mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutashiriki (CHADEMA) tena Uchaguzi wowote! Bado mifumo na Wasimamizi ni walewale

    Nimemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe wakati akihutubia Wananchi amerudia msimamo wa CHADEMA kutoshiriki chaguzi. Amesema “Hatutashiriki Uchaguzi wowote, bado mifumo ya Uchaguzi ni ileile, Wasimamizi ni walewale, hapana, hatuna haraka ya kwenda kwenye Uchaguzi wowote mdogo wa Udiwani...
  2. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeruhusu Mbowe na Zito kabwe kuongea na taifa wakati mkuu wa nchi akiwa nje ya nchi

    Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie...
  3. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Taifa maandalizi yakamilika , Kurushwa Live kuanzia saa 9 mchana

    =======
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto Kabwe achambue ripoti ya CAG siku ambayo Freeman Mbowe amepanga kulihutubia Taifa?

    Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa. Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine? Upinzani...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi ambayo chairman Mbowe anatakiwa kuyazungumzia hapo kesho; kimsingi ana ulazima kuyagusa

    Kwanza kabisa ni kuomba radhi kwa watanzania wote kwa kusema uongo kuwa alishambuliwa na watu wasiojulukana na kisha kuvunja kifundo cha mguu. Hii haitasaulika kwa watanzania sababu ilichafua hali ya hewa kisiasa. Pili kuomba radhi kwa jinsi alivyocheza makaratee na kusababisha bil 8.8...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je, Freeman Mbowe atajizolea pointi tatu muhimu kwenye press ya kesho?

    Zipo hoja nyingi zinazohitaji msukumo wa kisiasa, msukumo huo ni vigumu kuupata ndani ya chama Tawala ila utaupata upinzani. Upinzani vyama vyote vimepoteza dira isipokuwa baadhi ya viongozi wa Chadema wanaweza kuendelea kuaminiwa kwa uvumilivu wao Hadi kuvuka salama mtihani wa uchaguzi mkuu...
  7. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

    Freeman A. Mbowe: "Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena." "Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA yupo wapi? Mbona kimya sana, hajatia hata neno

    Nimewaza nikaona niulize hili swali kwa kuwa ni muda mrefu sijamuona hadharani mwenyekiti wa CHADEMA. Nina marafiki wa karibu huko, lakini hakuna aliyetoa jibu wengi wananambia sio kazi yako kujua. Lakini niseme wazi ninamkubali Sana Mbowe kwenye busara na hekima, hata Kama Jambo ni baya kiasi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kina Mbowe na wenzake wanazuka unapokaribia uchaguzi Mkuu tu

    Hili sina huruma nalo. Wananchi walio wengi huingizwa kwenye mkenge na viongozi hawa wa upande wa vyama vya upinzani na hata kuthubutu kuwaambia waandamane. Hivi sasa wamekaa kimya huwasikii kabisa na hata ukiwasikia sauti zao ni kama vile unatafuta station ya redio kwenye shortwave2...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA mwaka 2025 nendeni na Freeman Mbowe nafasi ya Urais

    Baada ya kufikiria mwenendo wa vyama vya upinzani Tanzania hususani CHADEMA pasipo shaka nimejiridhisha kwamba Mhe. Freeman Mbowe ndio anafaa kupeperusha bendera ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo hasa baada ya kifo cha Hayati Joseph Pombe Magufuli. Mbowe ameonyesha kukomaa kifikra hasa katika...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Freeman Mbowe ataibukia Chato kushiriki mazishi?

    Hili ni swali ambalo watu wengi wanajiuliza, Freeman Mbowe anatajwa kama Mwanasiasa wa kisasa aliyekomaa kuliko yeyote kwenye siasa za Tanzania kulinganisha na hawa waliopo kwenye uongozi wa vyama vya kisiasa hivi sasa, huyu ni Gwiji la siasa za vyama vingi nchini Tanzania, wako wanaoamini...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

    Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lakini wengi sana walikuwa wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli. Maandiko yao...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atuma Salamu za rambirambi kufuatia Msiba mzito wa Rais Magufuli

  14. Q

    JamiiForums Tanzania Waliozusha vifo vya Mbowe, Mrema, Maria Sarungi na leo mzee Sarungi wanajulikana

    Magazeti ya Fahari Yetu, Tanzanite na Jamvi la Habari kila siku yanaandika habari za uzushi na uongo na mhariri wake Habibu Mchange anajulikana lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa na serikali kukomesha tabia hii. Juzi Waziri Mkuu alishangazwa na watu kukosa uzalendo na utu kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe yuko wapi mbona Rufaa za wabunge Halima Mdee hazisikilizwi na wanachama hawaelezwi sababu?

    Haki inayocheleweshwa ni haki inayominywa hivyo ni vema uongozi wa juu wa Chadema ukawatendea hski wabunge wake kwa kusikiliza rufaa zao mapema. Kwa sasa haijulikani mwenyekiti wa Chadema taifa yuko wapi na yeye ndio mwenyekiti wa kikao cha Baraza kuu kitakachosikiliza rufaa za wabunge hao...
  16. J

    JamiiForums Tanzania DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

    Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu. Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia picha za viongozi wa serikali mashambani kwao weekend, nakumbuka mashamba ya Mbowe yaliyovamiwa na wanasiasa wakaua mimea isiyo na hatia

    Binadamu ana tabia yakuona kitu flani kikamkumbusha Jambo fUlani la aina hiyo lililowahi kutokea miaka ya nyuma. Leo hii nikawaida kuona wanasiasa na baadhi ya viongozi wakisiasa wakipiga picha na kuposti wakiwa kwenye mashamba yao. Picha hizi unanifanya nijiulize hivi akienda mtu akaondoa...
  18. JamiiForums Tanzania Upinzani nchini hautafanikiwa mpaka Mbowe na Zitto waachane na siasa

    Hawa wanasiasa wawili ni wanafiki sana. Wao siasa ni biasahara na kujaza matumbo yao. Na kwa sababu wao ndio wameshika mipini ya vyama vya Siasa vya Upinzani ni wazi kuwa wao ndio sababu ya kukwamisha siasa za upinzani hapa nchini. Ni watu ambao wapo kwa ajili ya kutumia siasa kujaza matumbo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ununuzi wa ndege siyo kipaumbele sahihi kwa nchi yetu zaidi ya Elimu, Afya na Miundombinu!

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu. Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL unahitaji mtaji mkubwa, utaalamu uliotukuka kwa watu wetu na mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa upinzani akina Zitto, Mbatia, Mbowe nk hawahudhurii shughuli za kitaifa?

    Kwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu. Kwa mfano katika shughuli muhimu kama msiba wa balozi Kijazi au katika tukio la kuapishwa Katibu mkuu kiongozi mpya balozi Bashiru walipaswa kuwepo lakini hawajaonekana. Ni Prof...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…