Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,848
- 287,863
Hii hapa, Mengine yanakuja, usiondoke JF
Halafu mnamwambia aache uenyekiti? Treatment na kunyeyekewa huku atapata wapi ?Hii hapa , Mengine yanakuja , usiondoke jf
Hii hapa , Mengine yanakuja , usiondoke jf
Halafu mnamwambia aache uenyekiti? Treatment na kunyeyekewa huku atapata wapi ?
Mtu ambaye hakuwahi kuwa hata katibu kata wala hajawahi hata kuzindua shina la wakereketwa leo anawafukuza wenye chama , Je hii ni sawa ?Halafu mnamwambia aache uenyekiti? Treatment na kunyeyekewa huku atapata wapi ?
Akirudi nistue .Utamlinganisha na malaika wenu anayewafukuza wale wote wanao onyesha nia ya kutaka kugombea nafasi aliyo ishikiria?
Hapo hapo mnajidai mnaifahamu demokrasia
In God we Trust
Ni kweli amekamatwa na polisi wa ccm baada ya kumaliza mkutanoMbona tunasikia amekamatwa vipi ni uzushi ama? [emoji848]
Buku 7 ujasiri wakutoa comment mnapata wapi mkijua ccm imeongoza na imefanya uharibifu for more than 50 yrs.Halafu mnamwambia aache uenyekiti? Treatment na kunyeyekewa huku atapata wapi ?
Kwani wewe hunyenyekiwi na wanao?kama hapana ,nenda kagombee uenyekiti Taifa CCM.Halafu mnamwambia aache uenyekiti? Treatment na kunyeyekewa huku atapata wapi ?
Kamanda wa sungu sungu!Asante sana mkuu kwa updates za kamanda wetu
In God we Trust
Fisiem hamnaga akili kabisa. Masaa kadhaa akiwa ndani ya chama haya yote yalikuwa wapi.Membe njoo chadema ugombee urais,tutakusafisha ufisadi wako wote wa mabilioni ya Libya.
Chama chetu hakibagui mtu uwe mwizi ,mchawi na fisadi sisi hatutajali ili mradi tu unatuletea wana chama wa kutosha na ruzuku yetu inaongezeka..
Nakushauri ukimbilie chadema kwa sababu chama chetu kina uzoefu wa kubadili gia angani na kupokea na kusafisha mafisadi tangu mwaka 2015.
Kabla hujachelewa Membe umeguswa ,sasa nuka ukielekea chadema na sisi tutakupokea kwa kishindo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri huyu ni yule anaetishia watu kuwa waonje ladha ya sumu!Utamlinganisha na malaika wenu anayewafukuza wale wote wanao onyesha nia ya kutaka kugombea nafasi aliyo ishikiria?
Hapo hapo mnajidai mnaifahamu demokrasia
In God we Trust
Kwani lazima uwe katibu kata lowassa alikuwa wala haujui hata mstari mmoja wa katiba ya chadema lakini mlimpa chama nane za usiku bila haya!Mtu ambaye hakuwahi kuwa hata katibu kata wala hajawahi hata kuzindua shina la wakereketwa leo anawafukuza wenye chama , Je hii ni sawa ?
Hiyo clip mbona hakuna watu kabisa!Mtu ambaye hakuwahi kuwa hata katibu kata wala hajawahi hata kuzindua shina la wakereketwa leo anawafukuza wenye chama , Je hii ni sawa ?
Kwani lazima uwe katibu kata lowassa alikuwa wala haujui hata mstari mmoja wa katiba ya chadema lakini mlimpa chama nane za usiku bila haya!
Unafikiri huyu ni yule anaetishia watu kuwa waonje ladha ya sumu!