Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali la msingi, kisha majibu utayatoa wewe.
Swali la leo la bandiko hili ni kuhusu hoja ya kuipambania katiba mpya: Je, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe na Makamo Mwenyekiti wake...
Haya majukwaa mbona yanatia aibu! Kha. Mnatumia mamilioni kukodi chopa halafu mnashindwa kufanya logistics ya majukwaa?
Ndio mnataka kusema mlimtendea vyema Kamanda Lissu kisa tu mwamba nae yupo jukwaa kama hili?
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amelalamikia uteuzi wa Gelasius Bakyana kuwa Balozi
Lema anesema Teuzi kama Hizi zinachochea kukua kwa Ukatili na Uovu hasa ikizingatiwa Gelasius Bakyana ndiye aliyefyekelea mbali mazao ya mwenyekiti wa chama Kikuu cha Upinzani mh...
Mbowe na wenzake wote wanaolamba asali wanazunguka Tanzania nzima kuandaa mazingira ya kurudi bungeni. Lakini hii wewe umeishutukia maana 2025 chochote kinaweza kutokea. Wananchi ndio tutaamua. Hata huyo aliyewadanganya kuwapa ubunge anajua vizuri kuwa wananchi tukiamua hawapati alichowaahidi...
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.
Jionee mwenyewe
Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe...
Uzinduzi wa ikulu mpya Chamwino umefanyika leo ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria.
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Freeman Mbowe hakuhudhuria. Wakati uzinduzi unaendelea Mbowe na viongozi wengine wa Chadema wameendelea na operation +255 huko Kasulu mkoani Kigoma.
Hongera...
Mwenyekiti wa CHADEMA, moyo wa ukarimu,
Mtu wa watu, anayesimama kidete kila wakati.
Freeman Mbowe, kiongozi hodari,
Anapenda na kujali kila mmoja wetu kwa dhati.
Anapowatembelea watu, furaha huonekana machoni,
Salamu za upendo zinatoka moyoni mwake kwa utulivu.
Katika harakati zake, anapigania...
Ni wazi Mbowe ameishiwa na hana cha kuongea. Anazungumzia sana jinsi ambavyo asubuhi alikuwa mfungwa jioni akawa ana kula kuku Ikulu. Na anashukuru sana. Yaani amesahau hata ni nani alimkamata na nani alimwachilia.
Akiwa anaongea unamwona tu kila dakika analamba asali anakuja tena kuongea...
Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
Mbowe ameyasema hayo kwenye mkutano Kigoma, akisema kuwa mkoa wa Kigoma ni chimbuko la wanamageuzi ambapo imetoa wabunge wengi wa upinzani.
Akaongeza kuwa anatambua Kigoma kuna vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo, na kwamba wao CHADEMA na vyama vingine sio maadui, lazima wasaidiane...
Chadema kuna maigizo wanaendelea, na wakiendelea kuigiza kuwa hawaoni hili tatizo la msingi, natabiri kuwa kabla ya mwaka 2025 "CHADEMA ITAGAWANYIKA", .....stay with me
Martin na Malcom:
Kisa cha hawa Nguli wa haki za raia weusi ni funzo kuu la "ideological alignment" katika siasa,
Martin...
Tawire tawire wanazengo, nataka nitoe ramli chonganishi (natania ila nina facts).
Pale Ufipa wadau kuna moshi mdogo sana unafuka, kama hamjui hata kama hamuoni basi tuwasaidie kidogo wanazengo.
Kauli za Lissu lazima zitakuwa zinamkera sana Mwenyekiti hadi juzi Mrema katoka kuzipinga. Sio mara...
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
amekufa
bernard membe
buriani
hospitali
jasusi
kamanda
kifo
kitabu
mambo ya nje
maombolezo
marehemu
mazishi
mbowe
membe
mkubwa
musiba
nyumbani
picha
tanzia
Wakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe.
Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida, huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara ambao umevunja rekodi yake mwenyewe ya Mahudhurio, na sasa tumeelewa kisa cha ccm na Magufuli kuogopa...
Sema tu nao wameonyesha kumbe maandamano ya amani yanaruhusiwa.
Lakini sioni lolote litakalofanyika kama zao au majibu kwa akina mama hao kwani kama Mbowe anayeingia Ikulu mara kwa mara kashindwa ndio wawe Bavicha.
Ni vema tu Chadema waendelee kuimarisha Chama chao kuelekea 2025 na wamachame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.