mbowe

  1. Suzy Elias

    Mbowe jiandae mtego unaelekea kukunasa

    Ni suala la muda tu, mahangaiko yatarejea tena kama ilivyokuwa hapo jana kwa mwamba. Mbinu na mitego yote ipasayo kumnasa, i mikononi mwao na inangojea mtegwa anase. Chiba juzi asingenasuliwa na kusepa kule Ulaya, leo hii angekuwa stendi ya Keko. Ana bahati yule mtu! Maadui hawapendezwi na...
  2. Mganguzi

    Wanaomwamini Freeman Mbowe na Chadema yake, watafika wamechoka sanaa! Huyu ana malengo tofauti na anachokihubiri

    La haulaaa! Nimeona mahali Freeman na Dk. Slaa watahutubia mkutano pamoja na pia hawa watu wamerudisha mahusiano yao hivyo kazi iendelee! Mbowe Freeman alibadili gia angani na kuwatupa nje wafia chama wengi akamkumbatia Lowasa na Sumaye! Dk. Slaa hakupendezwa, akaenda CCM kimya kimya...
  3. J

    Chongolo: Tunapigana vita vya kiuchumi, wana pa kukimbilia

    Tunapigana vita vya kiuchumi…wana pakukimbilia: Chongolo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo amesema Tanzania ikiwa sehemu ya dunia, iko katika mapambano ya vita vya kiuchumi asubuhi, mchana na jioni, akiwataka Watanzania kuwa makini na watu wachache, katikati ya...
  4. Kamanda Asiyechoka

    Freeman Mbowe awatakia waislamu wote heri ya mwaka mpya

  5. comte

    Ya Madeleka yanaweza kumpata Mbowe

    Madeleka yamemkuta; kashinda rufaa, kasindwa kupata kusafishwa kuwa hajawahi kufungwa kwa kosa la jinai. Mahakama imesema kama anataka kuonekana hajawahi kupatikana na kosa la jinai- kesi yake isikilizwe upya. Kesi yake ilikuwa ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana. Kwa misingi hiyo polisi...
  6. Li ngunda ngali

    DOKEZO Lissu na Mbowe wanatafutwa kukamatwa

    Zipo taarifa zisizo rasmi Mbowe na Lisu nao wanatafutwa kukamatwa kwa kosa la kukosoa uingiwaji wa Mkataba ule wa Bandari na kutoa kauli za kumtweza bi chaunabe. Je, taarifa hizo zina ukweli wowote?
  7. Chachu Ombara

    Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
  8. R

    Freeman Mbowe ateuliwe kama mshauri wa Rais masuala ya biashara

    Naona endapo Mhe. Mbowe akiteuliwa na Mhe. Rais kuwa mshauri wa masuala ya biashara itamsaidia sana kukabiliana na athari za kiuchumi Duniani. Aidha itasaidia sana katika uandaaji wa mikataba kati ya Tanzania na DP world ili maslahi ya Taifa yaweze kuonekana wazi ikiwa ni pamoja na...
  9. Sildenafil Citrate

    Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu. Yote yanayojiri utayapata hapa. === MKUTANO...
  10. R

    Mbowe: Hatuna ndoa na CCM. CCM ni mahasimu wetu, hawatuamini na sisi hatuwaamini

    Mbowe amesema hayo katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World leo tarehe 14/7/2023, akiwa anajibu kuhusu CHADEMA kuwa mezani na CCM, akasema; Russia na Ukraine vita vinaendelea huku mazungumzo juu ya namna ya kumaliza vita yanaendelea, maana...
  11. R

    Mbowe: Inashangaza mpaka Mkurugenzi wa Bandari anasema tunafanya kwa hasara na bado Mbarawa yuko ofisini

    Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na kusema inashangaza mpaka Mkurugenzi wa bandari anasema jamani sisi tunafanya hasara sana, na bado Mbarawa...
  12. R

    Mbowe: Kama serikali inayosubiri kuingia madarakani, msimamo wa CHADEMA ni kwamba Mkataba huo ufutwe wote

    Mbowe akiwa kwenye Mkutano na Waandishi wa habari akisoma maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA asema, "kwakuwa hakuna utafiti, ushahidi, wala tathmini ya kina iliyofanywa juu ya jambo hili na kwakua serikali imekosa majibu yenye ushawishi kwa umma, na kwakuwa chama tawala hawasikilizi maoni ya...
  13. Erythrocyte

    Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari kesho 14/07/23

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwamba Freeman Mbowe, atahutubia Taifa la Tanzania kupitia Mkutano wake na Waandishi wa Habari utakaofanyika kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam. Mkutano huo uliobeba Mustakabhali wa nchi na Dira ya Taifa...
  14. B

    Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

    Heshima kwenu Wakuu, Majamaa tajwa hapo juu yawezekana kuwa wamelipwa rushwa kubwa sana na mamlaka za juu ili waharibu mjadala wa kitaifa juu ya uwekezaji wa DP WORLD katika bandari ya Dar es Salaam. Hili limetokana na ukweli kwamba mara tu mjadala ulipoanza watu hawa walikimbilia kushambulia...
  15. The Boss

    Ndio tuseme Mbowe kapoteza nafasi adhimu nyingine?

    Katika watu wenye bahati kwenye siasa za Tanzania, jina la Freeman Mbowe linaweza kuja kuwa la kwanza kabisa. Jamaa ana bahati za aina yake, na kila siku hupata bahati zingine. Cha ajabu kila mara huwa anachezea bahati na kila mara bahati zinamfata! Mbowe bahati yake ya kwanza ilikuwa kuoa...
  16. Dam55

    Msikilize Mbowe kabla na baada ya kifo cha Hayati Magufuli, inaonekana anajutia kwanini hakumuunga mkono

    Ukisikiliza Kauli hii ya mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe utagundua kuwa hata yeye anajutia kwanini hakumuunga mkono Magufuli. Kauli zake zinapingana sana kabla na baada ya Magufuli kufa.
  17. MSAGA SUMU

    Vipi Rais Samia akimwalika Mbowe Ikulu ili wazungumze kuhusu Mkataba wa DP World?

    Sijui Ikulu huwa Kuna nini? Mwenyekiti wa CCM mwenyewe ndio engineer wa huu mkataba. Lipumba hata hajui Kama Kuna mkataba unaendelea mtaani. Zitto akiona kuna waarabu basi breki huwa hazikabi tayari katoa baraka zake. Pasua kichwa kabakia Mbowe. Ukifanikisha kumdhibiti Mbowe pia inakuwa...
  18. R

    TLS waungane na Mbowe kuitafakarisha Serikali; nchi bado ina watu wazalendo. Hongera Sungusia

    Aliposema Mbowe ilionekana upinzani; aliposema Kitima ikaonekana Udini; akasema Warioba ikaonekana uzee unasumbua; akisimama Dr. Slaa akaambiwa alihongwa; Tundu Lisu hakujibiwa kabisa kama ilivyo kwa Lipumba na wazalendo wengine. Sasa imekuja taasisi ambayo inaundwa na watu wa vyama vyote; dini...
  19. K

    Mbowe: Hata wa serikalini hawaukubali mkataba wa DPW

    Akiongea na watanzania walioko Marekani, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema suala la mktaba wa Tanzania na DPW ni suala ambalo hata watu wa serikalini hawalipendi. Akijibu swali la mmoja wa washiriki wa mkutano huo amesema amepata simu kutoka kwa watu wa usalama wa Taifa na serikali...
  20. J

    Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutadharau ushauri, maoni na maeneo yenye hofu kuhusu makataba wa bandari

    MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI --- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu Majaliwa...
Back
Top Bottom