano ya amani yanaruhusiwa. Lakini sioni lolote litakalofanyika kama zao au majibu kwa akina mama hao kwani kama Mbowe anayeingia Ikulu mara kwa mara kashindwa ndio wawe Bavicha. Ni vema tu Chadema waendelee kuimarisha Chama chao kuelekea 2025 na wamachame...
  5. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Katika hili mimi nasimama na Mbowe, hakika jamaa kakomaa kisiasa na anaijua vizuri siasa

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza kabla ya kuendelea na mada hii ningependa watu wengi wafahamu kwamba mimi nimeandika mada hii kwa utashi wangu mwenyewe. Sikushawishiwa, sikulazimishwa wala kushikiwa akili na mwanasiasa yoyote iwe wa upinzani, wa CCM au wa kujitegemea. Bali nimeandika hili...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Juhudi kubwa zinafanywa kumgombanisha Lissu na Mbowe. Hamtafanikiwa. Ukweli hi huu

    Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was. Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ang'aa kwenye mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City

    Mashabiki takribani 31,620 waliohudhuria mechi ya Ligi Kuu ya Soka ya Marekani na mamilioni zaidi duniani waliokuwa wakitazama “live” mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City kupitia FOX TV na Apple TV, wamepata fursa ya kushuhudia Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wenye uchungu na nchi hii hatutahama CHADEMA. Mamluki walionunuliwa na Mbowe kwa maridhiano uchwara na CCM watahama ovyo

    Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale mwembe Yanga. Leo hii mtu anaenda kununua mamluki toka Cuf kisa tu kuna maridhiano uchwara huku yeye...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbowe ataka rasilimali watu ikomboe Afrika kiuchumi

    Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na akiwa Afrika ya Kusini, Mbowe Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Vyama vya Demokrasia Afrika (DUA), ametoa wito huo nchini Afrika Kusini, akifungua kongamano la kujadili usalama na ulinzi, demokrasia na biashara barani...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya umma Chadema tuliyoitengeneza 2005-2015 imeyeyushwa na ubinafsi wa Mbowe

    Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea. Leo hii CCM wamewapanda Watanzania vichwani na wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga...
  11. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania PhD ya heshima kwa Freeman Mbowe

    Ni vyema na ni wakati muafaka Freeman Mbowe akapewa hii heshima, kwani anaistahili vilivyo. Natumai vyombo husika wataliangalia hilo. Freeman Mbowe ana mchango mkubwa sana kwenye siasa zetu Tanzania Toa maoni yako Picha ya Freeman Mbowe
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awainua Mbowe na Lipumba kwenye baraza la Eid, amsifia Mbowe kupendeza kwa kanzu

    Akizungumza katika Baraza la Eid El Fitri katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Rais wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha na kuyaishi maono yake ya kuwa na Tanzania moja isiyogawanywa kwa misingi ya kisiasa Kabla ya kuanza...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haipo kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake

    Dodoma/ Dar. Kufuatia kauli ya mbunge wa Makambako, Deo Sanga ya kuitaka Chadema kutosimamisha mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema watasimamisha wagombea ngazi zote kwa kuwa bado wanapambana na CCM. Mbali na ombi la Chadema...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHATO: Viongozi wa CHADEMA wasota rumande ya polisi kwa kukosa dhamana

    Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu. Wanasota rumande wamenyimwa dhamana. Leo hii zaidi ya wiki na na siku kadhaa wameshonwa nyavuni Mbowe...
  15. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuhamia CCM, CHADEMA inaanguka?

    WanaJf, Salaam! Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni: (a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito; (b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti...
  16. 5523

    JamiiForums Tanzania Chadema mtaamka lini? Mramba asali Mbowe bado hajatosheka

  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Uhasama wa Mbowe na Ndugai ulianzia Kibaha Secondary

    Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary. Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere. Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo. Kuna...
  18. J

    JamiiForums Tanzania James Mbowe amvaa Askofu Gwajima kuchanganya mikutano ya injili na siasa za Rais Samia

    Kada maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa. === "Bishop Gwajima nisikilize kwa makini huenda umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli! Lakini huu usanii...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Chadema wamewasaliti Watanzania

    Angalia leo hii tunaambiwa taifa letu linakusanya tozo kodi na ushuru kibao. Zaidi ya tril 1.3. Wananchi hawana hakika hata ya kula ugali dagaa. Wananchi wanaishi maisha duni. Ufisadi umetamalaki na huyo rais anayejinasibu yupo na maridhiano hana uchungu na raia wanaoteseka kwa umasikini.
  20. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Mbowe aliondoa ukomo wa uongozi kwenye katiba ya CHADEMA kwa hila?

    Nimeona hii habari huko Twitter. Inasema kuwa Mbowe alikuwa mwenyekiti wa CDM mwaka 2004. Wakati huo katiba ya chama ilikuwa imezungumza kuwa kutakuwa na ukomo wa miaka kumi kwa mwenyekiti. Mwaka 2006 yalifanyika mabadiliko ya katiba. Lakini suala la ukomo wa uongozi halikuzungumzwa kwenye...
Back
Top Bottom