mbowe

  1. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: CHADEMA is simply a lifestyle!

    "Asanteni sana kupeperusha Bendera ya CHADEMA kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Hakika CHADEMA ni imani kwa wengi!! Popote tusambaze matumaini ya Tanzania ya Haki, Uhuru, Demokrasia na Maendeleo (Ustawi) kwa Watanzania wote. CHADEMA is simply a lifestyle!" =
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Yanayojiri kwenye uzinduzi wa Oparesheni 255 Kanda ya Nyasa, Freeman Mbowe aongoza Mashambulizi

    Kama tulivyoahidi hapo Awali , kwamba tutawaletea kila kinachojiri kwenye Uzinduzi huu , na hivi ndivyo tunavyofanya . Baada ya kuwasili kwenye Kanda hiyo , Mwamba mwenyewe Ustaadh Aboubakar Mbowe aliweka Saini kwenye Kitabu cha Wageni kwenye ofisi ya Kanda hiyo , Kabla ya kukinukisha Mjini...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ahudhuria Ibada Maalum katika Kanisa la TAG Kinondoni

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni . Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe siasa sio biashara. Siasa ni maisha ya watu acha uzandiki. Rudisha chama mikononi mwa Wapinzani wa kweli

    Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini? Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu? Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike? Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lulandala acha kumchamba Mbowe. Siasa za mipasho ya kitaarabu hazifai.

    Fakii Lulandala, Katibu Mkuu Uvccm amesema kuwa "CCM ni chama kikubwa chenye watu wengi wenye sifa na uwezo na karama za uongozi, hakina historia ya kuruhusu ung'ang'anizi kwenye nafasi za uongozi kama kule kwa kwa jirani ,nakishukuru sana Chama changu (CCM) kuona kwamba kwa muda huu ninafaa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe na siasa zake za "I am the only negro incharge in here"

    Hebu fikirieni hili suala: Umma wa Tanzania umeanza kuamka, unakataa udalali wa rasilimali zao, unaanza polepole kukataa chapa waliyopigwa kwa muda mrefu kimkakati ya uoga, unaanza kuchukua hatua ya kupeleka Struggle katika hatua ya pili ya matendo badala ya maneno. Cha kusikitisha anatokea...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe Zanzibar, ndiyo Hotuba bora ya muda wote

    Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi, Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu. Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha, basi haraka sana utagundua kwamba uongozi ni Karama halisi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe na Dkt. Slaa wafanya kikao cha siri jijini Dar es salaam

    Taarifa zilizotufikia hapa Mwanza ni kwamba Dkt. Slaa na Mbowe wamefanya kikao cha siri kuelea opresheni 255 kanda ya Kusini na kikao cha Dkt. Slaa kanda ya ziwa. Majadiliano yao yamefuatia mkakati wa CHADEMA kuelekea uchaguzi wa viongozi 2024 pamoja na maandalizi ya mikutano ya siasa...
  9. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mbowe kakata tamaa kabisa. CHADEMA haina malengo wala muelekeo

    Nilikuwa namsikiliza mwenyekiti wa maisha wa chadema anaongea na wazee wa chadema huko Unguja. Nimecheka na kusikitika sana, yaani anawapiga porojo tu, hakuna sera kabisa. Amesema wao ni vitu viwili wanavyotaka ni "katiba mpya na tume huru ya uchaguzi", hapohapo akasema "hatuwezi kuzipata kwa...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe acha kug'aka ovyo. Wewe unajulikana fika ni msaliti

    Naona leo umeg'aka sana eti kuna watu wanasema wewe ni msaliti. Hii ni kweli kabisa wewe ni msaliti na unapenda sana ndululu. Mwaka 2015 tulikubalika kiasa cha almanusura tuchukue dola . Maana CCM ilikuwa imechafuka kwa ufisadi. Lakini ukauza chama chetu kwa Lowasa aliyekuwa amaechafuka. Leo...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akutana na Martin Maranja Masese

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa Mjini Zanzibar, amekutana na kijana wa kazi, muadilifu sana na kada mtiifu wa Chama hicho Maranja Masese. Masese na Mbowe wamepata wasaa wa kubadilishana mawazo na mikakati , hasa ikizingatiwa kwamba Oparesheni 255 inatarajiwa kuendelea Kanda ya...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

    Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ni hasara kubwa kuwa na wanasiasa kama Mbowe wenye kujali matumbo yao

    Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania? Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti. Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia Maulid njema Waislam Wote .

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , ambaye anajulikana pia kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , amejitokeza hadharani kushiriki pamoja na Watukufu Waislam Mawlid al Nabi , ambayo ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A .W Ujumbe wake huu hapa
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Freeman Mbowe ashiriki Kikao cha Faragha cha Wakuu wa Vyama vya siasa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano wa Faragha wa Wakuu wa Vyama vya Siasa unaofanyika Nchini Zanzibar. Taarifa zinaonyesha kwamba...
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe tu alivyosema Yanga Shukhurani mmetufurahisha,Nyie Simba mtaombewa na wanaowapenda.

    Mpira unachezwa hauongelewi..hicho ndio unachoweza sema. Ila kingine ni kua nyie Simba endeleeni kuishi kwa Matumaini tu. Si maswala ya kuombea eti watakuja Nyumbani tushatoka huko. Popote kambi.
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Freeman Aikael Mbowe

    Mwamba tuvushe...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mbowe, Wananchi na Wanachadema wanasubiri uwasomee maazimio ya kamati kuu juu ya Maridhiano na suala la ngorongoro

    Kwako mheshimiwa Mbowe, Miezi miwili iliyopita, ulitutangazia kuwa Kamati kuu iliyokaa mwezi huo iliazimia mambo mengi, miongoni mwayo ni suala la bandari, Maridhiano na suala la ngorongoro. Lakini katika kusoma maazimio hayo, ulijikita zaidi kwenye suala la bandari, ukasema kuwa masuala...
  19. econonist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

    Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
  20. 4

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro

    Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro, Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
Back
Top Bottom