Mbowe amwaga Chozi, awataka wananchi wasimlilie yeye

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,914
141,866
Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amelia kwa furaha baada ya kushuhudia imani kubwa waliyonayo Watanzania juu yake kupitia wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema.

Mbowe amesema kwa imani hii iliyoonyeshwa na wananchi kamwe hatawaangusha na kuwataka wananchi wasimlilie yeye kutokana na msalaba mzito alioubeba kwani kwake utumishi ni wito.

Source: Tanzania Daima

Maendeleo hayana vyama!
 
Ndio raha ya kuaminiwa na wananchi!
Kuna wengine wakiona wananchi wanatamani 2025 JAMAA aongeze mingine japo MITANO tu!
Utasikia demokrasia demokrasia......
Wananchi wakiamua nani wa KUWAPINGA?
Mabeberu na vibaraka wao?
Hongera Mwenyekiti wetu Mbowe!
Hata itakapofika 2024 - PIGA MINGINE japo MITANO Baba!
CHADEMA haina mwingine mweye uwezo wa kuwa MWENYEKITI.
 
Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amelia kwa furaha baada ya kushuhudia imani kubwa waliyonayo Watanzania juu yake kupitia wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema.

Mbowe amesema kwa imani hii iliyoonyeshwa na wananchi kamwe hatawaangusha na kuwataka wananchi wasimlilie yeye kutokana na msalaba mzito alioubeba kwani kwake utumishi ni wito.

Source: Tanzania Daima

Maendeleo hayana vyama!

Haaa hiyo ni comedy ww, jiongeze, hapo analia kwa kufurahia kuendelea kuzipata ruzuku maana mwenyekiti angekuwa mwingine angezikosa hela hizo, think big
 
Daah kweli Wachaga na pesa Ni Kama samaki na maji..
Naona samaki imepata bahati ya kurudi majini ndo maana iliamua Hadi kutoa chozi la Furaha.
Nyie kondoo wa ufipan mlio inama amkeni Mnaliwa bila kujua.

Mwaka kesho 9th December Natumai Samaki zangu zitapanda Tena usafiri wa maji kwenda kuomba maridhiano Tena na jiwe Kama zilivyofanya mwaka huu
1576244721797.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah kweli Wachaga na pesa Ni Kama samaki na maji..
Naona samaki imepata bahati ya kurudi majini ndo maana iliamua Hadi kutoa chozi la Furaha.
Nyie kondoo wa ufipan mlio inama amkeni Mnaliwa bila kujua.

Mwaka kesho 9th December Natumai Samaki zangu zitapanda Tena usafiri wa maji kwenda kuomba maridhiano Tena na jiwe Kama zilivyofanya mwaka huuView attachment 1298021

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh! Kumbe na wewe ni mjinga hivi!
 
Back
Top Bottom