CHADEMA na Mbowe somo hili lakuhusu: Jeremy Corbyn kashindwa uchaguzi, kujiuzulu muda wowote!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,171
Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.

Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.

SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
 
Weee....matusi utayaoga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kukariri..na ushoga mtasema tuwaige..
 
Aisee

Ajabu kweli kweli! Umefika mahali pa kulinganisha demokrasia ya Tanzania na Uingereza?
 
Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.

Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.

SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Unalinganisha Uingereza na Kusini mwa jangwa la sahara!!!!!
 
Mambo mengine tunalinganisha hata pasipo kutumia akili johnson alikuwa yupo serikalini,kweli kabisa aje ashindwe na mtu ambaye alikuwa uraiani???
Ni sawa na kusema kuwa magufuli mwaka kesho atashindwa uchaguzi au ? Katika dunia hii ni ngumu kutokea.
 
Ikija hapo, watakwambia wao ni Waafrika, lkn kutwa wanataka Raisi wa JMTZ awe kama Muzungu.

Chadema ni watu wabinafsi sana!
 
Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye.
Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa.

Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake.

SOMO
Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini leo hii ni reminder.
Hivi unavyoandika unajua siasa za uk. Kama hujui kaa kimya sie tuliempa Boris kura tunajua siasa za uk. Colby wala hajiuzulu kama unavyodai. Colby ataendelea kuongoza Labour mpaka hapo atakapopatikana wa kumrithi
 
Back
Top Bottom