Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,586
- 287,249
Polisi wanapaswa kuzoea hali hii , maana ndio kwanza kumekucha
Wote Mnakaribishwa
Kwan wameshamuachiaView attachment 1372092
Polisi wanapaswa kuzoea hali hii , maana ndio kwanza kumekucha
Wote Mnakaribishwa
Huyo ndie Freeman bwana! Wengine fakeView attachment 1372092
Polisi wanapaswa kuzoea hali hii , maana ndio kwanza kumekucha
Wote Mnakaribishwa
Hakika !
Ameshapewa mwongozo.......leo hutamsikia akiitaja Tume huru ya naniliu!View attachment 1372092
Polisi wanapaswa kuzoea hali hii , maana ndio kwanza kumekucha
Wote Mnakaribishwa
Umedanganywa kishamba sana !Ameshapewa mwongozo.......leo hutamsikia akiitaja Tume huru ya naniliu!
Maendeleio hayana vyama!
INTELLIGENCE YA CHADEMA LAZIMA IWE VIZURI. HUU UONGOZI WA CCM UMEJAA WASHAMBA. MWENYEKITI WA CCM MSHAMBA, KATIBU MSHAMBA, MUENEZI MSHAMBA MBINU ZA KISHAMBA WAME NUNUA VIONGOZI WA UPINZANI KWA NGUVU WENGI WAO NI MAMLUKI NDIO HAO WANA VIJISHA MOPANGO YAO MIOVU. AMA KWELI SAFARI HII CCM IMEJAA WASHAMBAnaona mbowe anafanya mikutano jimboni kwake kabla ya mzee baba hajaanza ziara siku chache zijazo huko kaskazini.
naona intelijensia ya cdm imeanza kukaa vizuri hapa
ziara za rais ni sawa na kampeni, ila tumezibadili jina tunaziita 'ziara'INTELLIGENCE YA CHADEMA LAZIMA IWE VIZURI. HUU UONGOZI WA CCM UMEJAA WASHAMBA. MWENYEKITI WA CCM MSHAMBA, KATIBU MSHAMBA, MUENEZI MSHAMBA MBINU ZA KISHAMBA WAME NUNUA VIONGOZI WA UPINZANI KWA NGUVU WENGI WAO NI MAMLUKI NDIO HAO WANA VIJISHA MOPANGO YAO MIOVU. AMA KWELI SAFARI HII CCM IMEJAA WASHAMBA
View attachment 1372092
Polisi wanapaswa kuzoea hali hii , maana ndio kwanza kumekucha
Wote Mnakaribishwa
Na akiitaja?. Haitaji muungozo wa kipepo huyo.Ameshapewa mwongozo.......leo hutamsikia akiitaja Tume huru ya naniliu!
Maendeleio hayana vyama!
Aliyepuuzwa unamtumia na polisi wamkamate?.mnaoangaika na aliyepuuzwa ndiyo wapuuzi namba moja.Mikutano hii haina postive impact kwake kwa sasa,angalia anavyopuuzwa,watu hakuna kabisa,mpaka muedit picha, hapa namuangalia live youtube ana watu kumi tu. Kwisha habari yake
Waulize Polisi kwanini wanatumika mithili ya kijiko cha hoteli ?Mikutano hii haina postive impact kwake kwa sasa,angalia anavyopuuzwa,watu hakuna kabisa,mpaka muedit picha, hapa namuangalia live youtube ana watu kumi tu. Kwisha habari yake