Nguvu ya umma Chadema tuliyoitengeneza 2005-2015 imeyeyushwa na ubinafsi wa Mbowe

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea.

Leo hii CCM wamewapanda Watanzania vichwani na wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga shamba la kijiji.

Mbowe ameendekeza ubinafsi wake kwa kutojali wengine bali tumbo lake tu sasa amegeuka kuwa tarishi wa Ikulu Magogoni.
 
Badala ya kuhangaika na wazir wenu mzinzi aliyeuwa mchepuko kwa ajali huku yeye kiuno kikiwa kimevunjika hata akipona hawezi kukaa unahangaika na chadema by the way si mliaminishwa kuwa chadema imekufa mbona bado unaijadili chadema kama hujui mwambieni mama yenu aanze kufungasha virago maana 2025 huku kanda ya ziwa hana kura yoyote na atapigwa kipigo cha mbwa koko hata wabunge akipata 6 ashukuru MUNGU.

Mashoga ya ccm endeleeni kuijadili chadema.
 
badala ya kuhangaika na wazir wenu mzinzi aliyeuwa mchepuko kwa ajali huku yeye kiuno kikiwa kimevunjika hata akipona hawezi kukaa unahangaika na chadema by the way si mliaminishwa kuwa chadema imekufa mbona bado unaijadili chadema kama hujui mwambieni mama yenu aanze kufungasha virago maana 2025 huku kanda ya ziwa hana kura yoyote na atapigwa kipigo cha mbwa koko hata wabunge akipata 6 ashukuru MUNGU.

Mashoga ya ccm endeleeni kuijadili chadema.
Wewe ni mpuuzi.
 
Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea.

Leo hii CCM wamewapanda watanzania vichwani na . Wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga shamba la kijiji.

Mbowe ameendekeza ubinafsi wake kwa kutojali wengine bali tumbo lake tu sasa amegeuka kuwa tarishi wa Ikulu Magogoni
Imagine mwanaccm kama ww unateseka na Mbowe 🤣🤣🤣!! Wee dili na akina mzee wasira hao ndio wazee wako watakuongoza vyema.
 
kumbuka hiyo miaka uliyotaja na zile nguvu za Chadema ulizotaja kuna mchango mkubwa sana wa Freeman Mbowe

Mbowe kafanya kila ambacho Mwanasiasa wa Upinzani alipaswa kufanya lakini hakupata sapoti yenu

kafungwa, kafilisiwa, kasusa, kachongea Kimataifa kawaingiza barabarani n.k

kipi ambacho alipaswa kufanya na hakufanya ?

Freeman na Seif Sharif wamezitendea haki nafasi zao uongozi wa Upinzani sema wamekutana na Raia 'sigara kali '
 
Uko sahihi kamanda. Mbowe kwa maslahi yake binafsi kaamua kuua upinzani. Hii ni dhambi itakayomtafuna maishani mwake. Kamanda kama Mdude anaonekana kituko tu kwasababu mmiliki wa CHADEMA yuko bize mitaa ya Lumumba.
 
Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea.

Leo hii CCM wamewapanda watanzania vichwani na . Wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga shamba la kijiji.

Mbowe ameendekeza ubinafsi wake kwa kutojali wengine bali tumbo lake tu sasa amegeuka kuwa tarishi wa Ikulu Magogoni
Mbowe lazima ashikilie nafasi ya Mwenyekiti Taifa hadi ifikapo 2030. Lazima ahakikishe chama hiki kinaendeshwa kitaasisi na siyo kwa mihemuko iendanayo na harakati za kianauharakati.

Uwepo wa wanaharakati ni muhimu sana ndani ya chama, lakini chama hakipaswi kuendeshwa kwa njia ya ajenda zao tu. Kuna mengi ya kufanya ili kukifanya chama kiwe imara zaidi. Maoni kama haya Kamanda Asiyechoka nafikiri yanapaswa kubakia huko huko kwenye vijiwe vyako vya kahawa.
 
MTOA MADA BAADA YA KUKAMILISHA UPUMBAVU WAKE
Screenshot_20230428_195759.jpg
 
Back
Top Bottom